Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kuna wakati unatamani ujifiche. Tangu mwaka jana tunaondolewa CAF CL ni kwa sababu ya ujinga wa bvr kwa sababu why wanashindwa kuajiri kocha mwenye leseni A kwa nafasi ya MATOLA why? Hizi aibu...
7 Reactions
32 Replies
2K Views
Wakuu Habari zenu? Baada ya korona naona tumerudi tena kwenye mchezo wetu pendwa wa mpira wa miguu ili tumalizie mechi zilizo baki. Wakuu nimekuwa nikifatilia mpira wa miguu kwa muda mrefu sana...
4 Reactions
30 Replies
4K Views
Habari wadau! Nahitaji mawazo yenu kati ya hawa watu wanne niliowataja hapo, ni nani ambaye anajua kuchambua soka kwa ufasaha zaidi? Shafih kila siku tunamsikia pamoja na Geofrey Leah, Dr Leaky...
2 Reactions
185 Replies
56K Views
Dah nimepita sehem maeneo ya uwanja wa Taifa, mambo ya nje ya uwanja yanayofanyika ni hatari tupu, nashindwa kuelewa hivi hata Zalan ni ya kuvunja nazi mida hii, ina maana kwa usajili mlioufanya...
14 Reactions
34 Replies
3K Views
Inawezekana wanaamini kuwa mpira ni kusukuma tu gozi uwanjani ama makocha wao hawawafundishi kuwa mpira ni sayansi na ni sanaa pia. Labda pia wanadekezwa na udhaifu wa Marefa wetu katika kusimamia...
6 Reactions
30 Replies
1K Views
MNAYAKUMBUKA LAKINI YALE MATUSI YENU?? Walikuwa hawazijuhi shida za kwenye duara kama hawajakutana na huyu mwanaume pale kati. Wanamkubuka vizuri tu, chini alikuwa anasimama yeye na Victor wa...
0 Reactions
0 Replies
298 Views
Pira la leo litatoa majibu ya viwango vya wachezaji pamoja na makocha kati ya simba na yanga.
0 Reactions
7 Replies
848 Views
Hebu fikiria Kibu Denis alicheza Mbeya huko miaka na miaka!! Lakini siku alitia mguu wake Simba Tanzania yote ilisimama! Na hatimaye mambo ya Uraia yakajitokeza! Amini nakuambia angeenda yanga...
15 Reactions
24 Replies
2K Views
Raundi ya Kwanza ya Michuano ya Afrika ngazi ya klabu inatarajiwa kuanza wikiendi hii ambapo timu za Tanzania pia zitakuwa uwanjani ndani na nje ya Nchi. Leo Septemba 10, 2022, Yanga itavaana na...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Aliyekuwa kocha wa Mamelodi Sundowns na Al ahly ameteuliwa na klabu ya Bournemouth kuwa mkurugenzi wa ufundi. Awali ilisemekana "Mlete mdhungu fc" wana mpango wa kumleta kocha huyo mwenye CV...
10 Reactions
25 Replies
3K Views
Kupitia ukurasa wake wa twitter ameweka maoni yake kama ifuatavyo;
6 Reactions
30 Replies
3K Views
Katika hali ya kawaida , jambo lililotokea kwenye timu yetu ya Simba, si rahisi kusema kwamba limetokea kwa bahati mbaya. Sisi wengine tukiangalia uwezo na elimu kubwa waliyonayo viongozi wa...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF Wallace Karia ametembelea Kambi ya Yanga Avic Town na kushuhudia mazoezi ya klabu hiyo kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Zalan...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Kocha Juma Mgunda atakuwepo kesho September 10 kwenye benchi la ufundi la Simba SC dhidi ya Nyasa Big Bullets katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika na ndiye ataongoza benchi zima la ufundi...
7 Reactions
60 Replies
4K Views
Sina tatizo na Juma Mgunda (Guardiola Mnene) kuwa Kaimu Kocha Mkuu wa Simba SC kwani natambua uwezo wake ila tatizo langu ni kwanini Matola Yeye haondoshwi Simba SC kama wanavyoondoshwa makocha...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimegundua kuna vyombo vya habari uwepo wake unatokana na kuwepo watu wengi vilaza hususan wa club ya kinye fc. Kutokana na sababu hiyo,wamekuwa wakitangaza habari nyingi za uzushi kuhusu Simba...
5 Reactions
17 Replies
752 Views
Kufundisha timu mbili za ligi moja kwa wakati mmoja wa ligi haikubaliki na sio weledi. Madhara yake ni pamoja na: 1. Juma mgunda ana mapenzi/maslahi na timu mbili za ligi kuu kwa wakati mmoja...
5 Reactions
40 Replies
4K Views
Wakuu habari za asubuhi? Naombeni msaada jinsi ya kubadilisha pasword za M.Bet. Msaada tafadhali.
1 Reactions
2 Replies
796 Views
Back
Top Bottom