Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kwa muda mrefu nimeangalia kikosi chagu cha Simba na inanisikitisha pale ambapo Hussein anakuwa majeruhi au Kapombe kawa na majeraha mbadala wao hawapo Simba. Tangu wapo Misri pre-season...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Baada ya kumshinda Lou Savarese kwa TKO sekunde ya 38 huko Scotland alitoa dongo hili zidi ya mpinzani wake Lennox Lewis: I'm the best ever. I’m the most brutal and most vicious and most...
9 Reactions
34 Replies
4K Views
Gazeti linajieleza.
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Angetile Osia amekuwa mwepesi sana kujifanya mchambuzi anayepinga kila jema la TFF, TFF wakifanya maamuzi yeye bila kuchelewa hujitokeza kuwapinga. Angetile amewahi kuwa mtendaji wa TFF, aidha...
2 Reactions
7 Replies
736 Views
Mwenyekiti wa zamani wa Yanga, Imani Madega kuhusiana na Injinia Hersi kuwania Urais wa Yanga…. Kwa sababu Yanga wengi ni mazuzu, watamshambulia Madega. Madega ana hoja nzito sana.
7 Reactions
48 Replies
3K Views
Mchezo wa UEFA Europa League, Arsenal dhidi ya PSV Eindhoven uliopangwa kuchezwa Septemba 15, 2022 kwenye Uwanja wa Emirates Jijini London umesitishwa. Shirikisho la Soka la Ulaya (UEFA) limesema...
1 Reactions
2 Replies
698 Views
Kila alipokuwa akipelekewa mic na waandishi wa habari nchini Malawi Kaimu Kocha Mkuu wa Simba SC, Juma Mgunda hakuonyesha kuogopa au kubabaika au kushikwa na kigugumizi cha ghafla bali alikuwa...
22 Reactions
43 Replies
5K Views
Mara mojamoja tu Simba warushieni vijisenti hawa ndalakyuya, wako sokoni wanajiuza hawana tofauti na wale viumbe wa corner bar mwenye dau kubwa ndiye watamuheshimu na kumnyenyekea, wengi wao...
4 Reactions
12 Replies
907 Views
Nafikiri kwa timu yoyote itayovuka kati ya hizi kukutana na yanga basi itatakiwa ifanye kazi ya ziada mara 2 kuizuia yanga, naangalia mechi yao hapa inayoendelea sijaona timu ya kuisumbua yanga...
9 Reactions
47 Replies
4K Views
Huwa nashangaa sana ninapoona mechi imetangazwa kuonyeshwa labda Azam Sports 2 , halafu muda unafika haionekani au imehamishiwa channel nyingine bila taarifa , hivi mnadhani ni nani ataota kwamba...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Haijawahi kuthibitishwa kuwepo na mbwa albino So unapokuwepo kwenye papatupapatu zako za kutukana na kudhalilisha watu ambazo ndizo zinakuweka mjini elewa hilo Siyo kila mtu wa kusema niite mbwa...
5 Reactions
16 Replies
953 Views
Ni siku kubwaaa, Siku Yenye Msisimuko Wake, Siku Ya Furaha Kwa Wapenzi wa Soka Tanzania, Afrika Mashariki, Afrika Ya Kati na Afrika Kwa Ujumla. Ni mchezo wa Kuwania Kufuzu Hatua Makundi Club...
16 Reactions
451 Replies
30K Views
Mbwa mwenyewe alikuwa Serena anakula makombo ya waarabu. Huyu jamaa ni mbwa jike,aka mzungu pori cha waarabu
6 Reactions
12 Replies
827 Views
Huenda mwisho wa Kufurahi kwa hiyo Timu na Mashabiki wao ukawa ni Weekend ijayo ( hii ya sasa ) na baada ya hapo Kununa (kwa Kufurumushwa kabisa Michuanoni ) Kukaanza ama kutokea Sudan au Ethiopia.
1 Reactions
5 Replies
624 Views
Mh Mchengerwa ameagiza BMT kuchunguza kichapo cha Taifa Stars huko Uganda , ambako walitupwa nje kabisa ya michuano ya CHAN , na pia Mwakinyo ametakiwa kuchunguzwa kutokana na kupoteza pambano...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Watani wa jadi huko Amerika ya kusini, wanakutana leo hii, game linapigwa saa 23:00/saa tano kamili za usiku Boca Juniors and River Plate Estadio Alberto Jose Armando, Ciudad de Buenos Aires...
1 Reactions
5 Replies
621 Views
Msemaji wa Wizara ya Michezo Mohammed Fawzi amethibitha kuwa nchi hizo tatu zimekubaliana kuungana ili kuomba kibali cha FIFA na mazungumzo hayo yanahusisha wasimamizi wa michezo wa nchi hizo...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Wana Yanga kuonewa hadi lini jamani? Karia akishirikiana na rafiki yake mkuu wa CAF na mmiliki wa mamelodi Sundown Motsepe. Wanafanya maamuzi mengine mabaya dhidi ya Yanga. Walimzuia kisinda...
7 Reactions
19 Replies
2K Views
Jana wote tumeshuhudia Yanga wakishinda bao 4-0 ugenini licha ya kufanyiwa vitimbi kibaooo. Leo mabingwa hao watarejea nyumbani saa 3 usiku. Nyote mnaombwa kwenda kuwapokea airport. Hizo ndo dozi...
5 Reactions
10 Replies
879 Views
Back
Top Bottom