Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Ameshavuka kiwanga cha Tanzania One, sasa ni Afrika One. Bahati nzuri CAF inatambua kazi zake. Hiyo ni moja ya save matata sana, ambayo mimi na wenzangu tulishashika vichwa
1 Reactions
16 Replies
806 Views
Sera ya Yanga ya kuachana na wachezaji wake walioumia viwanjani inaidhoofisha yanga. Mwenzako akinyolewa tia zako maji ndicho kinachoendelea kwenye akili za wachezaji. Wachezaji Yanga wameingiwa...
3 Reactions
37 Replies
2K Views
Wakuu nina Wazo Fulani la Kumfikishia Waziri wa Utamaduni na Michezo Mhe. Mchengerwa ingawa Sina access ya kumfikishia. Wazo na ushauri wangu ni kwamba Mm nadhani ni wakati sasa Yanga na Simba...
2 Reactions
30 Replies
1K Views
It was known as GRIDIRON FOOTBALL , but most people never bothered with the first word. As a result,American association-football players increasingly adopted soccer to refer to their sport.
0 Reactions
0 Replies
234 Views
In England, soccer was formed when several clubs formed the Football Association about 150 years ago.
0 Reactions
1 Replies
445 Views
Je ujio wa Juma Mwambusi katika klabu ya Ihefu utabadili chochote?
2 Reactions
15 Replies
581 Views
Kumekuwa na tambo nyingi kuwa yanga wamefikisha siku 10,000 hawajafungwa, kwamba wana timu ya kupambana na timu yoyote ile duniani, wao wanadai wana uwezo hasa, mfano mzuri ni juzi wametoa adhabu...
11 Reactions
36 Replies
4K Views
Unatakiwa uwe na Mshambuliaji ambaye ukimuona tu Usoni na anavyocheza unajua tu kuwa Goli lipo muda wowote ule hata akabwe vipi na kweli hakosi kama Fiston Mayele wa Yanga SC. Na utakuwa ni...
17 Reactions
82 Replies
6K Views
Wakuu, Kila mwezi FIFA hutoa viwango vya ubora wa timu za taifa kutegemea na matokeo. Matokeo hayo husababishwa na wachezaji raia wa nchi husika, lakini sio makocha. Huenda ilikua ni wazo zuri...
0 Reactions
0 Replies
568 Views
Mchezaji ajulikanaye kwajina HAALAND mwenye umri wa miaka 21 amezidi kua tishio Duniani swali ni KWAMBA je HAALAND ni tishio? Kama watu wanavyo dai
1 Reactions
13 Replies
759 Views
Kwanza niweke rekodi sawa. Tanzania hakuna Wapenzi wengi wa Mpira wa Miguu kama wanavyoamini wengi wetu, bali kuna Mashabiki wengi wa Simba na wa Yanga. Kwa isivyo bahati mashabiki wetu hawa...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Ikiwa Al Hilal atafanikiwa kumtowa St-George, Al hHilal watakutana na Yanga kwa next step. Na mechi hiyo itakuwa hatari na yenye kuvutia zaidi ila naamini Yanga watawafunga Al Hilal ndani na nje...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Yeyote anaye jua uchawi naomba tukutane turoge hawa al hilal wafe goli nyingi apa kwa mkapa bila ivo kitatukuta kilicho wakuta wenzetu st- George kule kwao Toka ni zaliwe sijawahi kuona timu...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Klabu ya Barcelona inadaiwa kuwa ipo kwenye mipango ya kufanya mazungumzo ya usajili wa kiungo wa Chelsea, Jorginho kwa ajili ya kumsajili katika dirisha la Januari, 2023. Kocha wa Barcelona...
0 Reactions
1 Replies
975 Views
Naona stephane Aziz ki taratibu anaanza kuirudisha confidence yake na anaanza kuelewana na wenzake, anapofunga goli inazidi kumjengea hali ya kujiamini na utulivu. Kitu kinachomsumbua kwa sasa ni...
8 Reactions
26 Replies
2K Views
1. Aishi Manula 2. Shomary Kapombe 3. Mohammed Hussein Tshabalala 4. Henock Inonga 5. Mohammed Outarra 6. Jonas Mkude 7. Kibu Denis 8. Sadio Kanoute 9. Moses Phiri 10. Football Genius Clatous...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Kwa haya maneno nimemwelewa mno Coach wetu Nabi. Nimemwelewa kwa lugha nyingine anachomaanisha. Hawa jamaa hata pesa ya kula ilikuwa changamoto. Ilibidi sisi Yanga tuwasaidie. Hili ndo gari...
0 Reactions
4 Replies
761 Views
Kocha unatutafuta uchawi, Kocha tafuta sababu za Msingi, Kocha acha visingizio hafifu kwani timu yako ni dhaifu tu haikuwa na uwezo wa kushindana na Simba hata mngekuja na chakula chenu.
0 Reactions
11 Replies
990 Views
Bondia Hassan Mwakinyo amefungiwa kucheza nchini Uingereza, ikiwa ni siku kadhaa tangu alipozichapa na Liam Smith nchini humo na kupigwa kwa TKO, raundi ya nne. Kwa mujibu wa Mtandao wa ngumi za...
6 Reactions
18 Replies
2K Views
Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imepitisha usajili wa Twisila Kisinda kuichezea Yanga baada ya klabu hiyo kumuhamisha mchezaji wake wa kigeni...
10 Reactions
95 Replies
6K Views
Back
Top Bottom