Naomba nikuletee list ya wachezaji bora kuwahi kutokea katika bara la Afrika.
Nimepitia kumbukumbu kwa wale wa zamani sana na wengi kuanzia mwaka 1996 nimewaona wakicheza.
Vigezo vilivyotumika...
Salaam!!
Nimekuwa nikijiuliza, ni kitu gani kimewapata hawa watu mpaka leo mwezi mzima unakaribia kwisha bila kuambiwa chochote kuhusu hatma ya mashtaka waliyokutwa nayo, Afisa habari wa Yanga...
Huyu mtoto anajeuri sana, mimi nimeshindwa kuvumilia.
Namuomba mwakinyo kubali kupigana na twaha Ili ujiweke fiti zaidi pambano lako na twaha litakupa nguvu zaidi Kwa mapambano yajayo njoo...
Hawa ndio wachezaji bora wa mpira wa miguu kuwahi kutokea hapa Tanzania 🇹🇿 mpaka sasa:
1. Mbwana Samatta
2. Simon Msuva
3. Edbily Lunyamila
4. Sunday Manara 'Computer'
5. Juma Pondamali
6. Said...
Kitu kilichonvutia toka Kwa arteta ni Ile kutaka kurudisha Aresnal Kam ya kipind cha mzee wenu Wenger arsenal ya kina Samri nasri,Cecs Fabregas, Robin van persie.
Theo Walcott,Niclas bendtener ...
Binafsi nina Timu yangu ya Mtaa inataka kushiriki Ndondo ila sina Winga Teleza Mmoja tu hivyo nawaonba Yanga SC mnikodishe Tuisila Kisinda aichezee Timu yangu na kila Mechi nitamlipa Shilingi Elfu...
03 September 2022
Kigali, Rwanda
SINGIDA BIG STARS ARRIVES IN KIGALI TO TAKE ON RAYON SPORTS
Klabu ya Singida Big Stars imewasili mjini Kigali Rwanda kwa mchezo wa kirafiki kufuatia mwaliko...
Nimeona marumbano mengi kuhusu usajili wa Tuisila Kisinda watu wakiituhumu yanga lakini watu wanajifanya siasa za mpira wa bongo kwamba zimeanza leo.
Karia hajawai kuwa na jema juu ya yanga na...
Yanga sc imemtambulisha kiungo wake wa zamani, Tuisila Kisinda kuwa amerudi kikosini kabla ya dirisha la usajili kufungwa 31/08/2022.
Mashabiki wengi wa Yanga wamefurahishwa na ujio wa Tuisila...
Angetile Osiah (Katibu Mkuu wa TFF Uliyetumbuliwa) umekuwa na tabia za Kipuuzi na Kishamba mno hasa za kupenda Kujitokeza kutolea Ufafanuzi wa Hukumu na Sheria za TFF na Kamati za Maadili hasa...
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limefuta usajili wa winga wa Klabu ya Young Africans, Tuisila Kisinda kwenye orodha ya wachezaji 12 wa kigeni watakaocheza msimu huu.
Kwa mujibu wa TFF, usajili...
Kuna msuguano wa kufurahisha kidogo wa Tff na Yanga. Imefika mahali sasa ni kama anatafutwa nani zaidi katika taasisi hizi mbili.
Kwangu wa kulaumiwa kwa kutufikisha hapa ni Tff. Mtoto umleavyo...
Mchezo wa mkondo wa kwanza wa hatua ya awali klabu bingwa Africa kati ya Zalan F.C ya Sudani kusini dhidi ya Yanga S.C utachezwa katika uwanja wa Chamazi complex unaomilikiwa na klabu ya Azam F.C...
Maandiko matakatifu yanasema "Mpumbavu huamini kila neno bali mwenye hekima huchunguza sana".
Haya Mwakinyo nijibu haya maswali;
1. Ulizuiliwa kununua viatu huko Uingereza?
2. Promoter wako...
Simba inazidi kuporomoka kwa kasi kubwa sana. Licha ya vipigo ilivyopokea majuzi lakini hilo sio kubwa sana.
Mlinzi Mkenya Joash Onyango ameandika barua Shirikisho la Soka la Tanzania(TFF)...
Simba ni timu tunayojiamini hata mashabiki wake wanajielewa.
Kwa upande wa Yanga hamjiamini mnaiba iba wachezaji wetu .
Mnawaita kisiri kama wachawi halafu mnawawekea madawa yenu ya kichawi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.