Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Naombeni kufahamu kuwa nomesoma reviews nyingi Sana kwenye trustpilot na mitandao Kama Quora, YouTube wengi wanalalamika kuwa bet365 ni wezi na matapeli wanaofungia watu account. Je hili ni kweli...
0 Reactions
1 Replies
770 Views
This is Souleymane Sane, a former Senegalese international player, he represented Senegal in 1994 Afcon, he is the father of Leroy Sané who is representing Germany. He gave his son Leroy because...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kama mashindano ya CAF yanaruhusu kuvaa jezi ya nyumbani hata ukiwa ugenini, basi ni vyema Yanga wakawa wanaitumia jezi za nyumbani hata wakiwa away kama tu jezi hazifanani na aliyeko kwake...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Kwanini hizi team uwa hazidumu kwenye ligi na zinaongoza kwa matokeo mabaya??Na sio Bongo pekee ni E.Africa ndo tuna ili pepo la team za majeshi ligi zilizoendelea kiafrica kama S.Africa na...
3 Reactions
24 Replies
1K Views
Ushauri huu ufike moja kwa moja katika shirikisho la mpira Tanzania (TFF), nilikua naangalia ratiba za wenzetu waliotuzidi kimaendeleo ya mpira wa miguu, nikili tu kiukweli ratiba zao hazina...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Wakuu Ingawa ni ukweli dawa chungu ndo inayoponya, basi hatuna budi kuupokea ukweli huu Ukimuuliza hata mgunda hapo bado atakwambia the same hawajui watashinda vipi! Team ipo ipo tu imepoteza...
3 Reactions
42 Replies
3K Views
Mchezo wa simba na yanga kesho hauna mwenyewe! Atayefungwa kataka mwenyewe! Yanga watakuwa bora sana kipindi cha kwanza! Hakika Simba watakimbizwa na mabeki wa simba wasifanye masihara kipindi...
4 Reactions
38 Replies
2K Views
Toka jumatatu mmekuwa nikipitia mitandao ya kijamii ikiwemo INSTA,TWEETER na uwanja wetu pendwa wa JAMIIFORUMS nimepata maswali mengi ambayo ningependa watani zangu mnijibu (Au ukiona aibu kujibu...
8 Reactions
32 Replies
2K Views
Siku ya kesho kunatarajiwa kuchezeshwa draw ya robo fainali ya ligi ya mabingwa ulaya, Europa pamoja na conference league. Hivyo sio mbaya wadau wa soka tukajadiliana na kutoa mitizamo mbalimbali...
14 Reactions
218 Replies
10K Views
Baadhi ya Wanahabari na Wachambuzi wa Soka nchini wamemtaka Afisa Habari wa klabu ya Simba, Ahmed Ally kuomba radhi kufuatia kauli yake ya kusema "Yanga ni kama maiti hivyo wanakwenda kuwakamua"...
3 Reactions
40 Replies
3K Views
Mwanamuziki nguli wa Bongofleva, Lady Jay Dee aliwahi kuimba kibao maarufu " Siku hazigandi " alikuwa sahihi. Lile pambano lililokuwa linasubiriwa kwa hamu hatimae ndio linapigwa leo, ama kweli...
44 Reactions
2K Replies
106K Views
Sasa ndiyo Nini kumpanga kipa namba tatu gem ya mtani kama siyo dharau? Eti unampanga Mzee Nyoni pale kati huwaogopi kina azizi ki aucho kina msondongoma jamani[emoji23][emoji23] halafu...
2 Reactions
14 Replies
748 Views
Unajiuliza hawa ni wawakilishi wa timu kwenye umma au ni vibonzo?! Hapa wanahojiwa na mwana habari, lakini wanajibu upuuzi
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Wanasimbaaaaa! Najua leo rafiki zetu Uto nyuzi nyingi watakuwa wanapita kama hawazioni lakini ndio mpira na utani wa jadi. Simba wameweka mpira wetu kwenye ramani misimu 5 sasa na kufanya hata...
16 Reactions
23 Replies
2K Views
Kwanza kabisa niwapongeze watani Kwa ushindi wa derby......nilikosa mechi kutokana na safari ya USA..... .ALI KAMWE|+ [emoji860]"Ushindi wa Kolo naufananisha na ushindi wa mke wa Achraf Hakimi...
2 Reactions
89 Replies
7K Views
Mechi ya jana imeamulia na saikolojia ya wachezaji, nyuso za wachezaji wa Simba walikuwa na shauku kubwa sana ya kudhihirisha kitu mbele ya wapenzi wa mpira wa miguu ulimwenguni kutokana na...
12 Reactions
39 Replies
3K Views
Baada ya ushindi wa Jumapili; uongozi wa Simba usijisahau sana Jumamosi kuna match ngumu sana kuliko ya Yanga. Uhamasishaji ufanyike na pia Kikosi kijiandae kwa nguvu zote.
0 Reactions
14 Replies
888 Views
Mayele alidhamiria kwenda Kumpiga Mchezaji Muzamir Yasini kabla hajazuiliwa na Mchezaji wa Simba SC Saido Ntibanzonkiza jambo ambalo Kikanuni ni Kosa Kubwa. Najua kuna Mazuzu ( Majuha )...
9 Reactions
35 Replies
3K Views
Mtanzania Gabriel Geay, ameweka historia kwa kushika nafasi ya pili katika mbio za Boston (Boston Marathon) zilizofanyika kwa mara ya 127 mwaka huu huko Boston, Marekani Geay alifanikiwa kumaliza...
7 Reactions
27 Replies
2K Views
Haya sasa endeleeni Kudanganywa na huyo Kiongozi wa TFF ( ambaye namjua ni mwana Simba SC lia lia ) kuwa Yanga SC nao watashiriki Michuano ya Africa Super Cup kwa Msimu huu wa Kwanza. Taarifa...
5 Reactions
18 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…