Bwana Zoran anatumia muda mwingi kuwaaminisha viongozi wa Simba SC pamoja na mamilioni ya mashabiki mtaa wa Msimbazi kwamba striker Dejan ni bonge la striker wa kutumainiwa katika kikosi cha...
Kuna wanasoka wamewahi kucheza pamoja kwenye klabu mbili au zaidi za soka pamoja!
Ikumbukwe hapa hatuhusishi timu za taifa.
Leo tuwataje wanasoka hao na vilabu tofauti walivyocheza pamoja...
Kwanza nikiri mechi ya Jana kati ya Simba na Al hilal sikuangalia Kwa lakini kutokana na mazingira nilikuwa sehemu za kugonga vyombo.
Lakini nimejifunza kitu Watanzania tuna ukarimu wa kiboya...
Mm ni mfatiliaji sana wa epl week in week out
Wachezaji wa sasa wa uingereza wamekuwa wa hovyo tofauti na miaka ya nyuma tu apo cha kuna kwa kina soul camble na ashley cole
Ukiangalia makinda...
Afisa wa Chama cha Soka cha Zimbabwe (Zifa), Obert Zhoya amefungiwa kujihusisha na masuala ya soka kwa muda wa miaka mitano na faini ya Dola 20,300 kwa unyanyasaji wa kingono kwa waamuzi wa kike...
Wananchiiiiii
Moja ya sajil bora ilofanyika kwa Yanga ni ongezeko la Tuisila Kisinda "Tk Master"
Ishu sio tu kua anarud kwenye timu yake ya zaman, ila pia analijua soka la Bongo kama ilivyokua...
Tuseme akiwa Livepool hakuwa na furaha au haikuwa klabu ya ndoto yake au pesa anayovuta Bayern Munich ndio inamfanya awe na tabasamu kubwa muda wote xaiz mane akifunga unaona kabisa anacheka mfano...
Waambieni kwamba kisinda alikuja kwa mkopo toka sa vita hamjamuuza kwenda morroco kauzwa na wakala wake ,hivi hizo biashara zenu na as vita zimejaa uongo uongo tu ,
Dujma shaban ilitakiwa mummpe...
Nimeangalia gemu ya Simba vs Al Hilal na nimebaini yafuatayo.
1. Simba ina uwezo kwa sasa kucheza na timu yoyote duniani bila kumtegemea Manula wala Benno, hili jambi Utopolo hawawezi kuthubutu...
Napenda niseme tu bila kupepesa macho ya kuwa yanga wanayo nafasi kubwa ya kutinga hatua ya makundi klabu bingwa msimu huu.
Nimepata ujasiri wa kusema hivyo baada ya kuwaona Al hilal iliyocheza...
Ukiwa na kazi yakiuza jezi kwa club namba mbili kubwa zaidi Afrika baada ya al ahly inabidi ujipange sana maana ina washabiki wengi mno tofauti na vi club vidogo vidogo.
Ukiuza jezi kwa vi club...
Simba imesajili vizuri
Upande wa Beki sio mbaya sana, Akpan atamsaidia Kanoute. Mhm apunguze UZITO. PHIRI is the best kwa sbb ana track mpira na anakimbia kwa haraka naye aongeze mazoezi ya...
Sasa nimeanza kumuelewa alie kuwa kocha wa Simba Patrick Ausem kuwa viongozi wengi wa bodi ya wakurugenzi hawana elimu na upeo wao wa mpira ni mdogo sana.
Ukiitizama simba kwa misimu mitatu...
Pamoja na malalamiko ya mashabiki kwa wakati wote wa dirisha la usajili kuwa wazi, binafsi nlikuwa najipa moyo kwamba watafanya kitu.
La kushangaza kumbe ni kweli usajili umekamilika baada ya...
Mara kadhaa Simba amefanya vizuri Kwa Sababu mechi zake Nyingi Alikuwa anashinda Home Zaidi Kuliko Away.
Sikumbuki Mpaka [emoji881] anafika Quarter Final Ya Caf Kama alishinda Mechi Zaidi Ya 2...
Manara katukosea sana wana Jangwani kwamba wenye akili ni baba yake na Kikwete tu. Yaani ukiangalia mambo Yanga wanafanya, mashabiki zao points wanazoandika ni kama kuna kaukweli hivi.
Hii kauli...
Watu wa Soka,
Tunapenda kuwafahamisha wapenzi, wadau na mashabiki wa klabu ya Singida Big Stars kuwa tumepokea mwaliko kutoka kwa wenzetu Rayon Sports FC ya nchini Rwanda kwa ajili ya mechi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.