Wale wa Fair competition kwenye hili mbona mko kimya? Mgunda kaazimwa na Simba SC kutoka Coastal Union, haijulikani ni lini atarejea Coastal Union"
"Halafu kabla ya December klabu iliyomuazimisha...
MINOCYCLINE ni kama Bahari ambayo kamwe huwa haikai na Uchafu kwakuwa nina desturi ya Usafi.
CEO wa Simba SC huko nyuma nilishaambiwa na Watu wako wa Karibu na hata Haji Manara alishawahi kusema...
Naandika maoni haya nikiwa nimeshuhudia mechi kadhaa za Simba chini ya Pablo Franco.
Naandika Kwa msisitizo kwamba kocha Pablo ana mengi ya kujifunza ili kuwa kocha Bora.
Nashangaa pamoja na "li...
Makolo mulibwanji?😄😄
NAWEKA REKODI SAWA
JE PABLO FRANCO MARTIN, ALIWAHI KUWA KOCHA MSAIDIZI WA REAL MADRID?
Taifa limeendelea kudanganywa kwa mara nyingine, naweza kusema hivyo bila shaka...
Kwa matokeo wanayopata leceister city mechi.5 point 1 na wanaburuza mkia.
Ni wazI mwamba anasubir tu mkono wa kwaheri toka kwa tajiri.
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Wakuu salama,
Nimeangalia mechi ya timu yangu pendwa ya wananchi jana nikagundua beki yetu inaonekana mbovu na kujichanganya simply because viungo wakabaji hawafanyi kazi yao vizuri Bigirimana na...
Kocha mmoja kufundisha timu mbili ligi moja kwa wakati mmoja kivyetuvyetu.
Timu kukosa golikipa na kumtumia mchezaji wa ndani kama kipa kivyetuvyetu.
Kosa moja kutendwa na watu wawili...
Klabu ya Coastal Union imetangaza kutokuwa na mkataba na Kocha Juma Mgunda ambaye kwa sasa anaitumikia Simba akiwa kocha wa muda.
Coastal imeeleza mazungumzo ya kusaini mkataba mpya baina yao na...
Kocha mkuu wa muda Juma Mgunda akiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere mapema leo September 8 akiwa ameungana Kikosi cha Simba SC, Wekundu wa Msimbazi, safarini kuelekea nchini Malawi...
Ni sehemu Kuu ya Agano la 'Kishirikina' kutoka kwa Waganga wao wa Kienyeji ( hasa yule wa kutoka Kigamboni aliyekuwa akimpa Dawa ya Mvuto wa Watanzania wote Mstaafu namba Nne wa Pwani na ambaye...
Hamna kitu sasa hivi kinaumiza watu kama timu yetu ya taifa na pia uchezaji wao na uwajibikaji.tunapaswa kuzidi kuwapa sapoti kubwa kwani kutoa sapoti kwenye klabu kama simba na yanga ni kubwa...
Yes Matola amekuwa kocha msaidizi muda sasa! Ili Simba ibadilike inahitaji kocha msaidizi mwingine ili kuja na mawazo mapya
MATOLA hana mbinu za kumsaidia mwl refer mechi ya YANGA vs SIMBA...
Simba sports club are in talks with former Al Ahly head coach Pitso Matsomane, hao ndio Simba.
Zoran Mack ameomba mwenyewe ku terminate contract na Simba wamekubali baada ya kuona their...
Naam yeye mwenyewe Kisubi alipokuwa simba alinyoroshwa vizuri sana na watu wa moro hadi akaomba poo, sasa huyu jamaa toka nchini Mali anajifanya mjanja siyo? Anayoroshwa huko na watu haohao wa...
BM 3 kwenye madai yake alipohojiwa na saleh jembe alisema aliitwa ofisini na CEO na kuambiwa posho na mshahara wake utapunguzwa kama anataka kusaini mkataba mpya
Inasemekana posho zimepunguzwa...
Katika Fainali za Kombe la Dunia 1994, kikosi cha Colombia kikiwa na wachezaji mahiri kama akina Faustino Aspirilla, kilitolewa hatua za mwanzo bila matarajio ya wengi baada ya kufungwa 2-1 na...
Hivi ni lini tutaanza kupenda vya kwetu!
Unakuta mtu anamchukia Matola!
Ukimuuliza sababu anasema amekaa muda mrefu! Hivyo tu!
Tangu lini kukaa muda mrefu sehemu ikawa kosa? Lipi baya ambalo...
Wakuu,
Tupo kwenye hali mbaya sana kiufundi kama club. Kwahali ilivyo sasa ni muhimu kesho mapema iitishwe press conference chini ya all top management team waongee na wanaSimba. Hii ni lazima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.