Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Jina Robatinyo litamkwe kwa sauti ya Ahmed Ally.
3 Reactions
8 Replies
1K Views
"Kupitia Birthday Party yake hii Rafiki yangu mkubwa Haji Manara na Mimi Diamond Platnumz leo natangaza rasmi Kuhamia Yanga SC kwa Kuishabikia kwani Kwangu Mimi alipo Manara na Mimi nipo huko...
16 Reactions
44 Replies
5K Views
Kiungo wa kimataifa wa Tanzania Feisali Salum Abdallah “Feitoto” amewasilisha juzi maombi yake kwenye ofisi ya Katibu Mkuu wa TFF akitaka Kamati ya hadhi na haki za wachezaji na wanachama ipitie...
14 Reactions
127 Replies
6K Views
Wadau hamjamboni nyote? Hiyo ndiyo taarifa rasmi. Ni mshtuko mkubwa. Watu hawaelewi. Sababu haijulikani. Mchezaji tegemeo Clotous Chama almaarufu mwamba wa Lusaka hajasafiri na timu yake kwenda...
6 Reactions
50 Replies
5K Views
Hii ilitokea 1995 Mchezaji huyu kwa ujanja wake alimdanganya Kocha msaidizi na kuingia kwenye game kama Sub..., Na isingekuwa kufunga kwake mabao mawili ingekuwa ndio mwisho wa Career yake... It...
5 Reactions
4 Replies
726 Views
Mabingwa wa makombe yote nchini Tanzania ambao pia ndio vinara wa ligi ya Nbc Dar Young Africans almaarufu Yanga leo wamemtambulisha beki kisiki cha mpingo raia wa Mali. Usajili wa Mchezaji huyo...
7 Reactions
20 Replies
3K Views
Yaliyomo yamo, habar kamili [emoji116] Mwenyekiti wa klabu ya Simba SC, Murtaza Mangungu ameeleza kuwa basi la timu hiyo limeuzwa na halipo kwenye matengenezo tofauti na ilivyoelezwa hapo awali...
5 Reactions
59 Replies
4K Views
Beki wa zamani FC Barcelona ameendelea kubaki chini ya ulinzi wa Polisi jijini Barcelona Nchini Hispania kutokana na tuhuma zinazokabili wakati uchunguzi ukiendelea. Alves (39), anadaiwa...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Pamoja na kutumia Nguvu Kubwa sana (yenye Unafiki mwingi) ya kuonyesha kuwa Unampenda Kocha Mkuu wa Simba SC (Boss wako) Roberto Olivieira na kwamba huna tatizo nae tayari wenye Akili na Maono...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Mbunge wa Misungwi, mmiliki wa timu ya Gwambina Alexander Mnyeti ameibua hoja zinazoonesha kuwa na rushwa katika mpira wa Tanzania. "Wale watu wanataka uje kwenye mpira kwa ubabaishaji wakikuomba...
1 Reactions
5 Replies
563 Views
Binafsi imeniuma sana kusikia Chama, Onyango, Mzamiru, Kanoute, Ntibazonkiza, Sakho hawatakuwepo kesho. Hii ina Maana kwamba Kikosi cha mapinduzi ya Zanziba; Ndio watacheza kesho Sababu Sijajua...
4 Reactions
31 Replies
2K Views
Bondia Mtanzania Karim Mandonga amekabidhiwa gari aliyoahidiwa endapo angeshinda pambano lake nchini Kenya, amepewa zawadi ya gari hilo aina ya Nadia na Mfanyabiashara Dick Sound bila mashariti...
22 Reactions
55 Replies
4K Views
Nakumbuka nilipoiandika ile Mada ( nilipouanzisha ule Uzi ) kama kawaida GENTAMYCINE nilishambuliwa ila kama Kawaida yangu niliendelea Kujiamini huku nikiwa na uhakika tena wa 100% kuwa Mchezaji...
7 Reactions
10 Replies
1K Views
Suala la Yanga kumtuma ndg Andrew Mtime nchini Brazil katika shuguli ya msiba wa Pele Ni suala la kupongezwa na kila Mtanzania. Ndugu Andrew aliondoka nchini tarehe 31.12.2022. Pamoja na kuwa...
4 Reactions
27 Replies
2K Views
Yaani Matajiri wote waliopita Yanga SC yako ( tena waliokuwa wakimzidi Pesa ) Boss na Tajiri yako Gharib Said Mohammed ( GSM ) Marehemu Mzee Mengi na Panjuani Manji walishindwa leo ndiyo Wewe...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Mbiringe au Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara[emoji1241] kuendelea leo January 18, 2023 ambapo Wataalamu wa kusakata kabumbu lenye viwango vya CAF, baada ya kuweka kambi kwa siku kadhaa nchini...
23 Reactions
747 Replies
32K Views
"LIGI yetu inaeendelea"."Ligi yetu imepiga hatua".Hizi ni baadhi ya kauli za watu ambao wamekuwa wakijitokeza na kusema hivyo. Binafsi sidhani.Kwani maendeleo ya ligi kuu huwa yanatazamwa kwa...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Uswekeni nani anataka kwenda kuishi kwenye vumbi jangwani,[emoji16] Ronaldo alikataliwa Ulaya akaona bora akavune mapesa tu Kiungo fundi wa barcelona sergio busquets amekataa ofa ya nabilion kwa...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
The NBA has 30 teams, but after Kevin Durant decided to sign with the Golden State Warriors in the summer, it feels like there are only two. Those two, of course, would be the Warriors and the...
12 Reactions
3K Replies
180K Views
Mwamba kafunguka mara baada ya kutemana na Yanga, Wana Yanga msijifiche kwenye stori za Bilioni 20 za Mo, kwanini klabu yenu inaendeshwa kienyeji?
19 Reactions
109 Replies
15K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…