Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

wote tuna haki ya kueleza na kutoa wazo na michango kwa ajili ya taifa letu kufikia malengo.sio mawazo ya mtu mmoja ambaye mwenye nafasi bila kushirikisha wananchi ndio usababisha matatizo.mfano...
0 Reactions
3 Replies
418 Views
Jana kulikuwa na Mechi iliyobayizwa jina la Derby ya Dar es salaam Kati ya Yanga na Azam iliyomalizika Kwa matokeo ya 2-2. Kama ilivyo kawaida ya Mechi ngumu haikosi matukio. Kinachotrend Kwa Sasa...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Kama kuna Mtu ambaye anajuta kwanini kaacha Kazi Azam Media na kaja kuwa Msemaji wa Simba SC basi atakuwa ni Msemaji wa sasa Ahmed Ally. Wengi wenu huwa mnamuona Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally...
9 Reactions
12 Replies
4K Views
Pamoja na ukweli kwamba Frank Lampard ameshindwa kutimiza malengo ya timu na hatimaye ametimuliwa, lakini huyo Thomas Tuchel hafai kubeba jukumu hilo, ni kocha mwepesi sana ambaye mafanikio yake...
7 Reactions
83 Replies
7K Views
Kwa heshima na taadhima naomba huyu Mheshimiwa ajitokeze hadharani kuwaomba mashabiki msamaha kwa kuwaita mbumbumbu wakati alipokuwa kiongozi mkubwa tu wa Simba Sports Club. Ni vizuri akalifanya...
6 Reactions
28 Replies
2K Views
Naona mashabiki wa simba wana lalamika sijui leo wamebebwa sijui wamebebwa maneno mengi kana kwamba refa alichukuwa mpira na kwenda kuweka ndani alafu ikawa goli Na pili mpira ambao wanasema...
12 Reactions
14 Replies
851 Views
Kwa miaka nenda rudi tumekuwa tukifurahia huu utani wa timu zetu pendwa Simba na Yanga Kwa amani tele.. Ila Ile amani kwa Sasa imetoweka kabisaa, Sasa umekuwa ni uadui na chuki kabisa miongoni mwa...
3 Reactions
25 Replies
1K Views
Pamoja na kwamba soka ni ajira, soka pia ni kielelezo cha taifa. Soka huitangaza nchi yoyote iwayo; kuiheshimisha na kuiaibisha. Kwa muda mrefu sasa, timu zetu za taifa za soka za wanaume zimekuwa...
0 Reactions
0 Replies
564 Views
Kitendo cha timu za simba na yanga kuchezeshwa usiku hasa katikati ya wiki zinazikoseja timu pesa kupitia washabiki kuja uwanja. Hizi timu bila pesa ya getini mapato yanapungua. Sent from my...
0 Reactions
2 Replies
813 Views
Uwezo wa yanga kuondoka na point zote 3 leo walikuwa nao isipokuwa kocha Nabi alipotea maboya kwenye selection ya wachezaji walioanza mechi hii, tunajua gael bigirimana na kharid aucho ni wazito...
9 Reactions
50 Replies
3K Views
Leo tumeona jinsi alivyowabeba utopolo na sasa wachambuzi wanachukua muda mrefu sana kuwatetea. Mpira unatoka nje anaruhusu uendelee na goli linapatikana. Mwamuzi anawanyima penalty ya wazi Azam...
11 Reactions
21 Replies
2K Views
HAKUNA nchi inajua kuwapamba watu wake wa mpira Afrika kama Tanzania. Mtunisia Nasreddine Nabi kwa sasa anaitwa profesa. Alisomea wapi? Sina majibu. Ukitazama pale katikati ya dimba kuna kiungo...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Kuna muda naongea Kiutani ila hapa nimevaa Uhalisia wangu wa Kiuchambuzi na Kimchezo. Ushindi wa Azam FC leo ni Sare ila Kufungwa na Yanga SC ni lazima kama Israeli anavyoihitaji Roho ya...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Ilikuwa ni mida ya saa 11 na robo hivi nikiwa nimetoka kazini nimeenda kiwanja flani kufanya mazoezi. nilifika nikaona kuna majabizano ya kelele kati ya watu wawili.. wa kwanza tumwite papai ni...
0 Reactions
3 Replies
610 Views
Zoran Manojlović Ndio jina la Kocha Mpya Wa Simba SC, Yes Baada ya Kumaliza Kupitia File lake Nimegundua kuwa Msimu Ujao unaenda kuwa msimu mwingine mzuri kwa WanaJangwani. Kutokana na Rekodi...
5 Reactions
77 Replies
5K Views
To be honest, hizi hazina uwezo ndani ya pitch, hao yanga wanaoonekana kuwa wazuri mwaka huu, ni kwa sababu Simba na timu nyingine zote mbovu, vile vile Yanga inasaidiwa sana na baadhi ya vilabu...
8 Reactions
43 Replies
3K Views
Mbona timu ya Taifa huwa hatuuoni ubora wa Feitoto? Na anaogopa kucheza vilabu vya nje au ana mkataba nayo akiwa yanga tu?
1 Reactions
7 Replies
682 Views
Zoran: Akiongea na waandishi wa habari amejitapa kuwa "Mimi ni muumini wa soka la kasi na sitaki mchezaji akae na mpira muda mwingi. Pia sitaki pasi za nyuma" anataka pasi za kwenda...
6 Reactions
102 Replies
5K Views
Ni uleule muendelezo wa vita kati ya karia na yanga sc kwa kutumia ukaribu wake na Motsepe ameagiza Ngushi akatwe jina lake wana yanga amkeni nyie, mnaonewa sana.
4 Reactions
31 Replies
2K Views
Aisee Hutu jamaa sidhani Kama anajua kazi yake,sehemu nyingi zenye utata harudii/hazirudii inaweza chukua hata dakika 5 akarudia kidogo tu, Tunaomba ajirekebishe na awe sharp kwenye matukio...
1 Reactions
10 Replies
940 Views
Back
Top Bottom