Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Dr Kigwangalla amewataka vijana watambue vipaji vyao mapema na wafocus kwenye kutimiza ndoto zao Kigwangalla amesema yeye ana Kipawa cha Uongozi na alifocus kwenye ndoto yake tangu akiwa form six
1 Reactions
8 Replies
582 Views
STAA aliyerejeshwa kikosini na Yanga dakika za lalasalama za dirisha la usajili, Tuisila Kisinda anatarajiwa kutua nchini muda wowote, lakini beki kisiki wa Simba, Joash Onyango ameibua jipya...
0 Reactions
13 Replies
870 Views
Ni wakati wa kufanya mambo kwa njia tofauti. Kwanini watu wasipewe mkataba wa kuchezea timu ya taifa tu kama wanavyochezea vilabu. Kazi yao iwe ni mpira kwa aajili ya timu ya taifa, wakilala...
2 Reactions
12 Replies
941 Views
Wakuuu hii entertainment inanichosha sana skuizi umekuwa ya kiwaki sana. Mapambano yote bingwa anasaidiwa tuuu inabore sana hawa jamaa watapoteza mashabiki mno.
0 Reactions
3 Replies
496 Views
Ligi yetu inachezeshwa vibaya, ligi yetu Ina wageni wengi mno, timu imejaa wazee, watoto wadogo hawana makocha na TFF inahangaika mno na Simba na Yanga kuliko mpira wenyewe. Tulimbebesha lawana...
10 Reactions
33 Replies
1K Views
Kumbuka ukiwa una insult inteligence ya watu kwa kujiona we mjanja kuna wajanja zaidi yako , utaooongea yooote lakini hii issue wazee wa kazi waseme waingilie kati wafatilie hata bettings za nchi...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Kwanza nimefurahishwa sana na matokeo ya leo kati ya timu ya Uganda na Taifa Stars. Kwanini Taifa Stars tusiite Mandonga Stars jamani kwa matokeo makubwa zaidi?
2 Reactions
5 Replies
535 Views
Mdhunguuu wa MAKOLO [emoji23][emoji23][emoji23] baada ya ku trend mtandaoni leo kutokana na na mikimbio yake vs...kukosa goli la wazi ( clear chance)......... Ameifokea page moja ya michezo baada...
7 Reactions
34 Replies
3K Views
Simba imepoteza mchezo wa kirafiki dhidi ya AS Arta Solar kwa kufungwa goli 1-0 kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam, leo Septemba 3, 2022. Licha ya kutawala mchezo huo kwa muda mwingi Simba...
3 Reactions
42 Replies
6K Views
1. Aishi Manula 2. Kibwana Shomary 3. Mohammed Hussein 4. Dickson Job 5. Kennedy Juma 6. Jonas Mkude 7. Abubakary Salum 8. Feisal Salum 9. Anwar Jabir 10. John Boko 11. Farid Mussa Tafadhali...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
1. Djigui Diara 2. Djuma Shaaban 3. Lomalisa Mutambala 4. Dickson Job 5. Yannick Bangala 6. Khalid Aucho 7. Bernard Morisson 8. Feisal Salum Fei Toto 9. Fiston Mayele 10. Stephan Fundi Aziz K...
26 Reactions
65 Replies
5K Views
Mh[emoji25]
8 Reactions
25 Replies
1K Views
Straight kwenye mada.hii match ya mwakinyo atoboi kwa huyu babu j mzungu. Nimemcheki huyu dejan mzungu anapiga punch kali mno.anatumia akili sio kama bondia wenu. Ndio hivyo wazeeee.
5 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakuu Etoo kashaanza Umse7 na Ukagame Kwenye Soka. . Hiko Hivi Samuel Eto’o administration has changed FECAFOOT constitution and now extended his tenure from four years to seven years...
3 Reactions
8 Replies
741 Views
Niko hapa London naangalia TV channel ya Sky action bondia kutoka Bongo anaitwa Hassan Mwakiyo amemchapa vibaya sana bondia Sam Eggington katika round ya pili. Kwa jinsi navyomwona anaweza kufika...
9 Reactions
94 Replies
22K Views
Tuliaminishwa proganda eti Al Ahly wakitaka kumtoa mkopo shariti club ya kwanza iwe Simba kikowapi sasa? Luís huyoo uarabuni tena mkopo una options wa kununua moja kwa moja wale jamaa wa kujifanya...
8 Reactions
22 Replies
2K Views
Angalia pambano la ngumi kati ya Liam Smith vs Hassan Mwakinyo kuanzia saa nne na nusu usiku wa leo tarehe 3 kuptia link hii hapa chini. https://www.vipleague.st/boxing-sports-stream
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Fuatilia pambano la masumbwi kati ya bondia wetu Hassan Mwakinyo dhidi ya Liam Smith leo tarehe 3 saa nne na nusu usiku huu kupitia link hii https://www.vipleague.st/boxing-sports-stream
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa mfano Simba na Yanga Oktoba saba apige MORRISON, nane ZAWADI MAUYA, tisa FEITOTO, kumi MAYELE, kumi na moja AZIZ KII WOOOTE hawa WAMEIFUNGA SIMBA kwa nyakati tofauti
3 Reactions
8 Replies
578 Views
Mzungu wa Simba Djan tunatambua fika umekuja Simba ki michongo michongo kutokana na kikosi Cha "NTU WA DILI", Kwa aibu unayotuonyesha wanasimba tafadhali kabla hatujachukua maamuzi magum ya...
10 Reactions
38 Replies
4K Views
Back
Top Bottom