Huu ni uzi maalum wa kutaja wachezaji wa zamani ambao hukuwahi kuwaona wakicheza. Ukishawataja subiria wakongwe waliomuona akicheza waje wakuoe sifa zake.
Mimi sijawahi kumuona George Magere...
Kocha mpya wa Simba ni lazima aendane na falsafa ya timu asitake kutuletea falsafa zake zisizo eleweka hapa. Inajulikana siku zote kuwa Simba falsafa yake ni kuanzisha mashambulizi kwa kutumia...
Okrah ndiyo kwa 99% alisababisha Mzungu Wetu Dejan asiwe na Furaha ndani ya Simba SC mpaka Kukereka na kufikia Kuchukua yale Maamuzi aliyoyachukua ya Kuondoka.
Okrah huyu huyu ndiyo alikuwa...
Huu ni muujiza naweza kusema hivyo
Mdogo wangu ana miaka 36,alianza darasa la kwanza na Ibrahim Ajib
Ilikuwakuwaje ,na inawezekanaje Ajib awe na miaka 26
Classnate wa primary kupishana miaka kumi????
Ukiyastaajabu ya bwana Musa utayaona ya Firauni. Kutokana na ligi kukosa wadhamini mchezaji Musonda amejitwalia trei tano za mayai mabichi baada ya kuibuka mfungaji bora wa mwezi.
Afrika ina...
Akpan na okwa wamegoma kuondoka, hivyo hakuna nafasi ya kuongeza mchezaji wa kigeni
Akpan aliambiwa arudi kwenye timu yake ya zamani kwa mkopo, amegoma nakusema anabaki kupambania namba la sivyo...
Winga Mghana Okrah haonekani dimbani, sijamuona Dubai akiwa benchi wala mchezo wa Leo na Mbeya City ambao tumenusurika.
Hivi hizi tetesi kuwa hana furaha kuchezea Simba na ameomba arudi kwao ni...
Kuna utofauti mkubwa wa kuchambua ,kutumika kupenyeza ajenda za sehemu Fulani au timu fulani,kutumika muamvuli wa uchambuzi ku attack watu fulani na mwengine yanayoweza kufanana na hayo na...
Niliwahi kusema hapa kuwa huyu mhindi ni mpuuzi sana.
Kwa uamuzi wa kuleta kocha mzungu sasa hivi ni kuhujumu timu.
Sikubaliani kabisa na kumtoa Chama mapema hivi.
Mashabiki mlioko uwanjani...
Kila kocha uwa anao mfumo wake na aina ya wachezaji anaowataka kwenye mfumo husika, kitendo cha kumtoa chama kocha ameona aendani na kile anachokitaka hasa kasi kati kati ya uwanja, uyu kocha...
Mwanamasumbwi aliyewahi kuzichapa na Mandoga na kuibuka na ushindi mzito SHABANI Kaoneka amerekodiwa akiwa Katika mahojiano na clouds TV ambapo amesema Kuna siku alikuwa kachoka Hana hata dinali...
Kama kumbe kigezo cha kusajili Mchezaji siku hizi ni kwanza ajue kupiga kanzu, nawaombeni mje mnisajili na mimi GENTAMYCINE kwani pamoja na huu uzee (ukongwe) wangu wa miaka 60 sasa huku mitaani...
Wakuu,
Baada ya kuangalia game ya Kongo DRC vs Uganda imenipa tafakari kubwa sana. Ilikuwa game ya viwango ambayo hata kama Taifa Stars tungeingia na akina Samatta ingekuwa aibu.
Kwanini pamoja...
Kumbuka pambano la Mandonga halikuwa pambano kuu, lilikuwa ni pambano la ufunguzi tu hivyo pesa aliyopewa inaweza isifikie hata iliyotajwa/
Pambano lilijaza nyomi ya wakenya zaidi ya elfu 6...
"Ligi ilikuwa ngumu kwa sababu ilipaswa tushuke na ikiwezekana tupotee kabisa Duniani, Viongozi wa Bodi ya Ligi walikuwa wanahitaji sana hela hata tulivyokuwa ligi kuu nasikitika kuongea haya...
Pamoja na sajili nzuri mlizofanya (uzuri utakamilika mpaka tuwaone) nilitaraji angesajiliwa beki wa kushoto pia. Nasema hivyo kwakuwa naamini Mohamed Husein ameshuka kiwango pakubwa sana...
“Hata shabiki nae ana fursa ya kwenda Ulaya vile vile kwa biashara zake anazofanya. Kama wanadhani kwenda ulaya ni rahisi basi shughuli zao pia ziwapeleke Ulaya. Hata ulaya wanatumia mkaa pia...