Kwa kweli mambo yamekuwa ya siku nyingi sana mpaka yanakaribia kutapisha sasa.
Messi aliwezaje kushinda tuzo ya Man of The Match katika mechi ya fainali jana mbele ya Mbappe, Martinez au Di...
Mchezo huu wa Ligi Kuu Tanzania Bara
Kikosi cha Yanga kinachoanza katika mchezo wa leo
Mchezo umeanza
5' Coastal wanaonekana kuwa makini
10' Kasi ya mchezo siyo kubwa
12' Matokeo bado ni 0-0...
Leo hii dunia nzima inamuongelea Kylian Mbappe(23) kwa yale aliyoyafanya makubwa juu ya taifa lake katika fainali za kombe la dunia na kufanikiwa kuifikisha nafasi ya pili timu ya ufaransa.
Leo...
Shukurani ziende kwa Argentina kwa kuwafunga hawa watu weusi walio usaliti Afrika na kujivika uzungu pori.
Yaani watu weusi sijui hii ngozi ina matatizo gani?
Yaani ungeona njinsi yalivyo kuwa...
Ni swali tu ndugu zangu, mwenye majibu naomba anieleweshe, au kama ziliwahi kucheza mchana wa jua kali la saa 8 basi nikumbushwe, ilikuwa lini na wapi?
Hatuwezi kuwa na ligi moja ya soka yenye...
Hello wanakandanda wa JF!
Baada ya michuano ya kombe la dunia kuhitimishwa huko Qatar na Argentina kuchukua kombe hebu tufanye flash back kulinganisha na michuano ya 2022 na ya miaka ya nyuma...
Inaelezwa kuwa Kocha Mauricio Pochettino anaondoka Paris Saint-Germain baada ya kufikia makubaliano ya kuvunja mkataba baada ya kuifundisha timu hiyo kwa muda wa miezi 18.
Kocha huyo raia wa...
Hivi ikitokea kocha au wachezaji wakatoa lugha ya matusi na Watanzania wakalisikia ni nani ndiye atakaewajibika?
Kwanini msiweke mic off mnapowakaribia hapo uwanjani?
Sent from my SM-A135F using...
Yaani nashindwa nielezee vipi ili nieleweke.
Jana baada ya fainali ya kombe la dunia kumalizika nilipata maumivu makali sana ambayo sijawahi kuyapata kwenye masuala ya kimichezo yaani moyo...
Kama mnavyojua Argentina wamecheza michezo 6 ya kombe la Dunia mpaka sasa, wamepewa penalti 5.
Yaani almost kila mchezo wanepewa penalti. Kesho dhidi ya Ufaransa wanapewa penalti nyingine
Picha alizopost Messi baada ya kutwaa taji la Ubingwa wa Dunia akiwa na timu yake ya Taifa ya Argentina imevunja na kuweka rcord mpya ya Dunia baada ya kupendwa (kupata likes) zipatazo Milion 64.5...
Miongoni mwa wadau wenye mchango mkubwa ktk kusukuma maendeleo ya soka hapa nchini ni pamoja na mwamba Michael Wambura.
Huyu amechangia Sana muda wake, uwezo wake wa mali na maarifa katika...
Kylian Mbappe inadaiwa anaweza kuvunja mkataba na klabu yake ya Paris-Saint Germain ikiwa uhusiano utazidi kuwa mbaya kutokana na kutofurahishwa na baadhi ya mambo.
Mvutano huo inaelezwa...
UEFA Nations League ni maashindano ya soka la kimataifa yanayofanyika kila baada ya miaka miwili yakishirikisha timu za Taifa za Nchi 55 Wanachama wa Shirikisho la soka la Ulaya (UEFA).
Dhumuni...
Zikiwa zimepita siku mbili tangu kumalizika kwa kombe la dunia nchini Qatar baada ya team ya taifa ya Argentina kutwaa ubingwa huo mbele ya team ya taifa ya ufaransa kwenye mikwaju ya penalty...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.