Habarini wadau wa soka.
FIFA wangeanza kwa kuondoa hii nafasi ya tatu kwenye mashindano haya ya kombe la dunia then wengine wangefuata.
Sioni maana ya hii nafasi zaidi ya kupoteza muda na...
Kila siku hatuli, hatulali, hatunywi, hatupumziki, Manzoki, Manzoki.
Mmemuona? Au mnaingia kwenye mtumbwi wa kibwengo tu.
Tuliwahi kumlilia sana Laudit Mavugo, kila siku Mavugo, alipokuja ikawa...
Ni Watu watatu(3) tu ndio ni watu watatu tu Dunia nzima yani unahesabu 1,2,3 ndio walioweza kuchukua Kombe hili kubwa na lenye hadhi kubwa katika mchezo wa Mpira wa Miguu.
Na ndio maana nikawaita...
Wanaodhaniwa kushinda hawashindi wanaodhaniwa kushindwa wanashinda!
He nchi za kiarabu na pacific (Japan) confidence imeongezeka coz psychologically wanachikulia Qatar as home ground?
Just got...
OFFICIAL: Rais wa Shirikisho la soka Duniani FIFA Bwana Gianni Infantino amethibitisha kuwa mfumo mpya wa kombe la dunia kwa upande wa vilabu utaanza mwaka 2025.
Mfumo huo utakuwa na timu 32 na...
Kipigo alichompiga Croatia mwaka 2018 kesho kitamgeukia atachapwa ndani ya dakika 90
Messi atamfunga na wengine watafunga
Messi pia atakuwa mchezaji Bora wa mashindano
Na mwakani Messi...
Ufaransa walifaidika na uchawi fainali ya 98
Waliloga sana, waliloga uwanjani na wakaenda kwenye hotel ya wachezaji wa Brazil
Wachezaji wa Brazil asubuhi wengi walishindwa kuamka kwenda kupasha...
Ndugu zangu kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho. Mara baada ya adhana jioni ya leo majira ya saa mbili kasorobo tutakuwa tunatoka uwanjani na tukimaliza kuswali ndege itakuwa inaondoka...
Nilitabiri ya kwamba mngekuwa mabingwa kwasababu niliwaamini tangia mwanzo lakini haikuwa bahati yetu japo mechi yetu na Argentina ilikuwa na makando kando mengi lakini hayo yamepita.
Hongereni...
Nadhani ile misemo ya 'kwa Mkapa hatoki mtu' huenda ikawa mwisho wake umewadia, baada ya Nabii Mtume Mwamposa kukesha humo usiku wa leo akiwa ameujaza uwanja.
Sasa tutegemee magoli ya kutosha tu...
NIMEONA na kusikia kelele nyingi mitandaoni kuhusu Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez. Inasemekana amekuwa shida pale Simba. Inasemekana.
Nimeona baadhi ya watu wakisema kuwa Barbara...
Ni kilichokuwa kikijiita Micky junior.
Naona wajuba wamesepa naye na mitandao yake haipo hewani tena na haijulikani kafanyaje.
Ikumbukwe, mara zote kalikuwa kakitumiwa na Babra kuiharibu image...
KIKOSI CHA MOROCCO
Kikosi cha Kwanza Bounou; Hakimi, Dari, El Yamiq, Attiat-Allah; Amrabat, El Khannouss; Ziyech, Sabiri, Boufal; En-Nesyri.
Benchi: Mohamedi, Tagnaouti, Aguerd, Saiss, Benoun...
MENEJA wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally amefichua ni kweli kuna mipango inafanyika kumhusu Cesar Lobi Manzoki raia wa DR Congo, lakini akaweka wazi kuwa mpaka sasa hakuna lolote kati...
Sare anazopata Simba zinamuweka katika hali ngumu ya kurejesha ubingwa pale Msimbazi. Mpaka sasa inabidi Yanga ipoteze angalau michezo miwili ndipo Simba ipate ahueni.
Lakini pamoja na yote...
Nahodha wa Vinara wa Ligi kuu England, Arsenal, Mnorway Martin Ødegaard leo anatimiza miaka 24.
Ødegaard ni nahodha wa pili mwenye umri mdogo zaidi kwenye Ligi kuu England nyuma ya mlinzi Lloyd...
Nilikuwa miongoni mwa watu wanaorushwa roho kwenye you tube na mitandao mingine nikitafuta habari za kweli za Yanga. "Wahuni" walikuwa wanabandika picha nyingine, maandishi mengine na habari...
chelsea na Roma zimetinga robo-fainali ya Ligi ya Mabingwa ya Wanawake kwa ushindi mkubwa, lakini Real Madrid ilishindwa baada ya kufungwa na Paris Saint-Germain.
Blues ya Emma Hayes ilitinga...
Mpira hauchezwi kwenye vyombo vya habari, unachezwa uwanjani. Maneno hayachezi mpira, chuki na mahaba ya mtu havisababishi timu kushindwa au kushinda.
Yanga imewafundisha watu somo hili la...
Wandugu,
Hii team kwa kweli inatia huruma sana. Kwa sasa sio Simba ile ya kushtua, Simba amekuwa MBUZI. Hata ushindi wenyewe wanapata kwa kuokoteza, team haina morali, pesa, udhamini mbovu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.