Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

CAF wameongeza zawadi katika mashindano CAF Champions League ▪︎ Mshindi atapewa $3.5 Million (Kabla zawadi ilikuwa $2.5 Million) ▪︎ Mshindi wa pili: $1.750 Million ▪︎ Timu zitakazofika nusu...
6 Reactions
10 Replies
1K Views
Mshambuliaji Marcus Rashford wa Manchester United amekataa ofa ya kwenda kuichezea Tottenham, kwa kuwa anataka kubaki kupigania namba katika timu yake ya sasa. Rashford (24) ambaye alifunga mabao...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Huu ni ukweli mtupu Yanga watawatowa Al Hilal na inawezekana kabisa wakawatowa kama jinsi al hilal walivyo watoa st - George kwa faida ya goli la ugenini. Mechi ya al hilal na Yanga apa Dar...
4 Reactions
22 Replies
4K Views
Eti wakuu. Hizi timu zina nyimbo rasmi?
0 Reactions
5 Replies
607 Views
Klabu ya Simba [emoji1241] Wekundu wa Msimbazi Wataalamu wa kusakata Kabumbu la viwango vya CAF, wanatarajiwa kusafiri kwenda nchini Sudan kucheza mechi mbili za Kimataifa za Kirafiki dhidi ya...
24 Reactions
96 Replies
10K Views
Mara yamwisho tumeifunga Yanga kule kigoma kwenye FA goli 1 bila, wiki hiyo mgogoro wa Manara na Barbra ulikuwa kwenye peak. Baada ya Manara kwenda Yanga, kijana machachari Ahmed Ally akaja Simba...
3 Reactions
25 Replies
1K Views
Haji Manara ameshiriki kuuwekea taswira mpya mpira wetu Tanzania. Hamasa ya mpira tanzania imekuwa kubwa sana katika kipindi cha Haji. Haji amesababisha watu sasa wanakwenda wengi viwanjani...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Eti mazee huyu anayekosa magoli ya wazi ambayo hata mimi na uzee wangu huu siwezi kukosa! Ndio huyuhuyu alieanzishiwa uzi na jamaa mmoja hapa jukwaani kwamba kwa miaka mi5 hakutatokea straika kama...
5 Reactions
36 Replies
3K Views
RAIS • Ahmed Yahya MAKAMU WA RAIS (WAPO 11) 1• BARBARA GONZALEZ 2• Maclean Cortez 3• Djibrilla Hamidou 4• El Hajoui Hamza 5• Sekou Sylla 6• Shehu Dikko 7• Ransford Abbey 8• Alim Konate 9•...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
1. Mapokezi ya Uwanjani huwa ni ya Kikatili 2. Wachezaji Kulishwa Sumu ni Kawaida sana 3. Basi mtakalotumia kupigwa Mawe si jambo geni 4. Mechi ikiwa inaendelea Wachezaji wenu muhimu Kupigwa...
13 Reactions
52 Replies
4K Views
Ikukupendeza uwe Azam kuichambua Yanga ikipokea kipigo cha Al Hilal,kama sehemu ya kutuaga fans wako. Namaanisha tushiriki wote kuusindikiza mwili wa marehemu mtarajiwa toka Sudan
18 Reactions
66 Replies
8K Views
Huu utaratibu naona unazidi kukita mizizi hapa nchini Naona mpira sasa unachezwa mtandaoni hadi uwanjani Tuliona kwa Zalan,je Wananchi watafaulu na kwa hawa wazee wa Sudani!? Muda ni mwalimu mzuri
8 Reactions
43 Replies
4K Views
Kila siku huwa najiuliza hivi ni kweli hivi vilabu vyetu vina vitengo kabisa vya habari na mawasiliano? Au ukishakuwa na smartphone na kujuwa kubwabwaja na kupost mipasho ndio imeisha hiyo? Mimi...
3 Reactions
9 Replies
860 Views
Sijui ni lini utabadilika Wewe na ndiyo maana Waandishi wa Habari Wenzako wote wanaula kwa Teuzi na Wewe upo upo Maredioni na kwa Mabibi Vizee huko Marekani, Uingereza, Finland na Dubai. Ali...
5 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakati Ally Mayay barua rasmi aanze majukumu yake, amenikumbusha msemo wa "usiyempenda kaja". Anaenda kukutana na watu waliomdiss
0 Reactions
3 Replies
401 Views
Shida ni pale unapotaka kuchambua kila kitu. Mkuu wa idara ya habari Simba.... Anafurahia team yake inapata mileage ( wote tunaelewa umuhimu). Hayo ni mafanikio kwake kama mtu wa habari...
3 Reactions
36 Replies
1K Views
Aisee nimepigwa na butwaa kule google ukitafuta "Utopolo fc" matokeo yanayoletwa ni Young African sports club!! Kama Mimi nadanganya basi gugo na Wewe!!.. Pamoja na Kwamba Mimi ni Simba ila...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Aliyefukuzwa ni Damian Willoughby ambaye alikuwa ameajiriwa na Chelsea ndani ya mwezi mmoja uliopita. Imebainika Willoughby alikuwa akimpigia na kumtumia ujumbe wa simu (SMS) kumdhalilisha na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama kawaida yenu kila mkiona kuwa katika Timu fulani kuna Changamoto ambayo itawafanya mkicheza nao msishinde huwa mnatumia Nguvu ya Pesa na Fitina kwa msiyemtaka. GSM na Yanga SC kwa kujua kuwa...
6 Reactions
27 Replies
2K Views
Haji Manara naye na uchambuzi wake Hajis Manara, "Muitaliana Roberto Baggio alifunga goli kama hili kwenye Seria A Msimu wa 1991/92 na liliimbwa sana hilo goli duniani". George Hagi, Mromania...
12 Reactions
64 Replies
5K Views
Back
Top Bottom