Uwanja wa sokoine pamoja na TFF kuupitisha lakini huwezi kukokota mpira, mpira hautulia vizuri. Hivi viwanja kero sana.
Jana Simba pia Wamestruggle kutokana na viwanja vibovu.
Kwema Wakuu,
Najua hili litawafikia sababu JF ni Platform kubwa. Nyinyi Azam TV ndio mmepewa haki ya kuonyesha Mpira wa Ligi yetu pendwa ya NBC Premier League. Sisi Subscribers wenu tuna haki ya...
Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said katika Mkutano wake na wana Yanga SC katika Mikutano yao ya Kikatiba aliwahi kusema kuwa Udhamini wa Jezi wa GSM kwa Yanga SC umeipatia Klabu hiyo Tsh Bilioni...
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Pauline Gekul akijibu swali Bungeni amesema Kamati imeundwa kufanya tathimini ya kurejesha Ligi ya Muungano ambayo inajumuisha timu kutoka...
Mbiringe ya Ligi Kuu Tanzania Bara, kuendelea kuvurumishwa vilivyo leo September 14, 2022 ambapo Wajelajela Tanzania Prisons, wanawakabili vikali Wekundu wa Msimbazi Simba SC, kwenye Uwanja wa...
Ahlan
Uzi unaenda moja kwa moja kwa kocha Mgunda,nafuatilia mtanange wa simba dhidi ya prisons kupitia azam max nikiwa jijini Ljublijana hapa nchini slovenia.Nikiangalia kikosi cha simba naona...
Wanajulikana kuwa ni watalaamu wa kusakata Kabumbu Maridhawa Nchini Tanzania kwa viwango vya Shirikisho la Soka Barani Afrika CAF, na Klabu yeye kuvuta hisia mujarabu kwa Wadau na Mashabiki wa...
Yanga wanaongoza kwa goli la freekick ya Djuma Shaban
37' Mayele anafunga goli murua baada ya kupiga chenga mabekibwa Mtibwa
Kipindi cha kwanza kimekamilika Yanga wanaongoza magoli 2-0...
Hizi timu zinazocheza na Yanga za hapa nchini hazikazi kama ambavyo zikicheza na Simba. Jana Mtibwa walikuwa kama wagonjwa, beki hazikabi, kipa ovyo kabisa. Kwa hali hii Simba tujipange kuna...
The Premier League have announced that all of this weekend's matches have been postponed to honour Queen Elizabeth II following her death at the age of 96 on Thursday.
The FA confirmed all...
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba mpaka muda huu timu ya soka ya Napoli ya Italia inaongoza kwa bao 4-1 dhidi ya Majogoo wa Jiji huko Mjini Napoli, game inaendelea.
Bila shaka hiki ni kipigo...
Baada ya kuitazama Game yetu jana tar 11 sept 2022, tukimgaragaza mtu goli nne kwake. Nilifanya analysis yangu nikaona kuna maeneo yanahitaji kuongezwa Nguvu ili tufike mbali kimataifa...
September 13, 2022
Kocha mkuu wa timu ya taifa ‘Taifa Stars’, Honour Janza ametaja kikosi cha wachezaji 23 kitakachoingia kambini kwa ajili ya kujiandaa na mechi za kirafiki zilizopo kwenye...
Rasmi Kocha JUMA MGUNDA ameidhinishwa na CAF kwahiyo atakaa kwenye benchi la Simba SC hapo kesho. Wakati huo huo Kocha NASRIDINNE MOHAMED NABI amezuiwa na CAF kukaa kwenye benchi kwa kukosa vigezo...
Wanasimba mwezi wa KUMI unakuja.
Tufanye nini ili tuweze kuwafunga YANGA msimu huu. TUmechoka sasa kufungwa kila mara. Mikakati iwekwe mapema tuwaue hawa utopolo this is too much.
Angekuwepo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.