Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Sisi wapenzi halisi wa ngumi tunachukizwa na Upuuzi na dharau ambazo wanazifanya Azam katika mchezo wa Ngumi. Huu si mchezo wa Maigizo. Mtakuja sababisha mtu adhurike au afe ulingoni. Lakini pia...
14 Reactions
44 Replies
3K Views
Pambano halikuwa na Mshindi lakin mandonga alipigwa ngumi za kutosha
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Rais wa Ndondi Tanzania, amefuta pambano la Karim Mandonga na Salim Ally kutoka Tanga. Pambano lilikuwa la round nne ambalo walipambana hadi mwisho. Hata hivyo Rais amefuta pambano hilo baada ya...
6 Reactions
35 Replies
5K Views
Wakuu tumelala na ngumi, tunaamka na ngumi. Azam Sports 1 HD mpambano wa Floyd Mayweather v. Mkuru Asakuba ndiyo uko hewani muda huu.
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Mimi binafsi sijawahi kumuona marehemu Hamis Tobias Gaga akicheza lakini naambiwa balaa lake lilikuwa kubwa sana. Naambiwa alikuwa anapiga sana mawe. Alikuwa anapiga magoli flani hivi ya kipekee...
3 Reactions
40 Replies
3K Views
Mwambieni Haji Manara wenu kuwa anajisikiaje kuwa pamoja na Kumchafua Kutwa CEO wa Simba SC Barbara Gonzalez ila bado wenye Akili Kubwa Watu wa CAF wamempa Cheo Kipya, Kikubwa na cha Heshima ndani...
16 Reactions
66 Replies
5K Views
Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania imemfungia michezo mitatu na kumtoza faini ya Shilingi 1,000,000 mchezaji wa timu ya Yanga SC, Bernald Morrison kwa...
6 Reactions
47 Replies
3K Views
Serikali kupitia Wizara ya Michezo iishawishi TFF iwatoe kifungoni bwana Shaffih Dauda na Haji Manara kwa maslahi ya nchi kwenye upande wa hamasa wa Timu zetu za Taifa. Pamoja na mapungufu ya...
4 Reactions
15 Replies
991 Views
===== Watanzania wanne wameteuliwa kuwa wajumbe kwenye Kamati mbalimbali za Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF). Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia...
5 Reactions
24 Replies
4K Views
Baada ya mwanamama Barbra CEO wa Simba Sc kuteuliwa CAF kumekuwa na kejeli za kila aina kutoka Yanga. Kejeli hizi zinafanya nje na ndani ya JF. Kuhusu uwezo wake hakuna shaka, hata wanaokejeli...
10 Reactions
24 Replies
2K Views
Feisal Salum Mchezaji wa Yanga leo nimegundua kumbe alikuwa anacheza kwenye Ligi ya Nchi ya Zanzibar ambayo pia ni mwanachama wa CAF. Kwa mujibu wa Kanuni za CAF mchezaji anapotoka Ligi ya nchi...
7 Reactions
104 Replies
6K Views
Beki wa Simba Sc Inonga Baka ameanza kwenye cha Congo kwenye mechi ya kirafiki dhidi ya Burkina Faso. Hii imenistua kidogo,maana kosi la Congo limeesheheni nyota
13 Reactions
57 Replies
4K Views
Aliyekuwa meneja wa Chelsea Thomas Tuchel anakabiliwa na balaa jipya wakati akisubiri uamuzi wa muda gani atabaki Uingereza baada ya kutimuliwa kazini. Tuchel raia wa Ujerumani, anaweza kufukuzwa...
2 Reactions
5 Replies
699 Views
Shirikisho la Soka (FAZ) limechukua hatua hiyo kufuatia shutuma zilizosambaa mitandaoni zikidai kuwa baadhi ya wachezaji walichaguliwa kucheza Timu ya Taifa baada ya kulazimishwa kushiriki vitendo...
1 Reactions
1 Replies
818 Views
Caf champions league hatua ya awali inatarajiwa kuanza mwezi nane, ni wakati muafaka sasa kwa mabingwa wa Nbc premier league yanga sc kuhipanga kisawa sawa isije kutokea ya msimu uliopita...
9 Reactions
77 Replies
8K Views
Salaaam Wana JF Kutoka kwa kiongozi mmoja m,bobezi wa soka mwakalebela akiojiwa na media fulani amekiri kuwa Kama Simba ( kolo) ingecheza na Zalan Basi wangeambulia kichapo heavyweight Sababu...
3 Reactions
62 Replies
5K Views
Aise, hii kitu ngeni kwangu, hata pasi moja!! It means walikua wanazurula uwanjani, aise siamini macho yangu kama nikweli🤣🤣 mpira umeisha kwa bao 3 kwa 0 Hongereni sana mafarao👏🏽👏🏽
4 Reactions
9 Replies
1K Views
'Ukiongea na Mimi hakikisha akili yako imekaa vizuri.' sio maneno yangu Julio Kwa wanaomfahamu ni mtaalamu wa soka na maneno yake makali
4 Reactions
17 Replies
2K Views
3ANAANDIKA Mchao Tv KWA MFANO TU Mechi ya Azam dhidi ya Yanga ilipigwa Septemba 6, 2022 (zaidi ya wiki mbili zilizopita, ni siku 16 zilizopita) ambapo mchezaji wa Yanga Bernard Morrison alifanya...
16 Reactions
66 Replies
4K Views
Habari za muda huu wadau. Leo nimekuja na swali dogo tu nani anaendesha account za mitandao ya kijamii ya caf? Ni nafasi ya kuomba ama ni nafasi ya teuzi? Ni hilo tu wakubwa
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Back
Top Bottom