Katika mashindano ya mbio za Marathon ya Berlin 2022, bingwa wa dunia wa mbio za marathon, Eliud Kipchoge amevunja rekodi yake ya dunia aliyokuwa akiishikilia mwenyewe na kutwaa ubingwa huo kwa...
Aibu kwa mtu anaitwa platinum member eti sasa rasmi Simba haitaanzia preliminary
Na Jamaa lingine akapost
Matokeo yake tukaanzia preliminary
Ma mods wa jf tusaidieni hizi post zisizoluwa na...
Bondia Floyd Mayweather leo amerudi ulingoni dhidi ya Bondia Mjapan Mikuru Asakura katika pambano la maonesho la uzito huru lililochezwa Japan.
Katika pambano hilo Mayweather amefanikiwa kushinda...
Naam wasudan hali ni tete,wanajua kwamba watapigwa kipigo cha mbwa koko tarehe 8 kama wasudan wenzao zalan lakini wanajikaza tu kisabuni.
Sasa jumatano ya week ijayo wanasafiri kuweka kambi ya...
Kipindi hicho 2018 Yanga na Al hilal walifanikiwa kuingia group stage 2018 kombe la shirikisho ukilinganisha takwimu zao utagundua kuwa Al hilal ni timu ya kawaida sana Si kama wanavyoipaisha...
Achana na umaarufu wa Karim 'Mandonga' Said, unaambiwa mapambano yote aliyocheza hivi karibuni, ni ya maonyesho ambayo hayajampa rekodi yeyote kwenye renki.
Pambano lake la Machi 26 alilochapwa...
Simba oyee!
Niko hapa napiga stori na wanaYanga nikitoa hoja ya Barbra kuteuliwa CAF wananitukana na kutaka kunimeza.
Tena nkijumlisha na tuzo ya Sako ndo wanakasirika Zaidi. Jaman Wana Yanga...
Habari
Jana usiku nlifuatilia mpambano kati ya emiliano patrick na Osama el-labi,kwa hakika nimevutiwa sana n kipaji cha huyu bondia chipukizi.Osama ametuonesha sisi wapenzi wa ndondi kuwa...
Leo 13:15hrs 04/09/2022
Mandonga, shujaa wa ulingoni mwenye ujuzi mkubwa na mbinu za kuvutia, tekniki na ubora wa hali ya juu, timamu wa akili ya ngumi, mwepesi wa mwili mwenye kipaji cha...
Kama kawaida Kama Dawa. Mashabiki wa Simba Hatuna Dogo.
Tunakuletea Live uptdates Za Mechi Ya Kirafiki kati Ya Malindi Sc Ya Zanzibar Na Simba Sc.
01” Mpira Umeanza
05” Msc 0 SSC 0
13” MSC 0...
Kwanza nianze kumpongeza kwa anachokifanya,si kwamba nampongeza kwa kupigwa pigwa la,ila kwa kutumia fursa.waswahili wanasema "bahati haiji mara mbili" na "mungu akitaka kukupa hakuandikii barua"...
Hii ni aina gani ya uwasilishwaji wa Habari[emoji23][emoji23][emoji23]
Nanukuu "kina INOMGA wamepigwa"
UZI TAYALI[emoji3578]
Nireeeteeeeni OKWI BAOBANI SUNZU mzee wa kupuyanga.
Siku zote tunawaambia wanayanga kwamba Hajj Manara ndiye mwenye uchungu na team hiyo anayoipigania kwa moyo mmoja bila kujali maslahi ya pesa
Kitendo cha kuweza kuvitoa virusi sugu viitwavyo...
Watanzania tumekuwa na tabia ya ajabu sana ya kiherere na kuonesha hali ya upumbavu na ujinga katika mitandao ya kijamii. Tabia tunayoinesha sio kwamba ndio tunaujua sana mpira kuliko mataifa...
Wakuu leo kuna pambano la Ngumi Kati ya Kiduku na Muarabu anatoka Misri
.
Mimi ninachokiona ni Kwamba Hili hawa Vijana wetu Wawe Bora.
1. Wacheza Haya mapambano nje ya Tanzania pia ili tuone Ubora...
Kamati ya masaa 72 imekaa leo baada ya Masaa zaidi ya 300 kushughulikia swala la Morrison.
Kamati ilishindwa kukaa kwenye swala la Inonga pamoja na yule jamaa wa coast aliyetaka kumvunja mguu...
Hii iko wazi kabisa na inaitia aibu Azam Media , Watangazaji hawapaswi kuwa na upande .
Kwa Mfano , bondia wa JW anayeitwa Emiliano Partric amefagiliwa na watangazaji wa Azam kibwege sana huku...
Wakuu habari zenu,nimeachakuwasikiliza hawa wachambuzi wa kibongo wa mpira
Nitawasikiliza kama ni kocha wa mpira au mchezaji kama hajawahi kucheza mpira,Sipotezi kumuda kumsikiliza,(ulaya...
Kuna watu wanajificha kwenye ID zao hapa jf wakidhani hawajulikani.
Kuna mtu mmoja amekaribishwa kwenye timu ya utopolo lakini sasa anataka kuvuka mipaka na kuanza kutamani nafasi ya urais wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.