Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Ukiondoa kiwango cha juu cha ushabiki wa mpira tulichonacho kuliko uhalisia wa timu tunazozishabikia, uduni wa wachezaji wetu, lakini pia Ligi Kuu ya Mpira wa Miguu Tanzania inaharibiwa kwa...
0 Reactions
8 Replies
710 Views
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara kuendelea kupigwa leo 07/ 09/ 2022 ambapo Mnyama Mkali Mwituni Simba SC anakiwasha dhidi ya KMC FC kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es salaam. Hii...
14 Reactions
511 Replies
31K Views
Nafikiri kuna point muhimu wanayo mashabiki na wanachama wa simba nayo ni namna timu inavyoperform uwanjani. Wanachezaje, je wanakosa matokeo dhidi ya timu ya aina gani, ni hoja ya msingi sana...
4 Reactions
9 Replies
868 Views
Nasema SSC inapwaya sana na sijui inaenda kucheza vipi michuano ya KIMATAIFA hivi punde. Mechi kama hizi ndiyo mechi za kuondoka na ushindi maana huko mbeleni ligi inakuwaga ngumu. Kuna timu kama...
10 Reactions
14 Replies
2K Views
Mmeona wenyewe jana hata baada ya poor display na officialy kugeuka kuwa wateja wa utopolo fc kwenye kupokea medali wengine walivyokuwa wanachekacheka kama NDALAKYUYA Hawana cha kupoteza hao...
10 Reactions
56 Replies
3K Views
Nimeamka hapa naona statement ya Simba kuwa wamemchukua mgunda kama kocha wa mpito coz ana lesen A ya CAF. Ktk hicho kipindi kifupi then wakipata kocha mgunda anarudi alipotoka. Lakini hizo...
0 Reactions
11 Replies
781 Views
Klabu ya Simba imeachana na kocha wake mkuu Zoran Maki, akiwa ameifundisha timu hiyo kwa siku 67 pekee. Awali Zoran aliingia mkataba wa mwaka mmoja na Simba ambapo leo wamefikia makubaliano ya...
8 Reactions
150 Replies
13K Views
Opportunities ilitokea wazi kwa yule kocha toka Ghana, yule kocha toka Guinea wa Horoya, kama kawaida mkakimbilia wazungu Zoran kalilia nafasi mbili kuingiza beki na foward kila mtu kaona aina ya...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Gentamycine juzi aliandika humu baada ya Pablo kufukuzwa Simba kuwa baada ya Matola kupewa timu, basi gemu zote 5 atashinda, kweli bwana, soka wanalocheza Simba kiukweli huwezi amini kama ndio wao...
11 Reactions
69 Replies
5K Views
Haiwezekani kila kocha anayekuja Kufundisha Simba basi ni lazima yeye awe msaidizi , hata kocha mpya akitimuliwa ila Matola anabaki , kubaki kwake kunamaanisha kwamba yeye uwezo wake ni mkubwa ...
3 Reactions
25 Replies
1K Views
Kitendo cha kumtoa kwa mkopo beki David Kameta Duchu, kwenda Biashara United, na hatimaye sasa anaichezea timu ya Geita Gold na kumpisha Israel Patrick Mwenda mwaka 2021, kwa maoni yangu suala...
6 Reactions
38 Replies
4K Views
Huyu dogo anacheza kabisa hata hapo Emirates kwani nini au nani pale mwenye maajabu. Huyu dogo ni hazina .fundi adui wa makipa Anaebisha abishe ndo ukweli.
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Ninaangalia mechi ya kujipima nguvu dhidi ya Al Hilal Nina haya niliyoyaona. 1. Timu ina vipasi fulani hivi ambavyo havina impact yoyote. 2. Simba hamna timu ya ushindani tunacheza kitoto sana...
11 Reactions
23 Replies
2K Views
Kwa Sisi Wadau na Wenye Visimbuzi vya Azam TV.....UEFA Tunacheki Chaneli Gani
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Mechi 2 Tena nyumban inapoteza Kwa Jinsi ligi hii ilivyongumu Kama hamtakubali kufanya mabadiliko mtarudi mlikotoka Nyumban ndio sehemu pekee yakukusanya point walau hata moja kwa timu kubwa...
1 Reactions
7 Replies
750 Views
Ni kwamba baada ya kuwa na tabia ya Kuhonga Marefa na Wachezaji wa Timu Pinzani na kuwa Bingwa wa Ligi Kuu kwa miaka Minne mfululizo na Yanga SC nao Kuiga Mbinu hiyo waliyopewa na Haji Manara (...
4 Reactions
25 Replies
3K Views
Klabu ya Chelsea imemfuta kazi kocha wake Mkuu Thomas Tuchel kutokana na uwepo wa mwendelezo mbaya wa matokeo unaoikabili timu hiyo. Kufurushwa huku kumetokea masaa machache baada ya kupokea...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
.... Defense ya Yanga hii chini ya ulinzi wa Yannick Bangala iliruhusu magoli (7) pekee msimu mzima uliopita kwenye ligi kuu. 1 - Djigui Diarra 2 - Djuma Shabani 3 - Kibwana Shomari 4 -...
4 Reactions
7 Replies
794 Views
Back
Top Bottom