Kila nikiwaangalia hawa wachezaji wawili nashindwa kuelewa ilikuwaje wakanunuliwa kwa bei kubwa namna ile.
Hawa ni underdogs wawili waliotumika kufanya utapeli pale Liverpool na Man united. Nunez...
Yanga wakimuaga daktari wa timu wiki iliyopita.
Kambole amekuwa akifungiwa ndani huko Avic Town Kigamboni ili kuficha aibu ya siasa za usajili.
Huyu ni mchezaji aliyetajwa kuachwa na Yanga baada...
#MICHEZO Nyota watano wa klabu @yangasc hawatakuwa sehemu ya kikosi ambacho kimeondoka leo chini ya kocha msaidizi Cedric Kaze kuelekea visiwani Zanzibar kushiriki Kombe la Mapinduzi lililoanza...
Nianze kwa kutoa lawama zangu KWA uongozi wa Yanga kwa sababu nimesikia eti Feisal amejiunga na kambi ya Yanga.
Ni kwamba mashabiki wa Yanga hatumtaki Feisal.
Tumeshakubali kwamba ameondoka...
DIARRA BADO YUPO SANA: Klabu ya Yanga imetangaza kumwongezea mkataba golikipa wake Djigui Diarra na sasa- nyota huyo atasalia mitaa ya Jangwani mpaka msimu wa 2024/25.
Diarra alijiunga na Yanga...
Nauheshimu Uongozi wangu wa Simba SC ila GENTAMYCINE nikiulizwa naonaje Usajili wa Saido Ntibanzokinza jibu langu nitatoa haraka tu kuwa hakuistahili Kusajiliwa Simba SC na Hadhi ya Simba SC siyo...
Salaam Wana JF
Ukiondoa ushabiki, akili Banda, uchawa na kuusimamia ukweli wa mpira unaweza kuona ni jinsi Gani Yanga ni industry Bora Kwa maendeleo ya mpira Kwa sababu zifuatazo:
1. Feitoto...
ARSENAL BADO WANAKOMAA NA MUDRYK
RASMI: Klabu ya Arsenal imetuma ofa ya pili ya kumsajili nyota wa Shakhtar Mykhaylo Mudryk baada ya ile ya kwanza ya €40m na nyongeza ya €20m kukataliwa.
Kwa...
Ni kama hatujiamini tuna maumivu makali sababu yanga inaonesha haina dalili ya kushuka pale juu. Tunatembea na fundo zito la hasira kali tukipata taarifa yoyote mbaya ya Yanga tunaruka kwa furaha...
Nyota huyo wa zamani wa Santos FC, anayetambuliwa kama mmoja wa Wanasoka bora zaidi wakati wote, alilazwa hospitalini tangu Novemba 29, 2022 huko Sao Paulo
Ripoti ya utabibu kabla ya Krismasi...
Pape Ousmane Sakho10 ametajwa kwenye kinyang'anyiro cha kikosi bora cha kwanza timu ya taifa ya senegal
Hongereni Simba SC Tanzania kwa kuonyesha kipaji cha kijana huyu [emoji91]
Hii ni tuzo ambayo hutolewa mara moja kwa miaka 30,ambapo hadi sasa aliwahi kuishinda ni Alfredo Di Stephano Pekee yake mnamo mwaka 1989.
Kuna kinyang'anyiro cha mkumpata Mshindi Mpya kwa muda wa...
Binafsi ni mshabiki wa mpira wa kiwango cha kati, siyo shabiki lialia anayeweza kulia timu yake ikifungwa.
Sasa nilikuwa nawauliza mashabiki lialia wa Yanga, je, kuna ubaya wowote Feisal kwenda...
Huyu gwiji mkongwe katika mpira ameshachoka sasa. Wakati ni ukuta, anatakiwa kujiongeza na kutunza heshima yake.
Wenzake wakifikisha miaka ya pensheni huwa wanakwenda Marekani au Uarabuni kula...
salaaam Wana jf
Mchambuzi Bora hapa nchini Oscar Oscar, mtu asiye na MBA MBA MBA kwenye tasnia ya football analysis (uchambuzi wa soka) kwa wale waliokimbia shule, ameshare list ya wachezaji 10...
CAF CONFEDERATION CUP 2022/2023
Group D:
1: TP Mazembe (RDC)
2: US Monastri (TUN
3: Young Africans S.C. (TAN)
4: Real Bamako (MLI)
Sasa hapo timu inayojiita ya wananchi ishindwe yenyewe tu...
Mbiringe au Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara[emoji1241] kuendelea kugombewa leo Disemba 30,2022 ambapo Wataalamu wa kusakata kabumbu lenye viwango vya CAF Wekundu wa Msimbazi Simba SC[emoji881]...
Kama Msaliti Godfrey Nyange Kaburu angepitishwa katika Usahili na kuwa Mgombea wa nafasi ya Uenyekiti wa Klabu ya Simba ningewadharau Viongozi wangu wa Simba SC na hasa Wanachama.
Nawapongeza...
Habarini Wajuzi wote wa Football Duniani na sio Soccer kama wanavyoita kina Joy Biden.
Hichi hapa ndiyo Kikosi Bora CHA DUNIA cha Mwaka 2022.
Yeyote asiyekubaliana na Kikosi hichi huyo hajui...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.