Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mlifanikiwa kweli kweli 'Kuwaokota' Mashabiki wenu wenye Mapungufu ya Asili ya Akili na Kufikiri huku Wakirandaranda Mitaani na Kutamba ujio wake wakati kumbe zilikuwa ni Ndoto za Mchana tu. Kama...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Majuzi beki maahiri anayetegemea kutua Jangwani hakuonekana katika kikosi chake cha Mali kinashoshiriki michuano hiyo huko Algeria Wengi wamejiuliza kulikoni beki huyo maahiri kutokuwemo ktk...
2 Reactions
8 Replies
881 Views
Wachezaji wa Timu ya soka ya Gwambina wameombwa kutafuta maisha mahali pengine, hii ni baada ya Viongozi wa Timu hiyo kuamua kuivunjilia mbali klabu hiyo. Bwana Mnyeti amesema kwamba bado anayo...
6 Reactions
24 Replies
2K Views
Sir Jim Ratcliffe amekuwa mtu wa kwanza kutangaza nia yake hiyo tangu wamiliki wa sasa wa Manchester United (Familia ya Glazer) watangaze nia ya kuiuza klabu hiyo. Ratcliffe ni shabiki wa Man...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Dkt. John Simbachawene amekutana na bondia Mtanzania Karim Mandonga na kumpongeza kwa ushindi wake dhidi ya bondia wa Kenya, Daniel Wanyonyi katika pambano...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Naamini Kamarada (Comrade) wangu Hussein Msemaji wa Singida Big Stars FC yuko (tunae 24/7) hapa Mjengoni JamiiForums hivyo atalifafanua hili na kuliweka sawa kwani Binafsi kama GENTAMYCINE...
1 Reactions
5 Replies
908 Views
Ikiwa na wachezaji watano wanaoanza pungufu leo tumefanikiwa kujipatia pointi tatu muhimu. Yanga leo imecheza bila nyota wake tegemezi watano. ~ Yannick bangala ~ Khalid aucho ~ Benard Morisson...
6 Reactions
36 Replies
1K Views
Ningeletewa Manzoki pale mbele, Bobosi hapa katikati na akarejeshwa Miquissone upande wa winga ya Kulia halafu nikampata na Kiungo wa Ulinzi halisia Mukoko kisha nikampata yule beki wa kushoto...
11 Reactions
47 Replies
4K Views
Kocha wa shule ya upili ya Texas amepewa likizo ya utawala baada ya kuwataka wanafunzi wa riadha kupiga Push Ups 400 ambapo baadhi yao walitakiwa kupata matibabu na kulazwa Hospitali. Kocha wa...
0 Reactions
0 Replies
455 Views
Uongozi wa Yanga SC na wana Yanga SC msione Aibu Kutangaza kuwa mnapanga kuachana na Mtukutu Bernard Morrison ili kubaki na Wachezaji 12 Wanaotakiwa. Na taarifa za ndani kabisa kutoka kwa...
6 Reactions
42 Replies
4K Views
Machampioni watetezi wa ligi kuu nchini Tanzania Young Africans S.C almaarufu Yanga leo wanashuka dimbani kukabilia na Ihefu katika mwendelezo wa ligi kuu ya Nbc... Mchezo huo utakuwa mgumu kwa...
3 Reactions
196 Replies
12K Views
Kuna Watu nawashauri mapema tu kwakuwa nimeshaona hawana Mabeki wa Kuwazuia akina Mayele na Musonda hiyo tarehe 9 April, 2023 basi GENTAMYCINE nawashauri kuanzia leo wakirejea kutoka Kuzurula na...
11 Reactions
24 Replies
2K Views
Naenda Kulala nitasoma Comments zenu nikiamka Kesho ila Siku zingine tusione Aibu kusema Daraja la Timu tunayoenda Kucheza nayo.
5 Reactions
9 Replies
1K Views
Mwaka 2023 umeanza vizuri kwa Messi akizoa tuzo 3 za IFFHS, huu ni mwanzo tu tuzo nyingine zinakuja nyingi kwa GOAT [emoji238]. Tuzo alizoshinda ni pamoja na best player, playmaker na mfungaji...
6 Reactions
47 Replies
2K Views
Sasa makelele yote ya kuwa nchi itatingishika ndio yule Musonda? Ntibazonkiza kacheza mechi moja tu kaondoka na mpira na hao Mbeya City wajipange kweli kweli j5, otherwise watakufa 8, msiwe...
8 Reactions
89 Replies
4K Views
Kama ilivyokuwa kwa Azam na Simba, Yanga nao wamepata ushindi wa mbinde kwa Ihefu wa goli moja tu. Ikumbukwe kuwa ktk mechi za Azam v Ihefu na ile ya Simba v Ihefu zilizochezwa Dar es salaam zote...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Klabu ya Simba almaarufu Wekundu wa Msimbazi leo imetangaza kumsajili Mshambuliaji kutoka Malindi ya Zanzibar kwa mkataba wa miaka miwili. Mchezaji huyo anayefahamika Kwa jina la Mohamed Mussa au...
8 Reactions
57 Replies
8K Views
Morrison bado yupo kwao. Aziz Ki bado yupo kwao. Feisal tunaambiwa hana professional kutoka kambini sawa Lakini Hawa Azziz key na Morrison wanajua kesho yanga ana game ngumu na IHEFU ambayo...
10 Reactions
54 Replies
3K Views
Fuatilia live mtanange huu kwa link hii
3 Reactions
171 Replies
10K Views
Nawaambia Yanga ni Taasisi kubwa sana. Asilimia 80 ya Wana CCM ni Yanga na Chama ni Yanga. Huyu Dismas alitaka shindana na Nchi. Kiko wapi?
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…