Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

69' Julian Alvarez anafunga goli la tatu akimalizia kazi nzuri ya Messi 60' Timu zinashambuliana kwa zamu 58' Messi anakosa nafasi nzuri, shuti lake linapanguliwa na kipa 55' Argentina wanaamka...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Shirikisho la Soka la Morocco (MFF) limetoa tiketi 13,000 kwa mashabiki wa timu yao ya taifa kwa ajili ya kushuhudia mchezo wa Nusu Fainali dhidi ya Ufaransa, Jumatano Desemba 14, 2022. Ndege za...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Takwimu zinaonesha Croatia hakubahatisha kum funga Brazil! Alitawala mpira zaidi, alizuia (clearances) zaidi, na alikuwa makini zaidi kwa asilimia 100 alipopata kulenga goli (shots on target)...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Tuseme ukweli, Ufaransa haina cha zaidi kuliko hispania wala ureno! Siyo muujiza kwa Morocco kuifunga ufaransa kama iliweza kuifunga hispania. Kwanza Ufaransa ndio wako kwenye presha ya mchezo...
13 Reactions
96 Replies
4K Views
Pesa ya Kombe la Dunia huko Qatar 2022 hii hapa: • Winner - USD $42m (97.9b tsh) • Runner-up - USD $40m (93.2b tsh) • Third Place - USD $27m (62.9b tsh) • Fourth Place - USD $25m (58.3b tsh) •...
6 Reactions
28 Replies
3K Views
Mwaka 1958 Pele alifunga hattrick kwenye nusu fainali na akaja kufunga mawili kwenye fainali. Siku ya leo rekodi hiyo inaenda kufikiwa na Messi maana atafunga magoli matatu. Vamos Argentina.
3 Reactions
34 Replies
1K Views
Kwa hasira nilizonazo sina muda na Salam! Hii ni habari mbaya sana kwa Mashabiki wa Soka hasa Mashabiki wenzangu wa Simba Sc. Kwanini Mo Dewji unatufanyia hivi lakini? Muda wowote tajiri...
22 Reactions
212 Replies
12K Views
Ninaposema kuwa GENTAMYCINE ni habari nyingine katika kuzipata zile za ndani ambazo huwa mnazificha muwe mnanikubali sawa? Na najua baada ya uzi wangu huu mtaandaa counter ili kuja...
8 Reactions
34 Replies
3K Views
Habari za ndani kabisa tulizozipokea zinaeleza ya kuwa mojawapo kati ya hizi klabu mbili kongwe hapa nchini ipo mbioni kupigwa mnada. Japo chanzo chetu cha kuaminika hakijaitaja moja kwa moja...
7 Reactions
42 Replies
4K Views
Haya mashindano mnayaharibu kwa kupanga timu za daraja lisilojulikana na timu za ligi kuu. Ingependeza kuwepo kwa mchujo kabla ya kukutanisha hizi timu. Yanga Azam Simba Watafunga hata goli 30...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Alafu hawa kina Faisal na Kibwana walikuwa wanaelewa kweli kinachomaanishwa hapa au walikuwa wanafata mkumbo.
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Hiyo ambayo naiona itafuzu Robo Fainali (CAFCL) kama ilivyozoea sasa ijipange zaidi kwenda hadi Nusu Fainali na ikibahatisha ifuzu Fainali japo kwa Kikosi chake cha sasa na Migogoro iliyopo hilo...
5 Reactions
29 Replies
2K Views
Panama, Mauritania, Georgia na Eritrea ni nchi nne zenye takribani saizi sawa za watu wa Kroatia. Mataifa hayo manne yanashiriki mechi moja ya Kombe la Dunia baina yao na hiyo ilikuwa wakati...
0 Reactions
8 Replies
987 Views
Rekodi za timu kutoka Africa kombe la Dunia 2022 .. [emoji3591]Ni mara ya kwanza team kutoka Africa inapata ushindi dhidi Ya bingwa mtetezi wa kombe la Dunia, Tunisia waki pata ushindi dhidi ya...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Inasemekana yafuatayo yanaweza kutokea japo hayana uhakika wa 50%, 75% au 100% kabisa kuwa; ~ Mshambuliaji Ceaser Lobi Manzoki kutua Yanga SC na tayari Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said...
6 Reactions
167 Replies
10K Views
Yaani Tanzania tunahangaika bado Usiku na Mchana Kufuzu AFCON Yeye analaximisha mwaka 2030 Tanzania tucheze World Cup. Rais Samia huyu Mtu ulimtoa wapi?
1 Reactions
10 Replies
865 Views
Nimekusikia Clouds Tv na Radio Leo ukikitaka Chuo cha Michezo cha Serikali nchini cha Malya kufanya Tafiti kujua kwani Tanzania haiendelei Kisoka. Nami MINOCYCLINE 'Gifted Intellectually...
0 Reactions
5 Replies
611 Views
Naongea kama Mpenzi wa soka, mnyonge mnyongeni haki yake Mpeni, Barbara amefanya Makubwa kuboresha soka la Tanzania na kulitangaza kimataifa. Alikuwa na madhaifu kadhaa kama binadamu lakini hakika...
8 Reactions
20 Replies
1K Views
Na mkimaliza kutuomba huo Msamaha mkubali kuwa kuna Watu Wengine hapa JamiiForums wanayajua yale ya Ndani yaliyojificha zaidi yenu hivyo wakiwa wanayasema hapa JamiiForums muwe mnawashkuru na...
0 Reactions
7 Replies
859 Views
Hivi karibuni kuna kocha wa makipa alikamatwa na madawa ya kulevya. Haraka haraka simba wakatoa taarifa ya kumkana kuwa hakuwa mwajiriwa wao japo. Mda utaongea zaidi
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Back
Top Bottom