Alipata watoto 7 ndani ya miaka 9, akafuga kuku ili asaidie familia kiuchumi. Akakataa kuitwa First Lady na akarudisha zawadi ya mkufu wa Almasi aliopewa na meneja wa mgodi wa Mwadui. Tena akaishi...
Je, Matukio gani makubwa utayakumbuka katika ulimwengu wa kimichezo kwa mwaka 2024?
Kwa upande wangu, ni mengi yametokea, Ila haya nadhani yamechukua nafasi kubwa
1.Yanga kutwaa ubingwa wa Ligi...
Umafia waungwana!
Binafsi napata mashaka na wapinzani wa Yanga kama vile Fountain Gate, Dodoma n.k
Timu inacheza huoni kama inataka matokeo na kuna wakati wanajipigia pass fupi fupi karibu na...
Rais Mstaafu wa Awamu ya 4 Dkt. Jakaya Kikwete ataongoza Bonanza kama Mgeni rasmi, Bongo Muvi ndani
Mbunge wa Chalinze na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu- Kazi, Vijana, Ajira, na Watu Wenye...
Kipa ambaye hakucheza mechi 16 alidakishwa mechi ya Yanga, ila mechi iliyofuata ya Mashujaa kipa namba moja akarudi kazini. Sababu za huyo kipa kutodaka mechi ya Hanga hazijulikani
Kocha wa makipa wa klabu ya Gita Gold, Augustino Malindi amefungiwa michezo 16 (kumi na sita) na kutozwa faini ya Sh. 1,000,000 (milioni moja) kwa kosa la kumshika sehemu za siri wamuzi wa akiba...
Wakati tumeingia duru la pili la msimu wa NBC mpaka sasa sijasikia mechi zozote zikipangwa au kuchezwa za FA Cup.
Ni kwamba msimu huu kombe halipo au kuna changamoto? Kama wana uhaba wa pesa au...
1. Yanga imecheza vizuri mno, hii ni salamu tosha kuelekea mechi yao na Tp mazembe.
2. Nadhani fountain gate ndio timu yenye safu mbovu kabisa ya ulinzi, wamechagua kupishana na Yanga...
JAMES MILNER: "Wakati Messi alinipiga chenga, nilisikia umati ukipiga kelele, kana kwamba walikuwa wameona bao. Wakati mechi imemalizika, nilimsalimu na nikamwambia, 'Sasa utanifanya kuwa gumzo...
Mhe. Waziri;
Tafadhali rejea mada tajwa hapo juu,
Kwa heshima na taadhima kubwa ninaomba kukuandikia nakuleta mbele yako maoni yangu binafsi na taarifa juu ya baadhiya masuala yanayojiri katika...
Tanzania, kama ilivyo kwa maeneo mengine ya Afrika na duniani, tunapenda sana mpira wa miguu. Mchezo huu umekuwa sehemu muhimu ya utamaduni wetu, ukijumuisha shangwe, mazungumzo na matumaini ya...
Yanga ilifungwa na Azam lakini wanaYanga wanaona poa tu. Kufungwa huku sio udhaifu bali ni mwanzo wa wachezaji na walimu kuongeza umakini na juhudi kwenye mechi.
Bila ya hivyo kiburi na...
Wakuu Chama ni mmoja wa viungo washambuliaji hatari wanaotajwa kuwahi kutokea katika historia ya ligi yetu.
Huyu mwamba amepotekea wapi? Kipaji chake kilifanya wafau wa michezo na mashabiki wa...
Hadi sasa hivi "SIMBA" ndio timu pekee iliyompiga mtu 5g sio uto wala matawi yake.
Mechi ya 14 hii uto wanajaribu kuivunja rekodi ya simba wanashindwa wanaishia kujinyea tu uwanjani.
Wameshinda...
Kuna kipa wa Dodoma Jiji hakuwahi kucheza mechi 13 lakini akadakishwa mechi ya Uto. Ila mechi iliyofuata ya Mashujaa kipa namba 1 alirudishwa.
Kwao Dodoma Jiji mechi ya Mashujaa ilikuwa muhimu...
Ni wachezaji muhimu na mhimili kwenye kikosi cha kwanza lakini awapo kwasababu za majeraha lakini iyo aijafanya timu itetereke bali dhana nzima ya team work inafanya kazi!
Soma Pia: Full Time...
Kusema kuwa Gusa Achia Twende Kwao imeiva kiasi kwamba kila anayekanyaga anakula 4 au 5 sio kweli, uongo, uongo, uongo.
Kitendo cha jamaa kuhamia KMC na kujifanya wanafanya mazoezi maana yake...
Mpira ni mchezo wa wazi, jamaa wanavyocheza na aina ya wachezaji wao kusema kuwa wanabebwa sio ukweli Iła ni propaganda zinazoletwa na watu wetu ndani ya Simba kutuandaa kisaikolojia, hii vita ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.