Naomba kufahamishwa mwenye jukumu hili la kuajiri na kufukuza makocha wa Timu ya Taifa ya Tanzania .
Je ni Wallace Karia ambaye ni Rais wa TFF au Katibu wake , ama ni kamati ya Utendaji ? na ni...
Ally ameboronga Sana leo kwa jinsi alivyokuwa anawatambulisha wachezaji wake japo alikuwa Ana utani ila hawezi kumfikia Manara kwa uwezo na ujuzi Kama mropokaji Manara alivyofanya katika sherehe...
Sitoi ufafanuzi ila naomba kufahamu, ni kwa nini taarifa hazijulikani au hazipo wazi kuhusu pesa za usajili + mishahara ya wachezaji wa ligi kuu ya Tanzania? Au ni mimi tu ndio sifuatilii?
Ni...
Morrison, Aziz K, Frisal na Mayele. Hawa wote wamewahi kuifunga Simba ktk nyakati tofauti. Anaongezeka Tuisila (shughuli yake inafahamika). Poleni Manyonyo FC
Wakuu nimeona Katika gazeti la Mwanasport toleo la leo, Jumamosi, September 3, 2022.
.
Kupitia safu inaitwa Mpapaso ya Mwandishi Masau Bwire ametoa sababu Kuu mbili za timu ya Taifa ya Mpira wa...
Hatakama ni bure.. ndiyo nini hiki tunaangalia hapa Uhuru Stadium..?
Tumekuja kuagalia mpira ila hapa kinachoendelea ni gwaride la maafande makuruta wa mataifa mbalimbali ya Afrika.
Mchezo...
Yanga imemrudisha Tuisila Kisinda, ni mchezaji mwenye mbio kama mbuni lakini akili ya mpira hana, Kisinda awe winga mzuri asiitwe timu ya Taifa, awe mzuri Berkane wamtoe kwa mkopo, acheni utani...
Wakuu Ndondi anazocheza Mandonga ni aina ya professional au amature/ridhaa?
Sheria za ndondi haziruhusu kupigana kama hujamaliza miezi mitatu baada ya pambano moja na miezi 6 baada ya kupoteza...
Klabu ya Simba SC imetangaza kuwa Daktari wa Timu hiyo ambaye kwa sasa alikuwa Daktari wa timu ya vijana, Yassin Gembe amefariki dunia mchana wa leo katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili...
Hivi Karibuni Mchezaji Dejan alipofunga goli Mashabiki wengi wa Simba tulifurahi sana. Sababu ya kufurahi ni kua toka asajiliwe Mchezaji huyu hakua amefunga goli kwenye mechi yoyote ile ukiacha...
Kikosi kina Mapungufu makubwa na ya Kimsingi na hata Kocha Mkuu Zoran Maki ni tatizo na natabiri anaweza Asile nasi Watanzania Krismasi ijayo.
Mpaka sasa Simba SC haijanivutia.
Nimecheka sana kusikia eti Zalan wwmeomba kucheza gemu zao zote hapa bongo, mchezo wa kwanza ukipigwa chamazi na wa pili pale kwa Mkapa, najiuliza kama kweli Zalan wako serious.
Kwann gemu...
Nawashauri acheni kuokoteza takataka za ulaya
Mfano SIMBA Dejan hakuna kitu ni uchafu mtupu
Kina sakho na Banda ni uchafu
kwa YANGA: moloko tia maji tupu hakuna kiwango cha maana na yule...
Vilabu vya Premier League vilivunja rekodi yao ya matumizi ya msimu mmoja wakati wa uvamizi wa pauni bilioni 1.9 ($2.1 bilioni) wakati wa dirisha la kiangazi.
Kundi la Biashara la Deloitte la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.