Mungu ni mkubwa sana, baada ya figisu ya kumfungia miaka 2 msemaji aliyeipa ubingwa Yanga baada ya kuukosa kwa miaka 4 ndugu Manara , figisu ziliendelea sana
Tukaona wachezaji wa Yanga wakitaka...
FULL TIME: Yanga imefanikiwa kupata ushindi wa mabao 4-0, timu hizo zitarudiana wikiendi ijayo
Mayelee anafunga bao la nne na la tatu kwake
88' GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
Mayeleeeeeee...
Bondia Canelo Alvarez amefanikiwa kumpiga Gennady Golovkin katika pambano la uzito wa kati (Super-middleweight) lililofanyika Las Vegas, Marekani, asubuhi ya leo Septemba 18, 2022.
Ameshinda kwa...
Mchezo wa pili baina ya Yanga dhidi ya Zalan kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam, leo Jumamosi Septemba 17, 2022, ni Raundi ya Kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
Mchezo wa kwanza Yanga...
Habari wakuu je nafanyaje ili niweze kuangalia match live kwenye tv kwa kutumia internet ingawa tv yng sio smart tv ila hapa nilipo naangalizia kwenye simu tu mpira kwa kutumia app ya yacine tv...
Upo Uwezekano leo Predator (hata Henock Inonga ) anamjua Fiston GENTAMYCINE Kalala Mayele leo akafunga kati ya Goli 3 au 6 na wakizubaa hata 9 peke yake dhidi ya Zalan FC Jioni katika Mechi yao...
Yanga itapambana na mmoja kati ya timu hizo ili mshindi aingie mechi za makundi. Tatizo lipo kwetu yanga tunaanzia nyumbani na kumalizia ugenini kutokana na ratiba ya mechi . Ili kuzifunga mabao...
Huyu Kocha na Meneja wa Manchester city ni mbaguzi sana kwa wachezaji waafrika. Mtasema Riyad Mahrez muafrika ndiyo katoka Africa Algeria lakini siyo mwafrika.
Guardiola ni Kocha mzuri sana na...
Habarini wakuu..Mimi nacheza basketball japo sio katika level kubwa kiivo ila nachezea hadi timu inayoshiriki ligi ya mkoa ya Mpira wa kikapu ya Arusha..
Kwa wapenzi wa kikapu hasa Kule Marekani...
Utulivu Utulivu Utulivu
[emoji3578]Zalan kama kawaida yao waliamua kucheza nyuma ya mpira muda mwingi (9-10 behind the ball) kwasababu ilikuwa ngumu kupisha na Yanga ambayo ina daraja kubwa la...
Mimi ni Simba damu tena lia lia, mtu yeyote anayejua soka kama mimi bila ushabiki wala unazi, Mayele ni Mtu Kazi,.jamaa movements zake ni za hatari sana, ni mshambualiaji hatari sana, sio wa...
Ifike mahali tuache kuiponda timu ya Zalan eti kwa kufanya hawa utopolo wasifurahie ushindi wao wa goli Tisa.
Tukubali tu kuwa wamecheza na timu bora sana.
Hii ndiyo furaha yao ya mwisho tuwaache...
Aisee sie wazee wa moko wa kuzama kwenye maduara mashabiki wa GGFC aka wazee
wa dhahabu tunaulizia mwendelezo wa kimataifa tujue matokeo.
Tulijiandaa kuvuka ferry kushudia kandanda pale ccm...
Huu ni ushauri tu mkuu , unaweza kuukubali au kuukataa .
Ni hivi , Taifa Stars ushaondolewa , na hutarudi tena huko yanga nako ni tia maji tia maji !
Nakushauri urudi timu yako ya awali ili...
Uamuzi huu umekuja ikiwa ni siku chache tangu Mathias Pogba akamatwe kwa kuhusishwa na utapeli dhidi ya ndugu yake Paul Pogba. Ataendelea kuwa mahabusu akisubiri uamuzi wa Mahakama kuhusu dhamana...
Kwa miaka Mitatu hadi Mitano ijayo hakutatokea Mshambuliaji ambaye ni Complete Package katika hii NBC Premier League kama Fiston Kalala Mayele GENTAMYCINE.
Namkubali mno na Ninampenda.
Ni weekend tena. NBC Premier League inaendelea ambapo Wagosi wa Kaya, Coastal Union watashuka dimbani kuwaalika Mabingwa watetezi wa taji, Yanga katika dimba la Sheikh Amri Abeid Kaluta jijini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.