https://www.youtube.com/watch?v=NTfMlQAdvLs
Mtangazaji: Katika uchezaji wako wa mpira Chasambi, nani unamtizama kama kioo kwako"
Chasambi: Namtizama kama kioo kwenye timu yangu au...
Bondia Hassan Mgaya amefariki dunia, siku moja baada ya kupigwa TKO katika pambano la raundi sita lililofanyika Tandale kwa Mtogole, Dar es Salaam katika ukumbi wa Dunia Ndogo, na kupoteza fahamu...
Historia inaonyesha Simba fc ilianzishwa mwaka 1936,ikitumia jina la queens,baadaye ikabadilika kuwa eagle,kisha Sunderland kabla ya kuitwa mnyama Simba mwaka 1971.
Klabu hii ilianzishwa na...
ligi yetu kuna upangaji wa matokeo, Wachezaji hawakabi, wachezaji wanajifunga, Makocha hawaoneshi kuumia.
kocha wa Yanga asije akajidanganya kaisuka timu, Ni Bahasha ndizo zinatengeneza...
Heri ya mwaka mpya wana JF.
Kwa muda mrefu sasa yanga a.k.a kayoko fc wamekuwa na shida ya mawinga kwa maana ya natural wingers kumbuka pacome sio winga kiasili ni no 10.
Kwanini tusifanye hii...
Anakugharimu ukiwa bado unatazama, anasafisha kazi chafu kwa ustadi, na yupo mbele ya muda wake.
Unapojiuliza, "Hivi Kagoma yupo kweli?" yeye tayari ameshaiba mpira na kuanzisha shambulizi...
Zikiwa zimesalia siku mbili michuano ya mapinduzi cup uanze kutumia vumbi huko Zanzibar, timu za Uganda na Burundi zimejiondoa
Sasa zimesalia timu 4 tu ambazo ni Zanzibar heroes, Kilimanjaro...
Djuma Shabani soka la bongo limeshamkataa! Maana tangu atoke Yanga SC amekuwa wa kuhangaika tu.
Ameenda huko Namungo kacheza mechi chache sana tena si kwa hule uzoefu wake so naona time yake...
Leo nikiwa matembezi yangu Kariakoo kujitafuta, nimeona jezi za Yanga na Simba za msimu huu Mpya zikiuzwa elfu 3 ,elfu 5 na Elfu 7 zimemwagwa chini machinga tena karibu na jengo la Simba mtaa wa...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limethibitisha kuwa klabu ya Yanga imekamilisha taratibu zote za kumtumia Abdihamid Moallin kama kocha msaidizi namba mbili wa kikosi chao ambapo...
Simba watamsajili djuma Shabani kama mbadala wa kapombe
Baada ya kuachana na klabu ya Yanga msimu uliopita Na kutua Azam FC, beki wa kulia raia wa Congo DR Djuma Shabani anategemea kujiunga na...
Huyu Manara anatufunga kamba 😂
Eti anasema anaamini asipovaa jezi wanafungwa na ile mechi ya Tabora hakuvaa wakala Tatu na ndio kisa cha kuhama pale Azam Complex
Pia, Soma: Full Time: Yanga SC...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amesema Tanzania imejipanga kutumia balozi zake zote zilizopo katika mataifa mbalimbali duniani, ili...
Marefa wawili wa Tanzania, Frank Komba na Ahmed Arajiga, wamechaguliwa miongoni mwa marefa 65 watakaosimamia mechi za Fainali za Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ligi za Ndani (CHAN) 2025...
Nimeshaona dalili hawa Yanga mwaka huu watakuwa na tantalila nyingi.
Embu ona mifano michache ya timu kubwa na hata zile ndogo zilivyosherehekea mwaka mpya.
Wenzetu wakaamua kutuangushia...
Klabu ya Simba SC imefanikiwa kumuingiza winga wake mpya, Elie Mpanzu, kwenye mfumo wa usajili wa CAF, hatua inayomruhusu kuichezea timu hiyo katika mechi za Kombe la Shirikisho (CAF Confederation...
Joshua Mutale ni moja ya mawinga hatari sana hapa Africa, ni kiungo wa pembeni sio wa kawaida, ana uwezo wa kupiga chenga, anao uwezo wa kufunga mabao katika mazingira yoyote, anaweza kucheza pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.