Niwaambie tu ukweli Mashabiki wote wa Utopolo, ukiachana na mambo yetu ya utani wa jadi ila ukweli ni kwamba leo hamtoboi!
Kwa mazingira yoyote yale sioni Utopolo wakipata matokeo ya ushindi...
Jamii ya wapenda soka nchini ingali katika majonzi kufuatia kifo cha Mchezaji wa Mtibwa Sugar Iddy Mobby ambaye alifariki akiwa kwenye matibabu kwenye hospital ya Mkapa iliyopo mkoani Dodoma...
Kila nikijaribu kupiga hesabu zinakataa.
Wenye kujua mtuambie inawezekana vipi Simba ikatinga hatua inafuata huko Cafcl?
Maana nawaona wakimaliza nafasi waliyopo(3) hivyo wao pamoja na vibonde...
Ukiangalia ubora walionao Yanga basi utakubaliana namimi kuwa leo Hawa Real Bamako watakula goli kuanzia 4 na kuendelea.
Yanga ndio inaenda kuleta furaha kwa watanzania baada ya wale vilaza wa...
Ubahili wa Mwamedi Ndio chanzo Cha yote haya. Halafu MASHABIKI mbumbumbu wanamtupia KOCHA LAWAMA.
Simba Ina wachezaji WATANO TU. Inonga, Chama, Saido, Manula, Kapombe na Shabalala .
WACHEZAJI...
Naaam, huku makolo fc wakiendelea kurusha maneno na kuhangaika na feisal nakusahau kabisa tar 26 Wana mchezo muhimu Sana Tena wakicheza yope mbele ya KMC lazima watalala yooooo.
Ikitokea makolo...
Ni kweli, real Bamako (isomeke Bamakoooo) wanashika nafasi ya mwisho, ni wachanga kwenye michuano hii(kama yanga tu) ila nimewaangalia facial expressions yao tangu wanatua terminal III hadi...
Ni kweli tumeshinda, lakini kwa kuangalia performance ya timu, ni dhahiri kwamba tumeshinda lakini tunaogopa.
Bado tuna kazi kubwa ya kujenga timu ya ushindani hasa kimataifa.
Siku hizi sio mpenzi sana wa soka Tanzania. Niliwafahamu kwa kusikiliza RTD, kusoma magazeti ya Uhuru/Mzalendo, na Mfanyakazi la mwandishi James Nhende aliyepigwa na Zamoyoni Mogella kwa madai ya...
Nimejaribu kuvaa viatu vya Feisal kwamba ningekuwa ndo Mimi yeye ningeitisha press conference nikaonba msamaha nikarudi yanga Ila Sasa ambacho ningewafanyia wangeniruhusu niondoke bure wao...
Uzi huu ni Kwa wale wapenzi na mashabik wai vigogo kutoka Uganda hapa nazungumzia Vipers Sports Club.
Klabu hii yenye maskani yake jijin Kampala ndio mabingwa wa ligi ya Uganda.
Siku ya jumaosi...
Wakuu,
Hongereni saaaana tumeshinda! Ila nina ushauri mdogo kwa viongozi wa Simba. Kiufundi Simba haichezi vizuri na imejaa makosa mengi sana kiulinzi na hata inaposhambulia.
Ushauri muhimu...
Mliki frustrate wenyewe mapema sana. Mara hamtaki kuingia vyumbani mara sijui nini. Sisi wengine tuliwaeleza nyie mkatulie mcheze mpira Simba wanafungika.
Tukawaambia mkawakabe watu flani...
Naona watu wanalalamika kuwa simba jana pamoja na kushinda lakini wamesheza mchezo mbovu, lakini maoni yangu ni tofauti kabisa kwa sababu tangu yashindano ya ligi ya mabigwa ianze jana ndo kidogo...
Haya sasa serikali ichangamkie hiyo fursa ya kujitangaza kimataifa kupitia bongo zozo
USSR
===
Alichoandikiwa Bongozozo kutoka liverpool na ambacho amekiweka kwenye account yake ya Facebook...
Jaman tuambiane ukweli, tunapoikosoa timu yetu tusionekana wabaya ama tuna chuki, tunatumia haki yetu ya kikatiba kutoa maoni.
Timu yetu Leo imeshinda bao 1 0 dhidi ya Vipers, sasa hivi...
Sishangai kabisa vipers kucheza mechi 4 bila kufunga goli lolote kwakweli ni shida kubwa sana liko kwenye eneo la mwisho la vipers, kuanzia beki, na viungo wako vizuri sana lakini ushambuliaji ni...