Wana Lunyas nani awe kocha mkuu kati ya hao mabwana wawili, Robertnho wa Vipers ya Uganda au Bwana Julian chavelier wa ASEC Mimosa?
Kwa upande wa Bwana Robertnho wa Vipers msimu jana kacheza...
"Wasemaji wote wa Yanga SC waliopita hawakuimudu hii Kazi ila mwenye hiyo Kazi Ally Kamwe nimekuja" Ally Kamwe Msemaji wa Yanga SC ( EFM Sports Headquarters )
Mdogo wangu Ally Kamwe taratibu kuna...
"Kesho nataka kwenda TFF Kumuombea Msamaha Haji Manara na naamini watanisikiliza na kumsamehe" Ally Kamwe Msemaji wa Yanga SC (Clouds FM Sports Extra).
*Waliyopanga watu wa kwenda kuigiza Filamu...
Tanzania tunahitaji expatriate wa ki Zambia kuwa Mkurugenzi Mtendaji Yanga ?
Kama ambavyo alinyimwa Visa yule Mama wa Kikenya mwenye degree ya cookery kuja kuongoza VODACOM ndivyo hivyo ilibidi...
Kwa namna Yanga wanafanya mambo yao naiona kesho ya Yanga ni kubwa kuliko SIMBA
Wameandika katiba ambayo wanaishi nayo sasa. Eng. Hersi ataipeleka Yanga mbali
Wanasajili wanachama online which...
Wale mashabiki wa makolo walio mshambulia sana tena sana Shaffii Dauda Jana kwa andiko lake kuhusu hali ndani ya Simba kutokua sawa, na ata akadhibitisha kwa kuambatanisha na video ya Dejan...
Inasadikika kuwa aliyekuwa mshambuliaji raia wa serbia, Dejan Georgijevic yupo mbioni kutimkia nchini misri kujiunga na klabu ya Al-ittihad iskandary (alexandria) kuungana na aliyekuwa kocha wa...
Messi, Ronaldo na Neymar wanaweza kuwa wachezaji wanaolipwa pesa nyingi zaidi lakini thamani yao ya jumla iko chini kwa mwanasoka tajiri zaidi Duniani.
Faiq Bolkiah - mtoto wa Mwana wa Mfalme wa...
Huu ndio ukweli wanasimba wenzangu mkubali au mkatae.. Tuna ombwe kubwa la uongozi pale Simba S.C
Tatizo la timu kukosa head coach paka sasa wakati ligi imeanza na tuna malengo yakufika mbali...
Klabu ya Yanga imemteua Mchambuzi Ally Kamwe kuwa Afisa Habari mpya wa klabu hiyo huku Privaldinho Abiud akiteuliwa kuwa msimamizi Mkuu wa Digital (Digital Manager) kwa lengo la kusimamia...
Baada ya Yanga kumtambulisha Andre Mtine kama Mtendaji Mkuu wao mpya nimepitia vyanzo mbalimbali vimeonesha kuwa ana rekodi za kesi na tuhuma mbalimbali.
1- KESI YA UTAKATISHAJI FEDHA (2007)...
Nipo natafakari hapa ni hasira, masimango au kuna kitu kingine hadi mchezaji pendwa Dejan kusitisha mkataba wake?
====
Mshambuliaji Dejan Georgijevic ametangaza kuvunjika kwa mkataba na Klabu ya...
Wewe ni mtu wa pili kuweka wazi kuwa nchi hii si wote mashabiki wa timu za Inglandi.
Pana katabia ka baadhi ya watu hapa nchini kutaka kuwalazimisha watu wengine wawe kama wao katika unazi katika...
Moja kwa moja kwenye mada!!
Nimekaa natafakari na kuwaza kuwa tunaelekea kwenye Champions league round ya kwanza tukitegemea uwezo wa strikers kama Phiri,Bocco na Kyombo kutuvusha huku tukimwacha...
Klabu ya Simba katika kuendelea kuimarisha kikosi chake kwa ajili ya maandalizi ya Ligi Kuu na michuano ya Kimataifa msimu wa 2022/23, leo Agosti 7, 2022 wametangaza rasmi kukamilisha usajili wa...
HAALAND VS MAYELE
ERLING HAALAND
MECHI 9
EPL 7
GOALS 11
UEFA CL 2
GOALS. 3
TOTAL GOALS 14
HATTRICK. 2
FISTON MAYELE.
MECHI 7
Ngao ya jamii 1
Goals 2
Ligi Kuu 4
Goals. 3
CAF CL 2
Goals. 6...