Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kanuni zipo kwa marefa wanaofanya makosa,Yanga wanajisifu unbeaten kwa sababu ya kuhonga marefa. Refa yoyote atakayechezesha mechi ya Yanga na akawafavor apigwe faini na kufungwa. Ligi haiwezi...
5 Reactions
4 Replies
732 Views
Leo ni game ya 40 kweny ligi ya NBC timu ya Wananchi hawajaonja kichapo cha kupoteza mechi. Japo najua huko mbeleni watafungwa tu ila paka kufika hapa wanastahili pongezi. Bravoo...
1 Reactions
25 Replies
784 Views
Hakuna adui wa kudumu bwana , hakuna mkate mgumu mbele ya chai, naaaam penye udhia penyeza rupia, hata watu wenye akili zao watajizima data, BOOOOM Somo kwenu kina TRY AGAIN, fungueni booster...
0 Reactions
0 Replies
701 Views
Lorenz kohler ni mwandishi mkubwa sana south africa, matter of fact is, ni best sports journalist wa huko award hiyo kashinda mwaka huu Kuna siku nilibishana naye facebook kuhusu lile sakata la...
3 Reactions
39 Replies
3K Views
Leo sioni yanga akitoboa sababu team yangu iko imara mno. Eneo la beki sina mashaka na AMOAH na MALICKOU NDOYE. Kiungo kocha utachagua tu ISSAH NDALA au JAMES AKAMINKO au Mzawa BAJANA Winger...
3 Reactions
25 Replies
1K Views
Leo kutakuwa na Mtanange wa Kukata na Shoka kati Azam Fc na Yanga SC. . Wakuu mechi hii itaanza majira ya saa 2:15 usiku Uwanja wa Chamazi Complex. . Tunajua ugumu wa game hii ya leo Ukizingati...
7 Reactions
440 Replies
29K Views
Zoran manoljovic (60) will be the new head coach of Egyptian premier league side (al ittihad) after partying away with Tanzania giant simba sports club today. The serbian is expected in Egypt...
9 Reactions
27 Replies
2K Views
Mwez wa nane Simba iliingia mkataba mnono kweli kweli na m bet Sasa inakuaje aliyekua kocha wao zoran mak anavunja mkataba na kwenda ittahadalexsc. Inamaana club tajiri Tanzania na level moja na...
1 Reactions
2 Replies
657 Views
1. Matola atoke hapo benchi apewe hata timu ya vijana. 2. Mashabiki walishashauri Simba waache mazoezi ya wazi, mnajifanya modern football ,mwenzako anasoma mbinu yako ya mchezo we humsomi. Yanga...
19 Reactions
59 Replies
4K Views
Wameandika mwenye mafanikio yake amefika. Ingawa watu wengi wanahisi atatangazwa Manzoki lakini inadaiwa kuwa atatangazwa kocha raia wa Ureno. Tusubiri hapa mbivu na mbichi === Confirmed Zoran...
4 Reactions
93 Replies
7K Views
Andika ID yako hapa au nifuate PM ili tukamilishe hili Zoezi kwani wana Simba SC tumeshavumilia vya kutosha kufanywa Wapumbavu na Fidodido Mifito Mingoko Mmoja tu. Imetosha sasa. Nina hasira...
5 Reactions
9 Replies
886 Views
Hataufai, hajui mechi zetu, anakurupuka, atatugharimu. Bora kuziba ufa mapema kabla hatujavunja nyumba. Nasema No, aondoke
7 Reactions
60 Replies
5K Views
Simba ni kubwa mno kuwa na CEO kama Barbara. Kwa waislamu ni dhambi kusema uongo makusudi, Ahmed Ally kijana wa watu anapitia kipindi kigumu sana kinachomfanya aharibu dini yake. Analazimika...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Kocha mpya wa klabu ya Simba Sports Club kutoka Ufaransa anaitwa Hubert Velud, ambaye anatarajiwa kumrithi Joseph Omog aliyetimuliwa kazi Desemba 23, mwaka jana. Kocha huyo imeripotiwa kwamba...
2 Reactions
60 Replies
17K Views
Tumeshuhudia Simba ikimgomea Karia udhamini wa GSM bila kufanya chochote, tumemsikia mwenyekiti wa Simba ngugu Mangungu akibwabwaja na kuibwatukia TFF bila Karia kuchukua hatua, tulimuona Barbara...
7 Reactions
67 Replies
3K Views
AMEANDIKA ANGETILE OSIAH KATIBU WA ZAMANI WA TFF.
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwa wapenzi na wadau wote wa soka habari za wakati huu nawasalimu kwa jina la tozo na makato yaendelee. twende kwenye mada:– Manara ni mtu mmoja mbinafsi sana anayeendekeza chuki na visasi kwa...
13 Reactions
57 Replies
4K Views
Umetuma majina 13 huku la Tuisila Kisinda likiwa la 13 TFF na unajua fika kuwa Mfumo wa TMS huchukua majina 12 tu ya kwanza ambayo ndiyo yanatakiwa kikanuni. Mnaacha kukiri Kosa kuwa ni upuuzi...
9 Reactions
20 Replies
2K Views
“Hata haieleweki kimejibiwa kitu gani? Na kwa nini Issue ya Yanga uharaka wa kujibu unakuwa mkubwa mno?” “Kanuni hizi hizi zilizombadilisha Chikwende Kwa Kahata?Kanuni hizi hizi zilizomhalalisha...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Kama heading inavyojieleza. YANGA NA TFF KIMENUKA UPYA. Kwa Mjibu wa Gazeti la Mwanaspoti la Leo Jumatatu ya September 5,2022 jina la Winga wa Kimataifa wa DR Congo [emoji1078] na Klabu ya Yanga...
3 Reactions
128 Replies
8K Views
Back
Top Bottom