Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mchezo umeanza Timu zimeshaingia uwanjani kuelekea kuanza kwa mchezo huu Kikosi cha Nyasa Big Bullets Kikosi cha Simba kuelekea mchezo dhidi ya Nyasa Big Bullets, leo Jumamosi Septemba 10...
30 Reactions
337 Replies
24K Views
1.Anafundisha mpira muruwa kama Guardiola 2.Anaongea kiingereza vizuri kama Guardiola 3.anatumia formationa kama Guardiola
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Huo ndiwo ukweli. Haji anaweza kuunda jambo na likakua kwa kimo cha kutisha na kwalo hata kusababisha madhara makubwa na yenye kuleta sintofahamu ndani ya jamii. Haji ndiye binadamu wa kwanza...
5 Reactions
17 Replies
1K Views
Kweli kwa Aziz K tumepigwa wanajangwani, Bora Saidoo kuliko K.
6 Reactions
42 Replies
2K Views
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara imeendelea kupigwa leo September 9, 2022 ambapo Singida Big Stars walikuwa wakipepeta na Klabu ya Dodoma Jiji FC. Matokeo ya mchezo huo ni kuwa Singida Big...
1 Reactions
11 Replies
883 Views
Kuanzisha kampuni sio jambo la kitoto ni kazi inayohitaji investment kubwa na ya kutosha. Nadhani Diamond Platnumz peke yake hawezi anzisha kampuni ya kubet bila backup. So ninani yupo nyuma ya...
4 Reactions
19 Replies
3K Views
Hakuna njia nyingine ya kumfikishia salam waziri wa fedha kuhusu maumivu ya tozo bali kuizomea timu yake Marefarii fanyeni kazi ya kuwapa kadi wachezaji wa hiyo timu ili ujumbe umfikie. Tumechoka.
7 Reactions
28 Replies
2K Views
Watamalizwa na Zalan mechi zote mbili hapa hapa, ndani ya mipaka ya Tanzania hawatoki. Uzuri marefa sio wabongo, wakiwatoa Zalan mniite MBWA!
9 Reactions
42 Replies
2K Views
Mabeki wake Wanakatika ( siyo Viuno vya Vitandani ) halafu Viungo wake ni wa aina Moja tu, Wachezaji wake wanapoteza Mipira kiurahisi halafu ina Washambuliaji wa Kubahatisha na Mmoja wao...
7 Reactions
22 Replies
2K Views
Nikiwa kama Mwananchi wa Tanzania na Mwanachama wa Yanga na kusudia kuandika Barua kwa TFF kuhusu Uongo aliozusha Mwandishi wa Habari wa Efm Radio. Jemedari au Bin Kazumali kwa makusudi...
7 Reactions
21 Replies
2K Views
Hii ndio kauli mpya kutoka kwa Serikali ya Tanzania aliyoitoa Waziri wa Michezo Mh Mchengerwa , akiongea na wanahabari amesema kwamba wachezaji wenye majina makubwa (Hakuwataja majina) hawajitumi...
7 Reactions
41 Replies
4K Views
RS Berkane Renaissance Sportive de Berkane (Arabic: النهضة الرياضية البركانية) commonly known as Nahdat Berkane or RS Berkane for short, is a Moroccan sports club based in Berkane, Morocco. The...
2 Reactions
35 Replies
2K Views
Taarifa ya TFF ndio hiyo, yani hapo ndio wametowa ufafanuzi Sasa ufafanuzi wao unazalisha maswali zaidi kuliko awali. 1. Kuna makocha wamehitimu mafunzo na wana Leseni class A ya CAF, halafu kuna...
7 Reactions
62 Replies
4K Views
Hivi wabongo tunaweza wapi,maana kila sehemu ni ujinga ujinga tu. Sasa wachambuzi wamegeuka kiwanda cha uzushi
9 Reactions
34 Replies
2K Views
Khabari za Juma Mgunda na Nabi kuwa hawana sifa za kuwa kwenye benchi la ufundi la simba na Yanga wakati wa mechi za CAF zilisambaa kama moto wa nyika unavyosambaa haraka na kuunguza kila kitu...
0 Reactions
0 Replies
410 Views
Stephane Aziz Ki ni jina lililotamkwa mara nyingi mno midomoni mwa mashabiki wa SIMBA na YANGA kwa takribani wiki nane sasa huku kila shabiki wa timu hizi akitamani huyu bwa mdogo acheze kwenye...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Nawapongeza kwa kufanya vizuri kwenye mechi za mwanzo ni mwanzo mzuri kwa timu zote mbili itawajengea hali ya kujiamini na kujipanga vizuri kwa michezo ijayo,. Pamoja na kushinda timu zote 2...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Ndugu WanaJF, Karibuni kwenye uzi maalum wa klabu yetu ya Singida Big Stars. Kupitia uzi huu mtafahamu masuala mengi kuhusu klabu yetu ambayo ni mgeni wa Ligi Kuu Tanzania Bara na msimu huu ukiwa...
8 Reactions
49 Replies
4K Views
Taarifa za uhakika zinasema kocha Nasreddine Mohamed Nabi, naye anasubiri ruhusa (Approval) ya CAF kumuwezesha kukaa kwenye benchi hapo kesho kwenye mchezo wa Champions League. Nabi ambaye msimu...
7 Reactions
134 Replies
9K Views
Kwa kweli kwa namna suala la kocha mpya wa Simba kudaiwa hana vyeti wakati sio kweli huku wanaojiita wachambuzi wakiliongelea jambo hilo kwa kutokwa na mapovu, limetia doa kubwa sana tasnia ya...
14 Reactions
27 Replies
2K Views
Back
Top Bottom