Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Jana tulikuwa tunashabikia Fei Toto kwenda Azam kama vile atatusaidia kuongeza point, leo tunashabikia wauza ukwaju na kusema kipa wao kawaangusha. Yaani kafungwa Azam maumivu makali na lawama...
8 Reactions
18 Replies
672 Views
Nilivyovigundua kwa Yanga SC na kunifanya leo nizike rasmi Imani ya kwanini Jezi Nyeusi zilikuwa zinatumika hadi Kuhisi labda .ni imani za Kiuswahili / Ushirikina ni vifuatavyo.... 1. Yanga SC...
42 Reactions
35 Replies
3K Views
Hii ari wanayokuwa nayo wachezaji wa Yanga ndani ya dimba huwa inanifikirisha sana. Wachezaji wa Yanga kwa muda wa misimu hii miwili sasa, wakiingia uwanjani dhidi ya timu yoyote wanaonesha ari...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Kuna kaujinga fulani kanaenezwa na wajingawajinga fulani hivi kuwa yanga akivaa jezi nyeusi ndio anashinda na asipovaa basi ashindi. Azam leo wamekataa katakata kuvaa jezi zao za nyumbani wakavaa...
22 Reactions
22 Replies
2K Views
Kama Yanga umewalipa chao na wamekomaa hawataki uondoke, nakushauri Azam hawataweza kupambana na Yanga, watanywea, tangaza unakwenda Simba kesho asubuhi, utaona mwenyewe, nakuhakikisha gemu na KMC...
7 Reactions
38 Replies
2K Views
1. Msemaji wa Azam FC aliye Kifungoni Zaka za Kazi..... Siku ya Mechi yetu na Yanga SC Jumapili tarehe 25 Disemba Tutavaa Jezi Nyeusi. 2. Msemaji wa Azam FC aliye Kifungoni Zaka za Kazi...
5 Reactions
33 Replies
4K Views
Baada ya kufanya vyema pale Coastal Union Abdul Sopu na Victor Akpan walikua "keki moto" kwenye dirisha la usajili wote wakiwaniwa na timu tatu kubwa Tanzania ila Simba ikafanikiwa kumpata Akpan...
0 Reactions
2 Replies
428 Views
Mchezaji maarufu Mzungu wa Simba Dejan Georgijevic ametangza rasmi kutua nchini kukipiga. Dejan hajaweka bayana kama ataendelea na Simba au atatua Yanga kuziba pengo la Faizal Fey Toto...
4 Reactions
8 Replies
959 Views
Credits to changaule
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwanza nawasalimu wakuu, nawatakieni pia heri ya christmas kwa wale walioweza kuiona, Mungu akitujaalia tuonane mwaka mpya kwa kishindo. Baada ya salaam hizo hapo juu naomba nijikite kwenye mada...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Klabu ya Yanga imeripotiwa kurejesha pesa za kuvunja mkataba kiasi cha Tsh milioni 112 zilizolipwa na mchezaji Feisal Salum Klabu hiyo imemuandikia barua mchezaji huyo na kumtaka azingatie...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Muda mwingine unaweza kukubali kuwa Yanga ni sikio la kufa iwapo km suala la Fei Toto litawabwaga chini. Je Yanga hawakupata somo kupitia kwa Morison? Ni kweli Yanga Wana wanasheria tena mahili...
0 Reactions
2 Replies
526 Views
Wakuu herry ya Xmas... Ishu ya Feitoto kutimkia zake Kwa matajiri wa chamazi imebuma. Azam wamekosea sehemu, kuvujisha taarifa za Feitoto kabla dili lao la usajili kukamilika, imewafanya Yanga...
6 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari za muda huu wapendwa, Sakata za uhamisho za Januari naona zimeanza, nasikia Azam ameweka pesa nyingi sana kwa Fei Toto. Bosi wangu Yusuph onesha jeuri ya pesa, ikikupendeza mpeni Fei...
7 Reactions
40 Replies
3K Views
Mimi si mtaalamu wa sheria kwa hiyo natumia mantiki ya kawaida tu. Ni kweli mkataba wa Fei toto ulikuwa na kipengele kinachosema mchezaji akitaka kuvunja mkataba anatakiwa kulipa kiasi cha 100M...
5 Reactions
7 Replies
675 Views
Saikolojia Nimetizama takribani Mechi Tano ( 5 ) za Simba SC na nilichokiona kwa 90% kinachoisibu ni Utulivu wa Kiakili ( Saikolojia ) ya Wachezaji. Body Language ya Wachezaji wa Simba SC ukiwa...
1 Reactions
2 Replies
516 Views
Klabu ya AZAM FC inahusishwa na kutaka kumsajili beki wa kulia Kibwana Shomari kutoka Yanga Sc. #sportsplanetupdates
7 Reactions
46 Replies
3K Views
Kaboooooommmmmmm
0 Reactions
11 Replies
758 Views
Back
Top Bottom