Kilichowaponza Morocco ni kufuru, eti wao siyo waafrika ni waarabu. Mungu ameamua kuwaadhibu hivyo tu. Mlicheza vizuri mnooooo. Bahati mbaya zile kosa kosa 2 haikulalia kwenu vinginevyo mngeshinda...
Nafikiri ubora wa timu unaangaliwa pia na upana wa kikosi chenye wachezaji wanaoweza kutoa ubora ule ule walionao wachezaji wanaoanza kikosi cha kwanza, Yanga wameonyesha ni timu yenye kikosi...
Wale wenzangu na Mimi tuandae masikio tukamsikilize Bwana mdogo Nazareth Upete a.k.a team Messi akitangaza mubashara mbungi hii.
Ni saa nne juu ya alama atatuhabarisha. Wale wa DSTV nyie mabosi...
Hivi kweli Agentina kwa mpira ule ndio wa kumfunga Croatia. Ila Croatia nao jana sijui walikula maharage ya wapi. Pasi ngoja tusubiri inyeshe tuone panapovuja hasa akiingia Mfaransa fainali ( na...
Mwaka 2004 ugiriki walibeba kombe la mataifa ya ulaya wakati haikutarajiwa. Walikuwa wanafunga goli halafu wanarudi nyuma na kupaki basi. Hapakuwa na burudani kwasababu timu moja ndio ilikuwa...
Kocha wa timu ya taifa ya Morocco Walid Regragui mzaliwa wa Ufaransa ameitaka Afrika kuachana na dhana au fikra ya kufikiria kucheza mechi tatu tu kwenye mashindano ya kombe la dunia na kupigana...
Kwenye mechi dhidi ya Croatia Messi mliona alivyopiga chenga na na kutoa pasi nzuri iliyozaa goli la 3. Ilikuwa pasi nzuri na ni kweli ilionyesha Messi ni mmoja wa wachezaji bora zaidi duniani...
Kwa mara ya kwanza tangu kombe la dunia lianze, Afrika kupitia timu ya Morocco yaingia nusu fainali.
Pongezi kwa wawakilishi wetu Morocco kwa kuweka historia.
Kwa mara ya kwanza tangu kombe la dunia lianzishwe timu kutoka bara la afrika inaenda kutwaa kombe hilo, wengi hawaifikiri na bado hwaidhanii kuwa timu ya Morocco itaweza hata kuingia fainali...
Kila la heri Morocco team, wengine tupo nyuma yenu dhidi ya Portugal, wale maadui na wasiowapenda Morocco/waarabu haiwahusu mada hii.
Kila la heri ndugu zetu Morocco, tupigieni hao ndugu zao...
Nimeijua website hii toka 2020, nimeangalia michezo mbalimbali sana sana mpira wa miguu ligi zote.
Hata nikiwa kwenye gari, nikiwa bank msingi wangu ulikuwa ni Mb na smartphone yangu tu.
Kombe la...
Katika mashindano yote niliyoshuhudia, from 1998-2022, basi hili ndio shindano bora kwangu(2022), sio tu shindano, bali na muandaaji mwenyewe QATAR na tamaduni zake nimezifurahia sana sana...
Ronaldo alianza kumtuma Pepe na Bruno Fernandez wa ureno kusema kuwa FIFA wanambeba Messi.
Tokea hapo kumekuwa na wimbi kubwa la mashabiki wa Ronaldo ambao kila mechi ya Argentina wanalalamika...
Offcourse tunajua kuna tofauti kubwa kati yao na sisi hasa linapokuja suala la asili yao, Lakini kweli wakatae hata undugu wa kiafrika kwamba wapo nasi ndani ya bara la Africa?
Morocco...
Mnamo Oktoba Julian Alvarez alipohojiwa na waandishi wa habari, alisema:
"Wachezaji wa Ureno na Rodri walikuwa wakizungumza kuhusu nani angeweza kushinda Kombe la Dunia. Walikuwa wakisema Ureno...
Shirikisho la Vyama vya Soka limetangaza Uganda kujiondoa kwenye michuano ya Mataifa ya Afrika (CHAN) kwa sababu ya mzozo kuhusu ufadhili wa Serikali
Rais wa Shirikisho hilo, Moses Hassim Magogo...
Kwavyovyote vile Manara anavinasaba na Simba, aliipenda Simba, alihudumu Simba na ana kadi ya Simba. Sote tunafahamu alifikaje Yanga aliko sasa hivi.
Je, kuondoka kwa Barbara na MO Simba...
Wiki iliyopita Morocco waliotengeneza historia ya kuwa Taifa la kwanza Afrika kuingia nusu fainali ya Kombe la Dunia. Hatua hiyo imeifanya Simba wa Atlas kutengeneza historia ya soka lakini sasa...
Wachezaji wa Ureno Pepe na Bruno Fernandes wanamlaumu Messi na Argentina kwa kufungwa jana.
Wanasema kuwa FIFA inamuandalia Messi kombe la dunia kwa lazima na ndio maana refa wao aliwekwa wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.