Huu uzi kuna watu watapita kama hawaoni maana wengi mwaka huo walikuwa viunoni mwa wazazi wao, wengine mlikuwa Sitimbi huko hamjui hata video ni mdudu gani.
Mwaka 1986 kulikuwa na fainali za...
Uwezo wa Saido hauhitaji uchambuzi mwiiiiiiiingi. Sitaki kujiba kazi ya kuchambua, kama unataka uchambuzi chambua mwenyewe. Mimi nakuwekea sinema tu. Kwa wewe ambaye hukumuona jana basi jionee...
Kiungo mahiri wa Simba ambaye alikuwa nje kwa muda mrefu kutokana na majeraha, Hassan Dilunga HD ataonekana kule visiwani Zanzibar akipambania namba kwenye michuano ya kombe la Mapinduzi Zanzibar...
Mbeya city walivaa jezi nyeusi dhidi ya prisons wakanyooshwa, na Azam walivaa jezi nyeusi dhidi ya Yanga wakanyukwa. Jezi nyeusi ya Yanga sio TU ni nyeusi bali Ina majina ya watu wao muhimu sana...
Feitoto ni mchezaji mwenye juhudi nyingi uwanjani, ila kiukweli sio mchezaji mwenye kipaji halisi cha soka. Ukiachana na mashuti anayopiga ambayo ni asilimia chache sana yamezaa magoli nini...
Mbona mnakosa shukrani nyie mikia?wakati mnaelewa kabisa huyo ni home boy na bado ana mapenzi ya dhati na timu yake pendwa na bado anatumia skills na improvisions za mwalimu mahiri, mmefanikiwa...
1. Hakuna kocha wa ligi kuu aliyeshinda bao 7 hadi sasa zaidi ya Simba.
2. Kuna siku Mgunda atamfunga mtu 10.
3. Kuondoka kwa Barbra watu wa kazi wamerudi ndani ya timu.
4. Onyango amechoka na...
Mimi ni mwanachama wa Yanga mwenye kadi kabisa ya uwanachama.
Watu wengi wanajiunga na kujiandikisha kama wanachama wa Yanga kwa sababu wanaona timu inavyopata matokeo.
Timu kwa Sasa imekuwa...
Ulimwengu wa Soka umefikwa na msiba mkubwa sana wa Mwanasoka ambaye amekubalika kuwa bora aliyewahi kutokea duniani Edson Arantes do Nascimento almaarufu Pele.
Waswahili wengi wamekuwa wakiweka...
Huu ni mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara unaotarajiwa kupigwa kwenye Uwanja wa Manungu Mkoani Morogoro, Mtibwa wakiwa wageni.
Kikosi cha Mtibwa Sugar
Kikosi cha Yanga kwa ajili ya mchezo huo...
Umri wake ni miaka 37 mwakani mwezi wa 2 tarehe 5 atakuwa na miaka 38.
Amesaini mkataba wa kufuru utakaomfanya kulipwa pesa nyingi kuliko mchezaji yoyote duniani!
Naamini kuanzia leo tutasikia kelele za FAIR PLAY baada ya kuchezewa rafu ya kawaida mcheza rafu Maarufu INONGA.
Nawakumbusha tu Watu wenu wanapenda mpira wa kimama mama. Tukiwaambia hamna...
Wakuu hongerani na kazi.
Wengi wetu tunafatilia Sana ligi za Ulaya Moja ya ligi pendwa ni English premier league.
Katiba msimamo wa ligi Newcastle timu iliyokuwa unafanya vema enzi hizo ni...
GENTAMYCINE nasisitiza Kwako kuwa acha Kuwazuga kwa kujifanya kuwa Unaumia na Umekereka sana na Dogo Fei kufanya aliyoyafanya.
Kwa Taarifa yako tu ni kwamba kuna Masheikh kutoka Zanzibar wameitwa...
Huu ni mkataba wa Fei na Yanga.
Kipengele namba 14 cha mkataba huu kinahusu EXPIRY, SUSPENSION AND TERMINATION IF THE CONTRACT yaani kuisha, kusitishwa au kuvunjwa kwa mkataba.
Kipengele hiki...
Habari za muda huu.
Bila kupoteza muda ngoja niende moja kwa moja kwenye mada , mashabiki wa bongo ni tatizo sana. Jana mnyama kapiga mtu saba kwa moja shangwe limetapakaa kila mahali ,kila mtu...
Hiki kilichomtokea ronaldo ni aibu ya karne
Mchezaji bora mara tano wa Dunia Ronaldo alikataliwa na kila timu huko Ulaya
Timu moja iliyomkubalia ni timu yake ya utotoni ila ikaweka mashariti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.