Ni ushauri tu.
Ili kuwaongezea morali wachezaji wa Yanga kuelekea mechi ya hatua ya Kwanza, zidi ya Al hilal, Yanga icheze mechi za kirafiki angalau mbili ili kujiridhisha na ubora wa kikosi Cha...
Kwanini timu ya simba inaongozwa ki propaganda saana
Kuna mda najiuliza hivi hii ni timu ya mpira au ni kikundi cha siasa
Hii timu imechaguwa saana maneno kuliko vitendo
Watu wamejaa propaganda...
Huu uonevu hadi lini jamani? wanayanga wanahoji huko mtandaoni haswa facebook... wanadai mechi ya ihefu iliahirishwa kimkakati ili Bm 3 aikose simba
Kwani ratiba ya international games...
.... Kinachofurahisha kwa sasa ni kuona baadhi ya mashabiki Tanzania WAKIISIFU SANA klabu ya Al Hilal [emoji1232] na kuwa na uhakika kuwa klabu hiyo ya Sudan itaitoa Yanga klabu bingwa Africa...
Mpeni nafasi tena namba 8 na namba 6 katika mechi zote mbili vs kipanga na malindi
Hatutarajii mambo ya ya yayayayayayaya trab na trat
Mpeni nafasi tumuone kama hafai tujue moja
Ninaona wana Simba wengi wakitamani hawa jamaa watolewe kwenye michuano hii mikubwa mapema.
Mimi nawaomba wapenzi wenzangu wa mnyama tumuombee mtani asonge mbele ili ubora wake authibitishe...
Mkurugenzi Mtendaji wa Simba SC, Barbara Gonzalez ametangazwa kuwa Mjumbe wa Kamati ya Maandalizi ya Mashindano ya Vilabu vya CAF na Usimamizi wa Mfumo wa Leseni za Klabu
Rais wa Shirikisho la...
Watu wametuma maombi wengi kwelikweli lakini ni lazima THE GENIUS HAJJ MANARA msomi mwenye degree mbili moja ya media toka south africa na moja ya political science toka china aridhike na...
Shirikisho la soka Barani Ulaya limeshikilia msimamo wake wa kutoiruhusu nchi ya Urusi kushiriki michuano ya kufuzu UERO mwaka 2024.
Huu ni mwendelezo wa vikwazo kwa nchi hiyo kufuatia kufanya...
Naam Takadini alicheza kama pele kuchelewesha mchakato wa kumpata afisa habari wakati huohuo mamlaka za juu zikifanya kazi yake kuamuru afunguliwe haraka sana.
Sasa ni wazi Sope takadini ndiye...
Hakuna kitu kilimuuma sope takadini kama uongozi wa simba ulipotoa statement ya kumkana na kauli yake ya kupiga marufuku mashabiki wa yanga kuingia mechi za kimataifa za simba
ushajiuliza angetoa...
Watanzania ifike wakati tuukubali ukweli, hatuna timu ya Taifa ya kushindana na wenzentu mpaka tufikie viwango kama hivi vya Burkinafaso, yani ukicheza ligi ya ndani sahau kuitwa timu ya Taifa...
Wakati Kombe la Dunia likibakiza miezi miwili kuanza, tayari inaonekana nyota wa Ureno na Manchester United Cristiano Ronaldo ataingia kwenye michuano hiyo akiwa mchezaji mwenye nguvu zaidi...
Ni mojawapo ya watu wenye roho mbaya sana nchi hii
Ni aina ya mtu ambaye kadiri watu wanavyolalamika maisha magumu,bando bei ghali yeye anataka waumizwe zaidi
Huyu mzee ni saddists,tafadhali...
Inakuwaje mwamuzi wa ligi Kuu anawaonyesha Kadi za njano Wachezaji 2 àmbao hawakufanya makosa? Yaani kosa anafanya mwingine Kadi anaonyeshwa mwingine?
Kelvin Yondan na Juma Mahadhi wameonyeshwa...
Wenzetu wa mataifa ya ulimwengu wa Kwanza hupigana kufa na kupona kupata kitu Bora kiwe Mali yao hata kama kiasili hakikuwa cha kwao.
Hispania iliwahi kupigana kidiplomasia ili Lionel Messi awe...
Habari za mda huu wakuu.
Kwa kiwango anachokionyesha kiungo kijana fundi mkabaji wa Real Madrid Tchouame'an kilichomfanya Casemiro kukimbilia Manchester united.
Je nafasi ya Ng'olo kante Bado...
Watu wa Simba kuweni makini na huyu mtoto Ahmed Ally atakuja kuwagharimu, tunza hii thread mtakuja kuthibitisha ninachowaambia Leo.
Mwenye macho na aone ugomvi wa Barbara na Manara ni kuvujisha...
Kocha wa Tottenham Hotspur, Antonio Conte ametajwa kuhusishwa kuwaniwa na Juventus kama itamfukuza Max Allegri ambaye anakabiliwa na presha kubwa kutokana na matokeo mabaya wanayopata.
Juventus...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.