Habari za mda huu,
Leo katika pita pita zangu mtandaoni nimeona bwana CR7 Hajawahi hata kufika semi final world cup
Yaani kiufupi status yake kwenye kombe ya dunia anazidiwa na Zyech, licha ya...
Habari za uzima wananzego, ni matumaini yangu kuwa ni wazima wa afya kabisa lakini kwa mashabiki wa yanga ni furaha tele Tena tele Sana.
Okey anyway niende kwenye point moja kwa moja Kama kichwa...
Hakuna kitu kibaya kama imani, yanga wamejiaminusha kuwa jezi nyeusi ndio yenye bahati kwao.
Sasa kimbembe ni jumapili dhidi ya Azam fc, Azam wanasema watavaa jezi nyeusi, ikumbukwe mwenyeji wa...
Andre Onana (26) aliondolewa kambini wakati timu yake ikishiriki katika Kombe la Dunia 2022 baada ya kutofautiana na kocha wake, Rigobert Song.
Kipa huyo wa Inter Milan alianza kutofautiana na...
"Haji Manara juzi alikuja katika Tamasha la Yanga SC na hakuja katika Shughuli za Kimpira za Klabu ya Yanga " Arafat Haji Makamu Rais wa Yanga SC.
Taarifa: EFM Sports Headquarters leo.
Makamu...
Taarifa za ndani zinaelezwa kuwa klabu hiyo ipo tayari kutoa Paundi Milioni 30 kwaajili ya kiungo huyo wa Manchester United.
Paris Saint-Germain (PSG) imehusishwa na Mbrazili huyo licha ya kuwa...
Baada ya Moses Phil kuchezewa kuumizwa kiwanjani, Ahmed Ally msemaji wa Simba amelalamika sana, sio vema wachezaji kuumizana na siungi mkono wachezaji kuumizana viwanjani, lakini Ahmed alipaswa...
Mwendelezo wa Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara[emoji1241] kuendelea kupigwa leo Disemba 21, 2022 ambapo wenyeji Wanankurukumbi Kagera Sugar wanawakabili Wekundu wa Msimbazi Mnyama Mkali Mwituni...
Aliyekuwa mshambuliaji hatari wa timu ya Uholanzi Marco Van Basten amesema Lionel Messi ni mchezaji wa kawaida sana na wala sio mpambanaji kabisa.
Amewataja wachezaji kama Pele, Maradona na Johan...
Magoli yanaonekana, yanapikwa yanapakuliwa. Kipindi cha kwanza unapigwa kipindi cha pili unanyukwa. Mwana kulitaka mwana kulipewa. Boli linatembea. Ni magoli mixer, yapo ya uwezo binafsi yapo ya...
Juzi mchezaji wa Morocco alisema ushindi wa Morocco ni kwa ajili ya waarabu na nchi za kiislamu, naye mfalme wa Arabia ameshukuru Morocco kwa kuwaakilisha waarabu vyema....
Waafrika tuache...
Tafuta tu popote pale Picha ya Lionel Cognizant Messi akiwa ameshika Tuzo yake ya Golden Ball na ile ameshika Kombe la Dunia alizoshinda zote leo kisha muonyeshee tena kwa Kumringishia kabisa...
Messi ni moja wa mchezaji anayependwa na watu wengi sana hapa duniani kutokana na ukarimu, Nidhamu aliyojaliwa. Hakuna timu ulimwenguni isiyopenda kuwa na mchezaji kama Messi.
Wakati wa kombe la...
Timu inayomilikiwa na Tajiri namba moja Tanzania billionaire/trillionnaire Mohammed a.k.a mudy dewji, club hicho chenye utajiri wa kutisha ambao mwanzoni wa msimuu huu waliingia mkataba na mbet wa...
Msimu huu Yanga wameingia na gia kali kutoka kwa mganga wao, wengi wanadhani Yanga ina upendo na yatima au Yanga wanarudisha kile wanachokipata kwa Jamii, la hasha, hii ni michezo ya mjini ambayo...
Waliosema mtoto wa nyoka Ni nyoka hawakukosea maana nyoka hawezi kuzaa kenge.
Kijana kiume wa Christiano Ronaldo almaarufu CR7 amerithisha Moto kwa binti yake ambae nae anaendelea kukiwasha huko...
Kwa Tafsiri ya Kiswahili ni " Ingekuwa sio haki Kama Messi angestaafu bila kushinda kombe la Dunia"
Kumbuka na Hawa walishatabiri Argentina itabeba kombe baada ya kuona Mambo yalivyokuwa yakienda
Kuna hoja kuwa shirikisho la soka la Amerika ya Kusini (CONMEBOL) waliandaa michuano ya Copa America mara nne katika kipindi cha miaka sita kinyume na utaratibu ili tu mchezaji fulani aweze...
Kwa kweli Jamaa amewafelisha sana.
- Kosa la Kwanza ni sakata la Benzema.
Imeabainika kuwa Benzema alitaka kubaki na timu baada ya Injury kocha akamkatalia, na ilip[ofika round of 16 Karim akawa...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani FIFA limelaani kitendo cha mpishi maarufu duniani Nusr Et maarufu Salt Bae ambaye huchoma nyama na kuwalisha mastaa wakubwa duniani kulishika kombe la dunia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.