Tanzania tumekuwa tunahangaika kutafuta dawa ya matatizo yetu ya mpira. Uzuri mmoja katika soka letu tuna desturi nzuri ya timu za Simba na Yanga ambapo ni mtaji mzuri sana. Kwenye timu ya taifa...
SIMBA walivyo kaa kimya hatuna kocha wa Viungo, Kocha wa MAkipa je kwa hali hii tutatoboa mwezi oktba kweli tuna game hatari zinakuja mwezi wa KUMI.
Me nawashauri VIONGOZI ZRANE kocha...
Kwa tuliyoyashuhudia tangu msimu ulioisha hadi kufikia Mpole kutangazwa mfungaji bora pamoja na figisu za hapa na pale na hapa tulipofika leo inatosha sasa kusema Mayele akabidhiwe kiatu chake na...
Leo kuna mechi kati ya mbeya city na Azam
Ndugu zangu washabiki wa Azam njoo hapa tupeane update kuhusu matukio mbali mbali ya hii mechi
Azam kwa ubora wetu leo naona tunapiga goal nyingi sana...
Naona baadhi ya wachezaji wameachwa, kama Zimbwe, Mwamnyeto, Abutwarib WA Yanga, Kapombe nk, Je ni sahihi kuwaacha? Au wamewaacha sababu ya kujiandaa na mashindano ya klab zao??
Jana tulianzishiwa mada mahususi ambayo ilikuwa ya KIMKAKATI na vijana wakaiparamia kama ilivyo mwisho wa siku lengo likatimia.
Lengo lilikuwa ni kututoa njiani badala ya kujadili mambo ya msingi...
Moja ya sababu ya kuto piga hatua kwenye soka ni, Umasikini na si vinginevyo, West Africa wanafanya vyema kwenye timu za Taifa tu na sio Vilabu na ukiangalia levo ya Vilabu basi Waarabu wanafanya...
1.Tukianza na eneo la beki upande wa kulia Kibwana ni mfupi,vile vile hawezi kupiga krosi na pasi za akili. Siku hizi beki wa pembeni ni mchezaji muhimu sana katika kuandaa mashambulizi.
2.Beki...
A. Simba SC ya Mgunda?
B. Simba SC ya Matola?
C. Simba SC ya Wachezaji wa Kufurahia Kuondoka kwa Kocha Maki?
D. Simba SC ya Wachezaji Wenyewe kuamua Kuwajibika na Kujitoa kuipigania Jezi?
Clatous Chotas Chama. Jamani huyu mchezaji ni muongo, ni muongo sijapata kuona. Muongo sana. Na uongo ni dhambi ambayo katika amri kumi ipo. Usiseme Uongo.
.
Chama anaweza kukudanganya kuwa...
Hii ni taa ya tahadhari,
Big Bullet walifungwa kwao goal mbili kwa bila, lakini haimaanishi ni wabovu. Matokeo yao hayo yalichagizwa pia na uwanja wao wenyewe, siyo mzuri Sana Kama ule wa Mkapa...
Kwanzia msimu umeanza kuna kosa kubwa la uchaguzi wa wachezaji hasa eneo la kiungo, na beki hivyo kupelekea timu ya Yanga kutokuwa na utulivu pindi wakishambuliwa. Hii Yanga imekuwa tofauti na ya...
Wasalaam mazee,
Natumai muwazima wa afya tele kabisa na mambo yanakwenda sawa bin sawia.
Kipindi anapigana Muhammad Ali mimi sikuwepo lakini sababu ya mambo ya utandawazi uliopo sazi...
Simba wamejaribu kufanya jambo tofauti lakini lisilo na tija. Nadhani ni wakati sahihi wa kufocus kwenye kubuni jezi kali ambazo zitashindana na za @yangasc1935
Ecuador ipo hatarini kuondolewa katika Kombe la Dunia 2022 kutokana na utata wa nyaraka za mchezaji wao, Byron Castillo, ikiwemo hati ya kusafiria ambapo inadaiwa beki huyo ni raia wa Colombia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.