Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kwa sisi tuaojua sheria za usajili wa wachezaji, hili swala la Feitoto na Yanga linawapa advantage Yanga kuendelea kummiliki mchezaji pamoja na mchezaji kuwa amelipia mkataba wake uliosalia...
13 Reactions
124 Replies
10K Views
Kweli ukistaajabu ya Mussa utaona ya Firauni, nimeshangazwa na Mchezaji aliyekosa namba kikosi cha kwanza cha Yanga Herriet Makambo kulipwa 10M huku mchezaji mwandamizi na tegemeo Feisali Toto...
9 Reactions
65 Replies
5K Views
Mbiringe au Patashika ya Moto wa Ligi Kuu Tanzania Bara[emoji1241] kuendelea kugombewa leo Disemba 26,2022 ambapo Vijana wenye vipaji, Wenyeji wa mchezo Kinondoni Municipal Council , KMC FC🟠...
9 Reactions
220 Replies
11K Views
Nimeona picha yupo Fei Toto, Hersi Said, Arafat Haji na Patric Saimon. Wapo na Fei na anaonekana kasaini mkataba, Je, karudi Yanga?
0 Reactions
44 Replies
4K Views
' Kila mchezaji mzawa hatakubali Feisal pekee ndiye arekebishiwe kipato huku wote wanakimbiza mpira dk 90! hili swala la feisal limeanzia kwa Stephane Aziz-K kununuliwa kwa bei mbaya na kuwa...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Gwiji wa soka wa Irani Ali Daei anasema ndege ya kimataifa imebadilishwa njia ili kumzuia mkewe na bintiye kuondoka nchini. Mzee huyo mwenye umri wa miaka 53, ambaye ameeleza kuunga mkono...
0 Reactions
1 Replies
531 Views
Kinachomgharimu Moses Phiri ni kutokubali kwanba Mshindani wake Fiston Mayele yuko kwenye Njia ( Relini ) Kiufungaji kutokana na Kuizoea Ligi Kuu ya Tanzania kulko Yeye Mgeni. Matokeo yake sasa...
10 Reactions
35 Replies
3K Views
Mchezo huu ni wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga ikiwa kileleni katika nafasi ya kwanza wakati Azam FC ikiwa nafasi ya tatu. AZAM vs YANGA: Katika mechi 11 walizokutana kwenye Ligi Kuu tangu msimu...
9 Reactions
455 Replies
30K Views
Klabu ya psv ya uholanzi imethibitisha kufikia makubaliano na klabu ya liverpool kumsajili mchezaji cody gakpo. source:bbc
0 Reactions
0 Replies
440 Views
Tayari mapambano yameshaanza ulingoni ndani ya Uwanja wa Majimaji Mjini Songea, leo Jumamosi Julai 30, 2022: Ndunguru ashinda Bondia Usungu Ndunguru amefanikiwa kupata ushindi dhidi ya Bernard...
11 Reactions
185 Replies
17K Views
Bondia Karim Mandonga amefanikiwa kupata ushindi wa pointi dhidi ya Alibaba Tarimo katika pambano la uzito wa kati lisilo la ubingwa la Raundi 4. Akizungumza baada ya ushindi huo Mandonga amesema...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Namtafuta sana. Alishawahi kuchezea Club kadhaa ikiwemo Yanga, Majimaji, na mara ya mwisho Prisons. Sijui nitampataje?!
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Huyu Mmoroko anawaghalimu sana Azam, na sjui kwa nini kocha nae haoni. Pole yao kwa leo. Ila Azam nahisi leo walikuwa wanamuwaza Feisal maana kuna muda walikuwa kama hawapo uwanjani huku wakikosa...
3 Reactions
49 Replies
4K Views
Ukiwatizama Yanga SC katika kila Idara na kuangalia Fitness yao hasa kwa Mchezaji mmoja mmoja na ukawalinganisha na wa Azam FC na current performance yao ambayo ni ya kusuasua bado nawaona Yanga...
20 Reactions
42 Replies
3K Views
Kila nikimuangalia huyu mchezaji ninaona anatumia mbio nyingi na ndio mafanikio yake yapo hapo. Akishavuka miaka 30 hataweza kukimbia kwa kasi ya sasa hivi na hapo atapotea kama alivyopotea...
16 Reactions
237 Replies
11K Views
Wiki iliyopita nilisoma uzi wa mdau kuhusu Azam media kuepuka kutaja neno Christmas kwenye maudhui yao ya kutakia watanzania heri ya sikukuu za mwisho wa mwaka. Ni kweli sio bahati mbaya ni...
55 Reactions
295 Replies
11K Views
Iwapo Fei Toto amevunja mkataba kihalali na bado jopo la wanasheria tena waliofaulu Law school wanasema ni mchezaji wa Yanga, hii ni dalili mbaya kwa fani ya sheria nchini. Inawezekana hata hao 26...
5 Reactions
19 Replies
1K Views
Wala haihitaji akili nyingi kuona hili,timu inajituma uwanjani, unaona kabisa wana kiu na ushindi! Wachezaji kila mmoja kwa nafasi yake anatimiza majukumu yake. Yanga sports club watachukua...
22 Reactions
34 Replies
3K Views
Naaam, natoa kongole kwa huyo mwana Simba lialia mzee wa propaganda wakuitwa GENTAMYCINE. Nimepitia baadhi ya nyuzi zake zilikua ni kuichokonoa yanga na maneno ya kejeri kwa kweli Kama una hasira...
3 Reactions
4 Replies
502 Views
Back
Top Bottom