KenGold imemsajili winga wa zamani wa Yanga na Simba, Bernard Morrison kwa mkataba wa miezi sita huku ikikaribia kuwanasa Kelvn Yondani na Obrey Chirwa.
Timu hiyo inaonekana kuweka kipaumbele kwa...
Katika hali ya kawaida Yanga wamechanganyikiwa kutokana na vipigo 3 mfululizo, wachezaji, viongozi na mashabiki wamepotenza confidence uwanjani.
Ili kuwarejeshea wachezaji morali na kujiamini...
Njooni tumpongeze na kumtakia heri na fanaka Emanuel Arnold Okwi kwa kutimiza miaka 32 juzi.
Huyu ni mmoja ya wachezaji bora kabisa wa kigeni kuwahi kucheza ligi yetu
Takribani miezi 10 ama 11 hivi nilikuwa sijagusa mpira, siku hiyo mwili wangu unatamani mpira kuliko chochote, hata ule mchezo wa mguu bara mguu pwani siutamani kama ambavyo nimeamka na tamaa ya...
Mwaka 2024 unaisha leo, kesho majaliwa ni mwaka 2025, nimeona kikosi chote cha wachezaji wangu wa Simba Sports Club, kiukweli hadi kufikia leo binafsi ni wachezaji wawili tu ndani ya timu yangu...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo, Mgeni rasmi katika pambano la ngumi la kimataifa kati ya Bondia Mtanzania, Ibrahim Class dhidi ya bondia...
Wachezaji wengi wa kitanzania huwa hawajitambui kama ilivyo kwa beki Makame.
Mchezaji huyo alishapata uhakika wa kucheza yanga na kwa akili zake kama zilivyokuwa za wachezaji wengi wa kibongo ama...
Naombeni majibu yenu wakuu,
Hizi ligi mbili nilizozitaja ipi ni Bora na yenye ushindani maana kuna ubishani hapa Baa
Leo mpaka watu wanataka kupigana Yani mwaka mpya wanataka kuanza na majanga...
Kiukweli Mukwala kuchezea Simba ni hatari sana kwa usalama wa timu yetu, sio striker mkali kivile, Mukwala hamfikii hata robo huyo Baleke anayetemwa Yanga, Mukwala hamfikii hata Freddy Michael...
Katoka AS vita katua Jangwani akiwa na uwezo mkubwa sana ndani ya miaka mitatu hata Namungo hawataki kumuongezea mkataba, wanemtupia virago, wanadai uwezo wake ndogo ,huyo ni Djuma Shaban, hana...
Wote tunajua Yanga Afrika iko hali mbaya sana kifedha. Imefukuzwa Azam Complex kwa malimbikizo ya madeni. Huko FIFA na TFF imefungiwa kufanya usajili kwa sababu ya madeni sugu.
Sasa hivi...
Meya wa Manispaa ya Kinondoni Mhe. Songoro Mnyonge amezungumza na kituo cha Redio, E Fm kufuatia taarifa za Simba kutaka kuhama katika Uwanja wa KMC Complex.
Soma, Pia: Klabu ya Simba SC ipo...
Wakuu ligi kuu Tanzania bara imesimamishwa hadi mwezi wa 3 na bodi ya ligi, sababu ikiwa ni kupitisha Mapinduzi Cup na CHAN.
Naona kwa sisi wadau wanaopenda ligi kuu hawajatutendea haki.
Looh, haya bwana! Nimpongeze kocha wa Yanga. Wachezaji wameanza kujituma kweli. Hata wanachama wa Simba wameanza kuuliza kuhusu zile sindano, mmezirudia? Naona zina nguvu, dooh!
Mchakamchaka...
Wanasema kwa mpira wa sasa, magoli mengi yanatokea kwenye mipira ya kutengwa.
Wengi wanadai Denis Kibu sio mchezaji mzuri kisa hana magoli au assist nyingi ila wanasahau ni mmoja wa wachezaji...
He won the Premier League 13 of his 21 seasons in charge including two three-peats.
He was a two-time champion of Europe.
Five FA Cups and four League Cups.
It's legendary former Manchester...
Inaonekana kama vile Simba na Yanga wanashiriki mashindano ya CAF ya aina Moja yenye ukubwa na hadhi Moja CAF. Tambo na furaha ya Simba ni kama vile Simba na Yanga wanashiriki mashindano ya aina...
Huyu dogo nimemsema na bado naamini anahitaji aongeze baadhi ya tuvitu katika kabati lake la zana ila kuna jambo moja amefanya ambalo linaenda kuigwa na vijana wengi.
Naongelea upigani wake wa...
Kama kawaida wakuu.
Sijawahi kumuona Mpanzu akicheza uwanjani kama ambavyo wana Simba wengi hawajawahi kumuona akicheza uwanjani.
Jana hotuba ya Mo akiwahutubia wwnachama alisema amesajili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.