Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Tokea Rais Samia akuteue katika hiyo Wizara umekuwa ni Mtu tu wa Kufokafoka huku ukiwa na Vitisho vingi kama Kawaida yako. Labda nikuulize Waziri Mchengerwa tokea uanze Kufokafoka Kwako huku kuna...
1 Reactions
0 Replies
335 Views
Timu ya Soka ya Simba leo kwenye mchezo wake wa klabu bingwa inatarajiwa kuingia na bus jipya la wachezaji lilionunuliwa na mdhamini wa team hiyo Mohamed Dewji Bus jipya la Simba likibandikwa...
6 Reactions
56 Replies
46K Views
Kinachojili katika kilele cha week ya Wananchi 2022 uwanja wa Benjamini Mkapa ============================== Yanga imepoteza wa magoli 2-0 dhidi ya Vipers SC ya Uganda katika mchezo wa kirafiki...
1 Reactions
332 Replies
26K Views
Wakuu kabla ya kuangalia nani ni best player duniani, twende nchi kwa nchi basis. Tuanze na Ureno. Kwangu mimi pale Ureno, Best player kwenye hiyo nchi ni Bruno Fernandez, wewe unadhani ni nani?
0 Reactions
2 Replies
609 Views
Ni ripoti ya Clouds Media na haya ni sehemu ya maneno yaliyosemwa na Waziri Utamaduni, Sanaa na Michezo. Ukisikiliza kwa kina maelezo yake utaona ni yale yale kama ya lile garimoshi la umeme tuli...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Mimi mpaka leo naamini World Cup bora kuiona ni ile ya mwaka 2006. Jinsi Italy walivyopambana mpaka kutwaa taji. Italy ile iliyoundwa na wakongwe kama Luca Toni, Buffon, Pirlo, Materazzi, Del...
16 Reactions
316 Replies
28K Views
Watu wanasema eti Morocco atavunja rekodi na kuingia nusu fainali, lakini baada ya kuiona Ureno jana, waanze kufungasha mabegi tu mapema, na yule mshambuliaji wao butu. Portugal asipofika...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kwa uchezaji huu ni dhahiri yanga hawakuwa na maandalizi mazuri.
0 Reactions
3 Replies
868 Views
Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Msumbiji Luis Jose Miquissone amekubali kurejea Simba SC, ili kuendelea kulinda kiwango chake katika kipindi hiki ambacho ametolewa kwa mkopo akitokea kwa...
5 Reactions
42 Replies
5K Views
Sijui ni tumerogwa au haya yote ni sababu ya elimu duni au Mungu ndo alivyo tuumba yaani sijui jamii yetu ya kiafrika ina matatizo gani. Waafrika ndio jamii pekee ambayo utapambana kwa nguvu zako...
20 Reactions
100 Replies
5K Views
Kwa niaba ya Wa-Morocco weusi hapa Ikwiriri nafurahi kuwatangazia hadhara hii ya hapa Tungekinya kuwa Morocco Hana mpinzani. Na ndiie Bingwa Kombe la dunia 2022 toka ardhi takatifu Al Arabiya...
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Ulaya ndiyo wakali wa kila kitu, siyo tech, siyo mpira, ustaarabu wa Dunia hii umeanzia Ulaya uwapende ama uwachukie huo ndio ukweli, Yaani kila kitu. Japokuwa hawana vipaji kama nchi za South...
9 Reactions
54 Replies
4K Views
Hili dogo linatisha! ukimuangalia kwa haraka haraka urefu wa miguu yake kama nkwazi. Huwezi kabisa kumtofautisha na mshambuliaji wa man city earling hallaand! derby ije haraka! Hawa madogo ndio...
4 Reactions
24 Replies
4K Views
Jamaa kashamzidi Michael Platini, David Trezeguet na Zinedine Zidane kwa idadi ya magoli kwenye Timu yaTtaifa ya Ufaransa. Amebakisha magoli mawili kuifikia rekodi ya Thierry Henry. Anaonekana...
8 Reactions
26 Replies
2K Views
Mfalme wa Morocco alikuwa rafiki mkubwa wa Shujaa Magufuli Tunawapongeza sana ndugu zetu Morocco kwa kuweka historia ya kuwa timu ya kwanza Africa kufika semi final ya kombe la dunia Roho ya...
13 Reactions
60 Replies
4K Views
Mbona kama wazungu wanatuzidi akili? Kwa anayejua kutoka mabara yote nchi ngapi kila bara linapata nafasi ya kuwakilisha na vipi ni vigezo? Najua Afrika ni nchi tano, kuna Ulaya, America, Asia...
3 Reactions
38 Replies
3K Views
I said kwamba baada ya timu kubwa Belgium na German Kauga atafuata Spain then Argentina...
9 Reactions
11 Replies
1K Views
Nafikiri hali si shwali ndani ya klabu ya mikia kwa sasa, kuondoka kwa babra kunaitimisha safari ya mwanamama uyu juu ya maneno mengi yaliyokuwa yanasemwa juu yake, akilalamikiwa na viongozi mbali...
8 Reactions
58 Replies
3K Views
Morocco imeingia semi final kwa jasho na damu, wakicheza kwa nidhamu ya hali ya juu, namna wanavyocheza unapata hamasa kuwapigania na kuwaombea kwa mungu wapeperushe bendera ya africa. Wakat...
9 Reactions
15 Replies
1K Views
Hili ni somo kwa vilabu vyetu vya Simba na Yanga vinavyokwenda kushiriki championship kuwa ukitaka kufanya vzr basi jiandae kimkakati mapema kama walivofanya Morocco. Morocco walipofuzu tu kombe...
3 Reactions
8 Replies
550 Views
Back
Top Bottom