Clatous Chota Chama kiungo fundi wa Kimataifa wa Simba kutoka Zambia ameomba kuondoka kikosini Simba msimu huu unaoisha.
Pande zote mbili zipo zikijadiliana kuhusu sakata hilo. Tetesi zinadai...
Kwenye asilimia 100% ya mafanikio ya Yanga msimu huu Mayele ana asilimia 80% peke yake.
Kama una cheki vizuri game za Yanga basi ukweli huu utakubaliana nao. Ukiangalia jinsi Yanga wanavyo cheza...
Sub ya Chama ni very technical, baada ya kuusoma mchezo na kuona ni ngumu kuwafunga Mbeya City kupitia katikati, akaona ni bora aimarishe Wings, Magoli yapatikane kupitia pembeni. Akaingiza watu...
Kupitia kipind Cha sportarena Cha wasafi fm mtangazaj Yusuf mkule amesema kunaonekana kuwa na sintofahamu kati ya wawil hao toka unyamani lakn hajasema tatizo nini
Hata msemaji alipoulizwa...
Jion hii Simba imeingia mkataba na kocha mtunisia wa kumsaidia Mbrazil Robertinho ambaye almanusura mashabiki wamzabe makofi jana pale uwanjani.
Kwa maana hiyo Juma Mgunda aliyeifikisha Simba...
Leo Psg Paris Saint German kwenye game yao dhidi ya Riyadh all Stars kule Messi huku Ronaldo wameonekana wakiwa wamecopy na kupaste jezi za timu kongwe ya Tanzania mabingwa mara 28 Young African...
Hali ni tete waungwana huko upande wa pili, siku mbili hizi zimekuwepo tambo za kufa mtu toka kwa msemaji tukajua baada ya Cska Moscow Mbeya City wangekula 8.
Hatimaye hatukuamini tulichokiona...
1. Kwanza anauwezo wa kutumia wachezaji wote tofauti na Mgunda. Tutegemee kutumia wachezaji wote kuanzia Okra, Banda, Mwanuke mpaka Kibu na Kyombo.
2. Wepesi wa kufanya maamuzi wakati mechi...
Mbwana Samatta amekulia katika viunga vya Mbagala huko ndiko kuliko mtambulishan katika uga wa kandanda. Historia ya huyu mchezaji haikuwa rahisi kutoboa hadi kufikia hapo alipofikia. Kuna kipindi...
Kwenye mechi ya kirafiki kati ya PSG na wachezaji wa Al Nassr & Al Hilal Messi na Ronaldo wameonyesha ni namna gani mgawano wao wa ushabiki upo kwa ajili ya kutengeneza pesa na sio uadui. Kama...
Mwambieni kama akitaka kufanya Utafiti wa mwana Simba SC gani ANAMCHUKIA/ HAMPENDI kwa Upuuzi wake anaotufanyia kwa Kutumika na Maadui zetu Wakubwa mwambieni Mimi GENTAMYCINE ni Mmoja wao na tena...
Hawa watu niliwakataa
1. Haji Manara (huyu hana akili ila alituona sisi Yanga ndo hatuna akili. Simba wakamfukuza) sisi tukaona tumeokota Dodo.
2. Bernard Morrison (huyu alitudhalilisha...
Nilisisitiza mno kama siyo sana kuwa Kocha Mpya Simba SC Roberto Olivieira akitua Simba SC aje na Watu wake anaowaamini na kamwe asiendelee na Hawa akina Mgunda, Matola na Meneja Rweymamu...
Baada ya kufanyiwa mabadiliko dk ya 32 kamaindi live bila chenga na mashabiki pia wameonyesha kucheua live bila chenga.
Katolewa baada ya assist moja.
Kocha ashinde lasivyo patashika
Kocha Juma Mgunda leo ameletewa kocha mwingine msaidizi wa kocha mkuu Robertinho, hivyo anakuwa kocha msaidizi wa 2 badala ya mtunisia, hapo nionavyo mimi Simba wamemvunjia heshima Mgunda, kocha...
Wakuu wa Nchi Mimi ni mshabiki wa Simba kwa hapa TZ na kwa EPL ni Chelsea .Lakini kwa sasa naona hizi club kubwa za ENGLAND mwaka huu kidogo tu wameteleza ,kwa hiyo naombeni tuwaombeeni hichi...
FT: Chelsea 2-2 Spurs.
Kwa matokeo haya,Leicester City ndiye Bingwa Mwaka huu licha ya kubaki Michezo Miwili.
Leicester 77pt
Spurs 70pt
Only two game remain.