Timu Ronaldo walipiga kelele nyingi sana ndani ya miaka hii michache iliyopita hadi tukaona tuwaache tu, sasa leo hii pumba na mchele vimejitenga hakika sasa wote tunaongea lugha moja.
Wakati Cr7...
Kazumari kamwaga unyunyu jamani. Ebu tujadili huu mkataba wa Feisali.
Kwanza ni KWELI pasi na shaka yoyote kwamba Feitoto amewapa NOTISI klabu yake ya Yanga SC ya kuvunja mkataba nao.
Feisal...
Viongozi na Wachezaji wote wa Klabu ya Simba wamezuru kaburi la Shujaa Maguful na kuweka mataji ya mauwa na kupiga picha za kumbukumbu.
Meneja wa Simba SC Rweyemamu ameishukuru familia ya Shujaa...
Kuna tetesi za Feisal kuondoka kwenda Azam, kama lina ukweli basi atakiwe kila la kheri maana mpira ni ajira.
Ila napendekeza uongozi ufanye replacement yake kwa kumchukua mchezaji fundi kutoka...
Habari ya asubuhi wana Simba. Nina mawili ya kusema:
Hivi ni kweli Simba imepokonywa bus na wale wawekezaji? Kama ni kweli hii ni aibu kubwa kwa timu kubwa kama Simba kukosa bus la mil 200. Hebu...
Nimewaangalia hawa vijana na kuona wanafanana kwa vitu vingi, hawa ndio walinganishwe pamoja. Sio sahihi kumlinganisha Mbappe na mentor wake pale PSG (ambaye ndio mfalme wa football) au yule mzee...
I was there myself, Quata is place to be, everything is perfectly done, beautiful city Doha 100% though the Europeans don't want listen to it. We wish more Arab Middle East countries to hold more...
Sitaki kuiamini sababu kuwa Kusafiri kwa Basi kwenda Kagera ndiyo kumesababisha Uchovu ule Uliioonekana kwa Wachezaji walipocheza na Kagera Sugar FC.
Ila nikiambiwa moja wapo ya Sababu hizi za...
Ligi ya bongo bingwa anaanza kuonekana mapema mno, watu wa mpira walishajua bingwa wa msimu huu ni nani.
Kuiombea mabaya Yanga apoteze sio sababu je akipoteza simba anaweza kuendeleza ushindi...
Haikuwa bahati mbaya,na sio mara moja kwa matendo yasiyo ya kimichezo kuoneshwa kwa wachezaji wa Simba.
Ninasema sio bahati mbaya kwa sababu ya kujirudia rudia kwa vitendo vusivyo vya kimchezo na...
Hiyo ndio habari kuu kutoka Argentina
Mchezaji bora wa muda wote duniani Leon Messi anapendekezwa sura yake kutumika kwenye sarafu na noti za Argentina
Heshima kwa Messi
Gazeti la elfinanciero...
~ Yanga wamalizana na Muzungu kutoka Berkane.
~ Yanga wanamaliza na Bobosi.
~ Yanga wanatarajia kuwatumia Yacouba, Sogne na Kambole kwenye mashindano ya Mapinduzi, ili kuwaangalia nani wa...
"....Simba kama Taasisi huingia mikataba na wadau mbalimbali na tofauti kwenye mikataba huwa zinajitokeza popote pale na kama Klabu tupo kwenye mazungumzo na wadhamini wetu ili mambo yarejee kama...
Mwekezaji Mohammed Dewji, CEO Barbara Gonzalez na Mwenyekiti wa Bodi ya Simba SC Salim Abdallah Mhene 'Try Again' wana Simba SC hatutowaelewa kama hatutalisikia Jina la Mshambuliaji Kiboko ya...
Kuhusu Luis Miquissone
Klabu ya Abha Club inayonolewa na Kocha Roel Coumans ililipa zaidi ya Milioni 700 kama Loan fee kumpata Luis Miquissone kutoka Al Ahly.
Kwa sasa thamani ya Luis Miquissone...
Ukiitazama timu ya Simba Kwa macho ya kiuchambuzi ni timu iliyokamilika sana Kila sekta, Wana beki wazuri, viungo plus washambuliaji ila wakija uwanjani wanakosa consistence Leo wachezaji hao hao...
Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) limefikia maamuzi hayo baada ya mpishi huyo maarufu wa nyama kuingia uwanjani baada ya mchezo wa fainali kujumuika na wachezaji wa Argentina kushangilia...
Denis Nkane aliumizwa jana na kutolewa nje. Amekwenda kufanyiwa vipimo kujua ukubwa wa jeraha.
Kitu ambacho huenda hukijui ni kuwa, baada ya kutolewa nje ya pitch ililazimika Yanga wacheze...
Huyu jamaa tangu aingie kuwa afisa habari wa Simba, timu ya Simba haijawahi kuifunga timu ya Yanga, pia mwenendo wa club yetu umekuwa wa hovyo sana, kila siku analeta porojo tu.
Mimi nadhani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.