Hivi Bondia Anthony Joshua ( Uingereza ) akijua kabisa anaenda Kupigana na Bondia Mchovu na asiye na Uwezo wowote ule Kwake Twaha Kiduku ( Tanzania ) anaweza kweli akajitangaza na akaitangaza (...
Jezi hiyo ilivaliwa na MJ kwenye fainali za mchezo wa ufunguzi za NBA, imeuzwa kwenye mnada na kuifanya kuwa moja ya kumbukumbu za gharama zaidi katika historia ya michezo duniani.
Rekodi ya...
TFF ni chombo cha umma na kinachominiwa ndani na nje ya nchi. Jemedari Said anasema kuwa ana uhakika na vyanzo vyake vya habari ambazo zinahifadhiwa TFF. Ni mfanyakazi gani ndani ya TFF ambae...
Za ndani kabisa kuna jamaa alikuwa anachati na mchezaj mmoja.
Wanasema posho ya wachezaji imeshushwa ndio maana wachezaj hawajitumi kabisa.
Viongozi wa Simba kama kuna ukweli mnatuangusha sana...
Pongezi nyingi kwa Klabu ya Simba kuweza kutoa Mchezaji wake ( Beki tegemeo ) Henock Inonga Baka na Mchezaji husika kwa kuweza Kuitwa hivi majuzi tu katika Kikosi cha Timu ya Taifa ya Congo DR...
Kuna swali najiuliza, hivi team ikisajili mchezaji na kabla ya deadline huyo mchezaji huyu akawa mgonjwa, inamaana hairuhusiwi tena kusajili mchezaji mwingine kabla ya hiyo deadline?
Kama ni ndio...
Kama Moses Phiri ataendelea na moto huu huu maana yake hatumhtaj manzoki kwa sasa.
PHIRI ameonyesha ni goal scorer mzuri. Kufika January tutaona mwenendo wake lakini anaonyesha ni mzuri wa...
Kwa kujibu wa Othman Kazi, ilipaswa kuwa offside kabla mpira haujafika kwenye tukio linalobishaniwa la mpira kutoka/kutotoka. Aidha, tukio la Moses Phiri kuangushwa na kipa wa Prisons lilipaswa...
Wakuu Jana niliwasilisha barua yangu Ya Malalamiko Pale Tff dhidi ya Mwandishi wa Habari Jemedar Said Kuhusu Tuhuma zake Kwa Kocha wa Yanga Kwamba Hana vigezo za Kukaa kwenye Bench Siku ya Mechi...
Mchambuzi wa Azam Sports 1, James Samwel amelichambua goli la Simba na kukiri wazi kuwa mpira ulishatoka kabla ya Kibu kuurudisha tena uwanjani na Mkude kuuweka ndani ya nyavu. Ameyasema hayo...
Kama kuna Mchezaji wa Simba SC ambaye Kutwa anatupandisha Hasira wana Simba SC na hatujui ni kwanini Makocha huwa wanapenda Kumuanzisha First Eleven ni huyu Pape Ousmane Sakho.
Na kama kuna...
Mwenyekiti wa Kamati ya Rufaa ya Maadili ya TFF, Richard Mbaruku akisoma uamuzi wa Kamati yake katika Rufaa aliyokata aliyekuwa msemaji wa Yanga, Haji Manara, amesema mtuhumiwa alikuwa na makosa...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi, ametoa siku 7 kwa watendaji wa Idara ya Michezo kukamilisha nyaraka za miradi yote iliyoko chini ya Idara hiyo la sivyo...
Captain wa Tanzania Prisons, Afande Benjamin Asukile ameweka wazi wao kama Prison hawana uoga wowote dhidi ya Simba katika mchezo utakaopigwa leo saa 10:00 katika dimba la Sokoine jijini Mbeya...
Kwa wachezaji wa Draft la playok, Tunajua mabingwa wa kule ni ashkelon, Davidmbeya, kongomsumari, na mohammed19997, ila cha ajabu wote hao walishapigwa na mkulima wakaishia kumuita mkulima ni...
Akihojiwa na kituo cha Radio cha EFM kupitia kipindi cha Sports HQ mapema leo September 12, 2022 Mkurungenzi wa ufundi wa TFF, Oscar Milambo amethibitisha kuwa Kocha Mkuu wa Yanga SC, Nasreddine...
Mimi mtu akiniuliza kati ya Kambole na Mayele; Who is the best Striker (Mshambuliaji bora)? Kwangu mimi nitasema Kambole ni bora kuliko Mayele
Kama una angalia video za nyuma kabisa za huyu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.