Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kikosi bora cha wachezaji wote duniani raia wa africa Mayele ndani
5 Reactions
29 Replies
4K Views
Nimeona taarifa ya kuwa Nabi kakataa Fei Toto kurejea kambini hata baada ya mgogoro wake na club kusuluhishwa. Kama ni kweli basi huyu kweli ni Professor haswaa. Viongozi wa Yanga hawakupaswa...
16 Reactions
66 Replies
6K Views
Wamuwekea mil 14 kwa mwezi mezani boresho la mkataba..... Kambole. Loading.... Fei adai jamaa wamelia sanaaaaaaaaaa na kudai kuwa wamemuahidi watampa mke mmoja wa manara ng'ombe wa mayele, Priva...
13 Reactions
72 Replies
5K Views
Kikiundwa tu Kikosi Kazi cha Umafia (Michezo Michafu) ya Soka la Tanzania (Bongo) kisha Kikaaminiwa, kukawa na Usiri nina uhakika Simba SC ikizicheza Mechi Nne tu za Yanga SC ile ya Mtibwa Sugar...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
GENTAMYCINE najuta ni kwanini wakati nacheza Mpira kwa Ngazi za Shule O level na A level achilia mbali Ligi Daraja la Tatu Mkoa pamoja na Ndondo hasa nafasi yangu ya Beki wa Namba Mbili, Beki wa...
1 Reactions
14 Replies
859 Views
Nimeona magazeti leo wanaongea sana, niwajulishe tu Fei anatakiwa kununua mkataba na sio kuvunja. Ukinunua unatumia kipengele cha 18, 1.2 na ukivunja unatumia 14 A.B ambacho unarudisha fedha ya...
4 Reactions
41 Replies
3K Views
Bahati mbaya nchi hii kuna watu wengi wanapenda ufuska na hasa uliopindukia wa kutamani jinsia yake mwenyewe. Mfalme haimbi matusi na kwa hiyo watu kama hawa hawawezi kuwa mashabiki wake...
2 Reactions
5 Replies
443 Views
Na kumbuka mwaka jana alivyo teseka mayele. Alikuwa ana funga magoli kwa wakati mgumu wengine walikuwa wana mkanyaga kwa makusudi kabisa huku mashabiki wa simba wakifurahi sijui george mpole sijui...
2 Reactions
5 Replies
611 Views
Mama kapigiwa sana Simu (siyo za Vitisho) na Watu anaowaheshimu na wenye Nyadhifa zao na wale waliowahi kuwa nazo nchini (wenye Mapenzi mema) na Yanga SC ili amsihi Mwanae abadili Maamuzi na...
41 Reactions
107 Replies
8K Views
Ukiona GENTAMYCINE anachukiwa sana na Manyang'au wengi Mtandaoni / Mitandaoni licha ya Yeye Kubarikiwa mno na Mwenyezi Mungu na kuwa Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and...
0 Reactions
0 Replies
594 Views
Wakili na mwanamichezo mzoefu nchini, Aloyce Komba ametoa ufafanuzi juu ya dili la Fei Toto kutua Azam akisema: . “Yanga wamefanya uzembe wenyewe na wasije wakathubutu kukimbilia Fifa kama...
34 Reactions
182 Replies
12K Views
Naaam heri ya sikukuu za Krismasi na Maandalizi ya Mwaka Mpya 2023. Achana na mambo ya kulilia jezi nyeusi leo nakupa uchawi wa Yanga walioufanya kwa takribani mwaka mmoja Uchawi...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wakuu, Kama kuna mwenye usagihi wa mishahara ya Kibu na Muzzamiru aniwekee hapa jamvini...
1 Reactions
32 Replies
7K Views
Hatimaye jamaa anatembelea magongo,bila shaka ni taarifa njema kwa watu fulani.
4 Reactions
35 Replies
2K Views
Kupanga ni kuchagua na tumeamua 2026 tunachukua ndoo! #football_economy#
1 Reactions
13 Replies
787 Views
Kwenye Mchezo wa Jana ( Wenyeji wa Mechi ) walikuwa ni KMC ambao kwa sababu zao wenyewe waliamua Kuukimbia Uwanja wao wa Nyumbani wa Uhuru Mkoani Dar es Salaam na kuamua kuipeleka Mechi hii CCM...
2 Reactions
5 Replies
937 Views
Licha ya kusubiriwa kwa hamu na mashabiki wengi wa mchezo wa ndondi, pambano hilo limeishia Raundi ya Kwanza kutokana na Iddy Pialali kupata majeraha baada ya kugongana na mpinzani wake. Wakati...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Back
Top Bottom