Kwa lugha nyingine ni kwamba badala ya kutushangaa na kututukana hadi kutudhihaki watu wa Simba SC GENTAMYCINE nikiwa kinara wao hapa JamiiForums, basi mngetupongeza! Kwani kwa 60% tumechangia...
Nawaambia wale wanaosikitika kuondoka kwa Barbara waache ujinga, huyo dada amesababisha miaka minne tushindwe kumfunga Yanga, kwa sababu akipewa mipango yeye anapuuza, anawaona watu wapigaji...
Hawa jamaa sijaona kama wamekosea kwenye kauli zao, akili ya kulilia dedication kwenye mafanikio yao ndio inaonesha root ya mawazo m’bweteko ya kiAfrica.
Sidhani kama utasikia mholanzi akisema...
Inadaiwa kuwa Cristiano Ronaldo anataka kuchukua hatua hiyo kutokana na kutokuwa na maelewano mazuri na kocha wake wa timu ya taifa ya Ureno, Fernando Santos.
Mshambuliaji huyo alianzia benchi...
Inashangaza wanaume wa hii timu kumuonea gere mwanamke na wanafurahia sana kwamba amejiuzuru.
Jambo ambalo si la kawaida ni pale wanapohusisha mahusiano yake ya kimapenzi na Mo ( bila shaka...
Habari wadau wa jukwaa kubwa la JF, Nikiwa katika harakati zangu za kujiandaa na krismasi hapa canada nimejikuta nikisisimka na mwenendo wa mechi za kombe la dunia na baada ya kujiridhisha na...
Hawa TBC sio watu wa michezo hawa ni wa kupamba na kusifia serikali na ndio sehemu pekee waliyofanikiwa hadi sasa.
Tamaa na ukiritimba imepelekea kutuhadaa watanzania kuwa wataonyesha mechi za...
Kila nikitazama uchu wa mwingereza kuchukua kombe hili, na kikosi alichonacho, aiseee! It's coming home.
Wafaransa wanapendwa kwa rangi yao tu na kidogo vijina vya wavulana wao wanaorukaruka...
Wachezaji a club tajwa Kwa hakika hawakuitwa na timu za nchi zao kwenye world cup tournament na Kwa kweli bora wauzwe wote.
Wamedhihirisha kutoitwa kwaao na Coaches was right kutowaita. Lakini...
Waafrika wengi tunadai kulalamika eti Morocco ametubagua kwa kusema ushindi wao ni zawadi kwa Waarabu na Waislamu na kuwaacha Waafrika
Hivi niwaulize ni tangia lini tumewachukulia Morroco kama...
Wananchi hawasajili wala hawachangishani fedha za kusajili. wanaosajili ni mtajiri. Ila wananchi bado wanasema timu ni yao
Wananchi hawatoi hela za kuendeshea Klab, mitaani wanajisifu timu ni...
Leo nimeona Yanga wameingia mkataba wa kisheria na kocha Sebastian Nkoma kufundisha Yanga Princess, Nkoma alikuwa kocha wa Simba Queens.
Yanga hao hao wanaye Haji Manara, maarabu wa nguruka...
Wengi hawajui ila historia ina nafasi kubwa maishani.
Wanaoitunza hufahamu mengi hata kabla ya tukio hivyo kupelekea kupatia kiasi kwenye jambo husika
Nisiwachoshe iko hivi;
1986 fainali...
Kiufupi ni kwamba muda huu saa 3 na 35 ya asubuhi hii kamchakaza tena bondia wa Korea Kusini ajulikanaye kama DK yoo kwa knockout round ya 6, katika pambano lililokuwa la round sita
Jamaa Mungu...
Huu uzi ni mahususi kwa ajili ya matukio yote yanayoihusu timu ya mpira wa Miguu ya Uingereza.
Timu hii inajulikana kwa jina la Utani la Three Lions, yaani Simba Watatu. Jina hili limechochewa...
Leo moroko wameendeleza kile walichokianzisha tangu hatua za makundi ni timu pekee mpaka sasa iliyoruhusu nyavu zake kuguswa mara 1 tena kwa goli la kujifunga wenyewe dhidi ya Canada katika...
Kombe la Dunia mbali ya ushindani na burudani kuna suala la rekodi pia linapiganiwa. Ronaldo analilia apewe goli badala ya Fernandes ili avunje rekodi. Messi kafunga goli la 10 anatafuta rekodi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.