Huu ndio utabiri wangu kwa Yanga watapocheza na Al Hilal ya Sudan nyumbani na ugenini.
Kwa upande wa sare, uwezekano mkubwa ni sare ya moja moja au mbili mbili na si zaidi ya hapo
Tofauti na...
Hembu tuone mm naona atapotea.
Huyu fundi Kwa Umri wake angesalia united na ujio wa mafundi wengine pale OT si haba angefanya jambo.
Watu kama casemiro, Antony, malacia anavyopambana dhahiri...
Habari wana jamiiforum, mimi ni shabiki wa Simba na juzi hapa nilienda Sunderland Kariakoo kununua jezi mpya ya timu yangu ila kilichonishtua ni baada ya kuiscan ile QR code imetokea jezi tofauti...
tangu kuanza kwa ligi klabu ya Yanga imekuwa ikipata matokeo kipindi cha pili. wasipobadilika itawacost siku moja hasa katika mashindano ya CAF coz timu zijazo sio za kitoto.
Leo natabiri mapema hapa kwa niliowaona wa kule Angola na wa Sudan ama Mafahari Wawili Wakatolewa ( Wakafurumushwa ) Wote au Mmoja wao tu ndiyo akabahatika Kufuzu Kundini lakini siyo Wote kwa...
Habari kwamba Utopolo inacheza na Al Hilal zimepokewa kwa masikitiko makubwa sana na jamaa zetu wa pale jangwani, hawaamini macho yao, wakiangalia usajili walioufanya wa mamilioni halafu timu...
Leo nimejaribu kufuatilia documents kila kona nimekuja kupata taarifa kuwa yanga yupo na makombe 22 ya ligi huku simba hapo awali alijulikana Sunderland naye yupo na makombe 22 ya ligi. Nashindwa...
Tasnia ya michezo ya bahati nasibu inakua kwa Kasi ya ajabu kutokana na kuongezeka kwa watumiaji wengi wa intaneti, na kukua kwa miamala ya kifedha.
Kwa miaka ya hivi karibuni Tanzania imezidi...
Nilikuwa naona mashabiki wa simba wakiwananga yanga kwamba wamekutana na timu mbovu ndo maana wameshinda lakini na wao nashuhudia timu wanayocheza nayo ni yale yale kiziwi anamcheka kipofu,,Big...
Habari za mda huu wapenzi na mashabiki wa kandanda Tanzania na east Africa hongera kwa wawakilishi wetu kwa kufuzu kwa ushindi mnono kwenye Caf champions league weekend iliyoisha Tanzania kwanza...
Uchunguzi uliofanywa na bodi ya ngumi kutoka Uingereza umebaini kwamba;
1. Mwakinyo Alidanganya "cheat" . uchunguzi umebaini kwamba kiatu alichopewa hakikuwa na madhara yoyote, hata hivyo...
Mimi kama mwanayanga kindakindaki naumia kwa kweli kwa nini kila msimu ni sisi tu ndio tunaanzia nyumbani na kumalizia ugenini?
Mbona wenzetu Simba wanapendelewa? Sisi ndio mabingwa wa nchi hii...
Nimewahi kumuuliza mwandishi na mchambuzi mmoja maarufu, kwanini makocha wengi wa Tanzania hawafundishi soka nje ya nchi, jibu nililopata sikuridhika nalo sana. Alinijibu kuwa ligi yetu imekua...
Ahlan wa Sahlan
Katika kuzunguka kwangu katika mataifa ya ulaya nimekutana na mfumo huu wa ligi za reserve wengine hupenda kuuita professional development leagues.Ni mfumo wa ligi unaohusisha...
Simba Leo imeanza kutambulisha wachezaji wake wapya kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao wa ligi, Leo wamemtambulisha mshambuliaji hatari wa mbeya kwanza, Habib Kyombo, anakuwa mchezaji wa pili...
Nilikuwa nakataa kuwa Bunge la sasa limejaa Wabunge dhaifu (ukiwaondoa tu wale wasio Mashabiki wa Yanga SC) ila kwa Upuuzi (Udhaifu) uliotokea leo Bungeni nimekubali na Mimi sasa naanza...
Hawa ndio wafalme wa Soka la Sudan, Ndio klabu iliyobeba mataji mengi zaidi nchini humo na Ndio Wawakilishi Bora zaidi wa CECAFA kwenye CAF.
Hilal imeshacheza Fainali za CAF mara 2 zote...
Wachezaji 12 na wafanyakazi wa Klabu ya Manchester United, walipata maumivu ya tumbo Ijumaa iliyopita ambayo inadaiwa yalisababishwa na kula chakula chenye sumu wakati wa mchezo wao dhidi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.