Habari wakuu
Tukiacha hizi tamaduni za utani wa kisoka na kuja kwenye proffesion ya mpira wa Bongo huyu mwamba Hans Pope alikuwa ni mtu na nusu kwenye carrier ya usajili.
Hizi tension za mara...
Nani alaumiwe kwa yanayoendelea msimbazi?Tafadhali piga kura yako hapa
A. UONGOZI
B. MWEKEZAJI
C. WACHEZAJI
D. BENCHI LA UFUNDI
Tafadhali piga kura yako hapa
Ndugu zangu watanzania tunasababu ya kuiondoa ccm kutawala ktk nchi hii.
Maana inachofanya ccm ni kutukandamiza wananchi ili wao wanufaike na familia zao.
Yaani ukibeba gunia 4 za mahindi au...
Leo nashuka hapa kumumpa Wosia
Kiungo wa Azam Sospeter Bajana kipaji kikubwa anacho japo kulikuwa na walakini kwenye jina lake
Mimi ni shabiki wa Azam fc kipindi unatumia jina la Brayson...
Kocha Mkuu wa Simba SC Juma Mgunda, amezungumza na waandishi wa vyombo vya habari nchini Malawi kuelekea mchezo wa kesho wa Ligi ya Mabingwa Afrika CAFCL, dhidi ya Nyasa Big Bullets ya nchini...
Kwa mara ya kwanza almanusura KMC ichukue point zote 3 mbele ya timu ambayo mashabiki wake wanajinasibu wanayo timu bora.
Unaokota point 1 mbele ya timu ambayo ni ya kawaida tena kwenye uwanja...
Mashabiki wa utopolo na baadhi ya wanasimba oyaoya, jengeni hoja kuanzia hapo, Nimewapa mwongozo wapi muanzie.
Ila mfahamu tu taifa stars ilicheza mechi za kimataifa zinazosimamiwa na CAF ikiwa...
CEO Barbara alituletea Kocha Pablo akituaminisha ni Kocha bora hakukaa akamtimua.
CEO Barbara akatuletea Kocha Zoran na kusema ni Kocha bora hakukaa juzi wamemtimua Kidiplomasia.
CEO Barbara...
Ndugu zangu wanasimba poleni na stress za hapa na pale juu ya timu yetu.
Tuna uongozi mbovu haijawahi kutokea. How comes unarelease barua ya kupata kocha mkuu wa Mda (MGUNDA) huku...
Jana mashabiki wamepaza sauti zao baada ya sare na KMC, makelele mengi yalikuwa ni kumkataa Selemani Matola kwa madai anaihujumu timu, wengine walifikia hatua ya kutaka kumpiga hadi inasemekana...
Kuanzia sasa MINOCYCLINE nitakuwa Naipamba tu Yanga SC huku Nikiichana mara kwa mara Simba SC na nitaacha kufanya hivi pale tu Kocha Msaidizi Matola atakapong'olewa (atakapofurumushwa).
Mgunda tulipata habari zake akiwa airport hakuna cha gazeti wala wacha mbuzi uchwara waliojua kinachoendelea.
Zoran pia ilikuwa ni suprise ya hatari kuwa katemwa.
Yule mzungu pori ndio alikuwa...
Viongozi siasa janja janja oya oya, makocha wanaletwa oya oya, wachezaji oya oya, mashabiki na wanachama oya oya yani wote hawajielewi. Kwa vile mudy na wenzake ni oya oya wamejua sisi ni oya oya...
MICHUANO YA KIMATAIFA KAMA JUKWAA LA FURSA YA KIBIASHARA KWA VILABU VYETU NCHINI
Kuelekea kuanza kwa michuanao ya kimataifa ngazi ya vilabu barani Afrika mwishoni mwa juma hili Jamhuri ya Muungano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.