Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mchezaji maarufu wa Tenis, Serena Williams, ambaye anatazamiwa kustaafu baada ya michuano hiyo, alipata ushinda 6-3 6-3 dhidi ya Danka Kovinic wa Montenegro kupitia US Open. Serena Williams...
1 Reactions
0 Replies
429 Views
Mechi ni saa 2 usiku muda huu kwa saa za huko bongo Line up ya simba Lineup ya Asante Kotoko
5 Reactions
172 Replies
13K Views
Wakuu Tutaendelea kuwa kichwa cha mwemda wazimu tu Ujinga alioufanya Tshabalala Leo tumeuona ni muemdelezo tu Tuache kuabudu majina Msindo alistahili kucheza LB
0 Reactions
23 Replies
1K Views
Washabiki wa Tanzania foolish,hasa wa makolo. Hivi karibuni kuna shabiki wa simba alipost bandiko akiisifia timu ya simba kwamba ni timu bora kuliko zingine kwakuwa inawachezaji Tisa ndani ya...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Ndugu zangu ukweli usemwe huyu Ouatarra mzito na hana speed bora babu Onyango.. Mohamed Hussein ana makosa mengi sana na huwa anachelewa kurudi tunaposhambuliwa.. Sasa yule wa kurekebisha makosa...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
Ujuaji na tabia ya mashabiki wa soka nchini inaudhi mno. Nitawachukua baadhi ya mashabiki wa Simba Sc kama sample. Tuanze, Jana kulikua na mchezo wa kirafiki kati ya timu ya Simba Sc na Asante...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Kwanza kabisa hongereni Dar Young African kwa ushindi wa mabao 2 - 1 dhidi ya Simba. Pia niwape pole Simba Sports club kwa kupoteza mchezo. Huwa napenda sana kuvinjari mtandaoni hasa mitandao ya...
26 Reactions
37 Replies
5K Views
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limemtangaza Kim Poulsen raia wa Denmark kuwa Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa (Taifa Stars) - Poulsen anachukua nafasi ya Kocha Ettiene Ndayiragije ambaye mkataba...
3 Reactions
16 Replies
3K Views
TTF wamefikia makubaliano ya kuachana na kocha mkuu na benchi lake zima japo anaendelea kubaki katika timu ya vijana kumalizia mkataba wake. Taarifa isiyo rasmi Nsajigwa anaenda Yanga kuongeza...
1 Reactions
9 Replies
640 Views
Mshambuliaji Cesar Manzoki amejiunga na Dalian Pro FC inayoshiriki Ligi Kuu nchini China akitokea Vipers ya Uganda #mwanaspoti #mwanaspotiupdates #tunawezeshataifa
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Chelsea imefikia makubaliano na Leicester City juu ya ada ya Paundi Milioni 70 kufanikisha dili la kumsajili Wesley Fofana (21) baada ya awali dili hilo kukwama mara tatu. Kocha wa Leicester...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Mimi ni Shabiki wa Simba SC ila nadhani kama kuna Mchezaji Mzawa ambaye Watanzania tuna Roho Mbaya, Wivu na Unafiki wa Kutomuimba na Kumtukuza inavyotakiwa ni Kiungo Mshambuliaji na Winga Farid...
11 Reactions
19 Replies
2K Views
Mshambuliaji wa Barcelona, Pierre-Emerick Aubameyang amevamiwa na wahalifu wenye silaha nyumbani kwake asubuhi ya leo Agosti 29, 2022 ikidaiwa pia wahalifu hao walimpiga mchezaji huyo. Taarifa za...
0 Reactions
7 Replies
694 Views
Simba queens imekuwa timu ya kwanza ya wanawake kutoka Tanzania kwenda kushiriki ligi ya mabingwa Africa. Hapo unaona uwekezaji mkubwa unaofanywa na mo dewji ukisimamiwa na mwanamama babra...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Ukweli ni kwamba hakuna club yoyote inayoipenda TFF namna inavyoongoza mpira wetu hapa nchini Tanzania.TFF wamekuwa wakitoa adhabu kali kwa viongozi wa clubs mbalimbali mara nyingi wanafanya...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Namna gani hapa naona mashabiki wa Utopolo wanasikitika.
27 Reactions
67 Replies
4K Views
Ukitizama uchezaji wa hawa wachezaji wawili utagundua kuwa Jesus Moloko kaachwa mbali sana na Asha Djafar
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Duh hii habari nimekutanayo some where Yule mchezaji wa ivory coast aliyekipiga ajax msimu uliopita hadi akakaribia kuchukua kiatu Cha mfungaji Bora wa champions league Sebastian haller yupo...
6 Reactions
17 Replies
2K Views
Niko nacheki kipute hapa live. Ukweli ni kuwa , back pass zinaicost sana TZ. yan Kina zimbwe wameshaharibika kichwan, wanawaza kurudisha mpira nyuma muda wote. Namlaumu sana muasisi wa back pass...
2 Reactions
92 Replies
5K Views
Kipaji ni zawadi iliyopo ndani yako ambayo mungu mwenyewe kakupa kujua una kipaji gani hilo ni jukumu lako wewe mwenyewe tena. Lakini kiafrika afrika ni ngumu sana kipaji cha mtoto kuendelezwa na...
2 Reactions
5 Replies
698 Views
Back
Top Bottom