Nimepenyezewa na watu wangu kuwa mipango inafanyika Simba apoteze kwenye mchezo wake dhidi ya Bata Bullets siku ya Jumapili, kuna uchafu mkubwa umefanyika ili tuondoshwe.
Nashauri mchezo wa kesho...
Jamani eeeh kale kajamaa kanachojiita Canelo kamepigwa kipigo cha mbwa koko 🤣🤣🤣🤣
Kalikuwa kanajiona kameshamaliza kila kitu mpaka muda mwengine kanadhani kana uwezo wa kumpiga Money May😅😅😅😅😅😅...
Hapa Onyango atajilaumu kwanini karudi maana alivyosikia anakuja aliomba kuondoka, namuonea huruma Babu wa watu.
Naona muda wa kupimana Umri umefika Sasa, Shida iko PALEPALE
Onyango alikubali...
Wakuu,
Ni dhahiri TFF kuna shida kubwa na inaelekea kupelekeshwa na siasa za Kariakoo. Kuna mtiririko wa matukio ambao unaacha doa kubwa ambalo ipo siku hizi nyufa tutajenga ukuta. Haya ni...
Habari wanamichezo,
Juzi niliangalia goli alilofunga Mayele, kasi yake alvyopokea mpira, utulivu wake, akili yake ya kufunga, control yake hakika niseme asante Engineer Hersi kwa kutuletea huyu...
Na tusio na Timu ( Ushabiki ) wa Klabu yoyote ile hapa Tanzania ila ni Wadau tu wa Mpira na Maendeleo yake tunajua Kocha 'Genius' Nabi hatoanza na Kisiinda ( Nuksi ) hiyo tarehe 23 Oktoba, 2022...
Hii barua ya TFF inajieleza kabisa kwamba usajiri wa Kisinda ulishindikana sababu Yangu walikuwa na wachezaji wengi wa kigeni na Dirisha lilishafungwa ,Kisinda anaingiaje sasa Wajuzi wa mambo ?
Leo nimekuwa zangu mtandaoni naona mashabiki wa Simba wakitukana saana Mayele
Ila kwa wakongo wenyewe jambo la Mayele kuachwa kwenye timu ya taifa hawajafurahishwa nalo
Kwenye mtandao wa linafoot...
Pamoja na GSM kumwaga hela kwa timu SImba inacheza nazo kama tulivyoona kwa Prison Kuaahidiwa hela nyingi wakiifunga SIMBA bado simba msimu huu tunawakati Mgumu sana. Kwa Yanga hii me nadeclare...
Nianze kwa Kuwasalimu, Naamimi Mko salama na Mnaendelea Vizuri Kusubiri Weekend Hii kuona Timu zetu Za Tanzania Zitafanya nini Katika Michuano Ya Kimataifa.
Kwa Miaka Kadhaa Sasa vilabu vikongwe...
Geita gold walipoteza mchezo wao wa ugenini kwa kuruhusu goli 1-0 dhidi ya Hilal Alsahil, leo ndio siku ya marudiano je? Hilal Alsahil warndeleza moto ama Geita watalala yoooo? tusubiri dakikak 90.
Winga ya Kulia Morrison, Winga ya Kushoto Kisinda, Mbele anasimama Mayele halafu nyuma yake kidogo yuko Aziz K huku wote hawa wakiwa Wanatibiwa vyema na Daktari bora kwa sasa ndani ya NBC Premier...
leo katika pita pita zangu youtube nimeona video moja hivi ndani ya video hiyo kuna msela fulani kavaa T-shirt yenye picha ya fiston mayele nataka kuuliza ndugu zangu.
Hivi ni kweli hizi t-shirt...
YANGA imeendelea kuboresha rekodi yake ya kucheza mechi mfululizo za Ligi Kuu Bara bila kupoteza, ikifikisha 41, baada ya Jumanne wiki hii kuifumua Mtibwa Sugar kwa mabao 3-0 katika pambano...
Habari za majukumu mashabiki na wapenzi wa soka nchini Tanzania na Africa mashariki kwa jumla naamini niwazima na wale wenye changamoto mungu awasaidie na kuwafanyia wepesi.
Twende kwenye mada...
Kwani mwana michezo Amos makalla kuna shida gani ndugu yangu , ghafla kubwa la machawa limeandika hivi? unahisi utatumbuliwa? kamati ya usalam mmeshindwa ku inflitrate hao watoto wa miaka 16 hata...
=> Tumeingia mkataba mpya wa kutengeneza jezi na vifaa vya michezo kwa miaka 5 na kampuni ya GSM Group Of Companies wenye dhamani ya Tshs Billion 9.1" Rais wa Young Africans SC Hersi Ally Said
=>...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.