Haya sasa Ally Kamwe nakuwekea hapa Maelezo marefu ya Mhamasishaji Mkuu wa Yanga SC Haji Manara dhidi yako ili umjue alivyo Mnafiki na Mfitini hata kwa Marafiki zake na wana Yanga SC Wenzake...
Nafuatilia mjadala wa kijinga unaoendelea kwamba eti kwa nini Yanga inafeli kimataifa wakati Simba inafanikiwa!
Ili timu iwe imefanikiwa katika mashindano ni lazima ichukue ubingwa na si...
JOCHO LA TOFAUTI: UWEKEZAJI WENYE TIJA KATIKA SOKA LA TANZANIA.
Uwekezaji katika Sekta ya michezo ya kubashiri Tanzania (Gaming/Betting Indutry) umekua kwa kasi sana ndani ya miaka 7. Kuna zaidi...
Kuna watu wanasema unbeaten ya kununua?
Toka mwaka 2019 mechi za simba za ligi tunazinunua ?
Mbona hawajashinda?
Simba kwanini mnapenda Sana propaganda yaani yanga kukwama tu game moja ya...
Ili kuvutia ufungaji wa magoli mengi kwenye soka na kuongeza burudani, basi FIFA waanzishe utaratibu pale ambapo timu moja itafanikiwa kufunga zaidi ya magoli matatu bila basi waongezewe pointi...
Tukiwambia mje na daftari na pen Simba ikicheza mnaleta kiburi .... Wachezaji wanaruka ruka Kama njegere.
Na lazima mpigwe faini au kufungiwa uhuni mliofanya kwa wageni pale uwanjan kabla...
Nimehakikishiwa kuwa Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said na Msemaji wa Yanga SC Ally Kamwe nyote mnanisoma na kunifuatilia Kutwa ( 24/7 ) GENTAMYCINE hapa JamiiForums hivyo natumai mtanijibu mwana...
Jeff Bezos, 58, anaripotiwa kutaka timu ya Washington Commanders baada ya kufichuliwa kuwa wamiliki wake, Daniel na Tanya Snyder, walikuwa wakifikiria kuiuza.
Wanandoa hao wamemiliki timu tangu...
Wakuu najiuliza tu.
Wachungaji na mashehe mashabiki
Waumini na washiriki mashabiki.
Kwa ulaya EPL,Laliga,etc ila futiboli la kibongo linapromote uchawi na ndumba. Ndio maana Kuna Hadi benchi la...
Aslaam Aleykum wadau wa hapa JF.
Acha niende direct kwenye Mada.
Mimi ni mdau mkubwa sana wa michezo hasa basketball, Lakini football pia nafuatilia. Pia ni mdau mkubwa sana wa Media, Napenda...
Sasa Tuisila Kisinda TM Master. Tayari atakuwa ameiva. Wazee waliambiwa na viongozi kumfanyia kazi kama ambavyo huwa tunawafanyia wachezaji ambao wanakuwa tayari kusaidiwa. Aziz Ki mmoja wapo na...
Ni akili ya kawaida tu ambayo wala mihogo mibovu kamwe hawawezi kujua, kuwa ni rahisi sana kwa adui yako kukusoma akijua uko naye karibu tena ndani ya eneo lake kuliko ukimshtukiza tu.
Halafu...
~ Kwanza muanze kujua kuwa uwanja wao utajaa ile mbaya.
~ Pili mjue kuwa Waarabu fujo na umafia ni moja ya tunu zao.
~ Tatu aina tu ya ushangiliaji wao tayari ni ushindi tosha.
Yaani...
Katika kufuatilia safari ya Yanga ya siku ya leo kuelekea Tunisia kwa mchezo wa marudiano, msafara huo unahusisha watu 41 huku wachezaji wakiwa 22 na waliobaki ni 'wengine'. Nimekumbuka timu zetu...
Unajua Wale wa Tunisia kule kwao watacheza mpira wa kushambulia saana ili kutafuta matokeo
Sasa na Yanga wasicheze mpira wa kuzuia maana watakula mengi saana
Ila wakicheza mpira wa kushambulia na...
Mbali nchi kuingia kwenye aibu 90' za uwanjani, kuna aibu nyingine nchi imeingia.
Video inaonyesha jinsi mashabiki wa Yanga wakiwangia Club Africain. Maji hayo inasemekana ni maji ya maiti...
Kauli #1
*Wote wanaosema kuwa nimewatukana wana Yanga SC kwa kuwaita wala mihogo wapuuzeni kwani ni waongo na sikusema hivyo."
Kauli #2
"Ni kweli nilisema hiyo kauli ili kuwaonyesha wana Yanga...
Salaam!.
Kama tunavyoona, waliokuwa wawakilishi wengine kwenye mashindano ya kimataifa hapa nchi wameshatolewa, na mmoja ndio anaelekea kwenda Tunisia kutolewa hiyo tarehe 9.11.2022.
Kama...
Raisi wetu wa klabu pendwa ya kihistoria hapa nchini na Africa mashariki. Yanga ni klabu kubwa yenye historia nzuri na Pana, hata pepe kalle aliwahi kuimba kuhusu ubora wa yanga.
Kuwa wa Rais wa...