Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Japo wengi watabisha lakini ukweli utasimama,yaonyesha wazi uwanja wa taifa/Mkapa Stadium umeharibiwa kwa nguvu za giza hasa goli la kusini mwa uwanja na hujuma hii ni wazi imefanywa na moja ya...
8 Reactions
23 Replies
2K Views
Kila kukicha wachezesha kamali za kimtandao wanatoa mabilionea wapya, MCHONGOPESA, SPORTPESA, M-BET, BIKO, TATU MZUKA, WASAFI BET, CHOTA MIHELA na NK. Je, hawa wamatajiri wapya huwa wana wapeleka...
8 Reactions
30 Replies
3K Views
Haiwezekani Mchezaji Christiano Ronaldo Siku zote alikuwa hana Urafiki na Kylian Mbape na Timu ya Ufaransa leo hii amekuwa nae na kuwa nao bega kwa bega. Haiwezekani FIFA wanajua fika kuwa Wareno...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Chelsea wako mbioni kumsajili David Datro Fofana 🇨🇮, makubaliano yamefikiwa ya kiasi cha €10m na Molde ya kumsajili mshambuliaji huyo wa Ivory Coast aliyezaliwa 2002. Fabrizio Romano Reports...
1 Reactions
5 Replies
722 Views
Kuelekea dirisha dogo Disembe 15, licha ya tetesi kuwa mitaa ya Msimbazi hali si hali, habari zikufikie kuwa wachezaji hawa wafuatao wanaelekea Simba SC. ~ Lobi Manzoki 100% done. ~ Luis...
6 Reactions
68 Replies
14K Views
NAatamani sana kama Huu mjadala ungefungwa Rasmi. Cesar Lobi Manzoki. HAWEZI. HAWEZI HAWEZI. HAWEZI KUICHEZEA KLABU YA SIMBA. NAOMBA MJADALA UFUNGWE KABISA sahauni kuhusu Manzoki.
0 Reactions
4 Replies
763 Views
Imesemwa na wachezaji wa Ureno na wachambuzi wengi kuhusu Argentina kupendelewa, nikabisha. Yaani hadi sasa Messi ana magoli 5, na 4 kati yake ni penalti! Argentina wamepewa penati nyingine...
10 Reactions
184 Replies
10K Views
Leo tarehe 16/12/2022 Dirisha dogo la usajili limefunguliwa. Msimu kama huu kunakuwaga na tetesi na taarifa mbalimbali za usajili wa wachezaji na mabenchi ya ufundi. Nimeuleta uzi huu maalumu...
2 Reactions
35 Replies
4K Views
Mwanzoni mwa kuinukia kujua mpira na kufuatilia ilikuwa naumia sana pale timu ninayoipenda kufungwa au kuwa na habari mbaya kama migogoro na mifarakano. Nimefuatilia kwa muda mrefu mpaka...
1 Reactions
7 Replies
545 Views
OFFICIAL: Rais wa Shirikisho la soka Duniani FIFA Bwana Gianni Infantino amethibitisha kuwa mfumo mpya wa Kombe la Dunia kwa upande wa vilabu utaanza mwaka 2025. Mfumo huo utakuwa na timu 32 na...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimemsikia Nape anasema serikali inataka kuandaa Afcon... Baadae nikamsikia Mchengerwa anasema tunaenda kombe la Dunia mwaka 2030...swali la kuwauliza hawa ndugu zetu wako serious?... Kama wako...
7 Reactions
20 Replies
1K Views
Wakuu taarifa iliyopo ni kwamba watani kwa sasa hawana basi baada ya basi lao kukamatwa na dalali aliyeagizwa na kampuni iliyowauzia basi. Basi limekamatwa baada ya Simba kushindwa kulipa deni kwa...
9 Reactions
87 Replies
8K Views
Aomba kujiuzulu na ameandika notisi ya Mwezi Mmoja, ili Januari 2023 aachie ngazi
5 Reactions
73 Replies
8K Views
Inadaiwa kwa nyota huyo wa Ureno hafanyi kazi kwa ukaribu na wakala wake huyo, Jorge Mendes kutokana na wawili hao kupishana mitazamo juu ya timu ambayo Ronalo anatakiwa kujiunga nayo. Inaelezwa...
7 Reactions
47 Replies
4K Views
Leo nimesikiliza EFM, Wasafi na Clouds, hakuna cha maana nimesikiliza na kukielewa na kutosheka zaidi ya KAMARI ZAO TU na zile tutarejea tutarejea zao. Hivi vipindi vya hizo redio vimefika mwisho.
1 Reactions
7 Replies
852 Views
Hashimu Ibwe ni kijana, ni mweledi, anaufahamu mpira, ana mtaji wa mashabiki zake, anafahamika na ana bahati kweikwei. Au nyie hamuoni?
0 Reactions
4 Replies
582 Views
Kombe la dunia nchini Qatar linaelekea ukingoni lililo kutanisha team 32 kutoka mabara tofauti huku team (13) zikitoka ulaya team (4) kutoka America kusini team (5) kutoka Africa na team (4)...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
HABARI WAKUU. Heshima Nyingi sana kwenu. WAKUBWA Shikamooni. Mimi ni Mpenzi shabiki na Mdau wa mpira wa Miguu. Katika kufuatilia kwangu mpira nikajikuta ninaipenda sana club ya Simba SIMBA...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Siyo mpenzi sana wa Soka lakini itoshe kusema kwamba he is the greatest. Respect!
21 Reactions
69 Replies
4K Views
Ati anataka kuuza hisa zake zipi? Kama ni kweli akamatwe na ahojiwe Kwa kutupotezea muda wetu, hizo hisa alinunua lini na pesa alimpa nani? Na kama pesa ipo inafanya kazi Gani? Ifike muda...
12 Reactions
42 Replies
5K Views
Back
Top Bottom