Habari wadau.
Wachambuzi mbalimba wa soka wamedai kwamba Bingwa wa Kombe la Dunia ambae Ni Argentina aliandaliwa Mapema ili Messi atwae ubingwa kwa sababu za kibiashara.
Safari ya Argentina Hadi...
Baada ya kuziangalia timu zote kwenye mechi zilizowapeleka robo fainali, imekuwa dhahiri kwangu kwamba fainali itakuwa kati ya timu hizo.
Brazil anaweza kumtoa Croatia ingawa sitarajii iwe hivyo...
Karim Benzema has announced his retirement from international football on his 35th birthday, just a day after France suffered a heartbreaking penalty shootout defeat to Argentina in the World Cup...
Kombe la dunia limefikia tamati.
Ilikuwa rahisi kukisia matokeo ya mechi nyingi na kuona timu ambazo hazitafika mbali. Ili timu yoyote ibebe kombe la dunia ni lazima wachezaji hawa wawepo:
1...
Tumekuwa na wakati mzuri sana kuangalia kombe la dunia na sasa tunakaribia kufika mwisho. Kila timu imevuna ilichopanda. Argentina ndio timu bora zaidi kwenye michuano hii.
Lionel Messi anaenda...
Hizi tuzo zilitolewa kwa kuangalia mshindi wa UEFA Champions League (UCL). Ni dhahiri kwamba mchango wa Modric ni muhimu na wakipekee. Kama asingekuwepo Modric wala Real Madrid wasingeshinda hayo...
Leo wahaini tunawatoa kamasi👇
Sisi wana Argentina wenye mpira wetu, leo ni leo, tuna jambo letu kuhusu Wafaransa wa asili na wahaini/Waafrika wale mahaters wa Morocco mliokua mnawatukana na...
Hii transformation ya soka la Tanzania kuwa bongo muvi naiona ikiienda kwa kasi sana ikiongozwa na hawa jamaa watakao comment matusi hapa chini.
Wasomali ni mafia sana,hili jambo linaonekana kwa...
Yule mchezaji na kocha mwenye bahati zaidi duniani anaichukua timu ya taifa ya Ufaransa kama kocha kuanzia January 2023.
Ninatarajia ataenda kubeba Euro 2024 na kombe la dunia mwaka 2026...
Huyu ndiye golikipa wa timu ya Taifa ya Argentina ambaye mchambuzi maandazi wa soka TBC alidai anaidakia timu ya Sevilla la liga Hispania.
Ukweli ni kuwa ni golikipa wa Aston Villa EPL UIngereza...
Afrika itabaki kuwa Afrika tu, hususani hapa Tanzania. Nimefuatilia katika social media's za bongo, aise ni kama vile walikua wanatafuta vijisababu kutoka kwa hawa ndugu zetu Waarabu (Morocco) ili...
Rais huyo wa zamani wa FIFA, amedai kuwa hakutaka michuano hiyo ya 2022 ichezwe Qatar kwa kuwa ni nchi ndogo kuweza kusimamia shughuli hiyo kubwa ya soka.
Blatter (86) ambaye alikuwa Rais wa FIFA...
Habari,
Ikiwa ni dakika 1 kabla ya mechi kati ya Qatar na Ecuador kuanza natabiri Argentina kuchukua kombe mwaka huu, na wewe unatabiri timu gani kuchukua ubingwa?
Habarani Wapenda Michezo.
Naomba niseme mapema mimi ni shabiki wa Ronaldo the Boy from Madeira CR7 shabiki Kufakufa. Hio haimanishi siwez kusema mazuri ya Messi NO, MESSI is so F*ck*ng Talented...
Team Messi Kesho tunanyanyua makwapa kwa mara ya Kwanza kabisa tukisherekea kombe la Dunia.
Hapo Ufaransa kashaleta ufala wake, tumepita naye 3:1, dakika 6 za nyongeza zinaisha Mbappe haamini...
Kuoneshwa kwa Kombe la Dunia na kufuatiliwa kwa karibu na watu wote imesababisha kupunguza ladha kwa soka letu la kivyetu vyetu.
Mood tuliyo nayo kwa walio wengi sio tena kwa Chama wala Azizi K...
Mshambuliaji huyo amekataa ofa ya Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron ambaye ametoa ndege yake binafsi kwa wachezaji wote majeruhi wa taifa hilo kwa ajili ya kwenda Qatar kushuhudia mchezo wa...
Alichokifanya huyu mwamba kwenye kombe la dunia haswa Jana ni tofauti na alivyokuwa Man United, nahisi alikuwa anatufanyia kusudi, mpira wa Jana ndo wa di Maria tulikua tukiujua.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.